Habari za Jumapili?
Naomba niende moja kwa mona kwenye mada, hiko hivi, kuna kijana ambaye ametokea mkoa mmoja huko Kanda ya Kaskazini, huyu hakuwa na wazazi wote wawili kwani walifariki...
Leo nimejisikia niwaachie ujumbe Exs zangu watatu. Ungana nami.
WA KWANZA.
"Wewe ni Mwanamke mzuri kati ya wote niliokutana nao, ahsante kwa kunidhihirishia hitaji lako la ndoa, ingawa...
Ni kipi chema kama upendo?
Wakati nilipokua niko mbali na mwandani wangu, nilikua kila tukiongea narekodi mazungumzo, kisha nikikaa nasikikiza bas nafarijika sana.
Unakua unahisi kama vile yuko...
Na ukorofi wangu plus ujinga wangu wooote nawahurumiaga sana dada poa.
Yaani kwa uzoefu wangu huu, wengi hasa wa siku hizi iwe mabinti au wa makamo, ni vijana kuanzia shingoni kuja chini tu...
Tunaonana kwa nadra sana yani once pa month, hataki niguse simu yake, hataki nijue anapoishi, hataki nimhoji anapanic.
Nafsi inanisuta sana kwakuwa sipendi kuikana damu yangu but kwa the way...
Kamwe usihoji kuhusu akili ya mkeo. Thamini maoni na maamuzi yake. Ongea naye kwa heshima. Kamwe usimkosoe hadharani. Heshimu haki zake za faragha. Msikilize mwanamke wako. Weka simu yako kando na...
Kuna wale vijana na kuendelea mpaka uzee unasema acha nichepuke au kujaribu ili mradi tu nifurahishe au nimempeda kwa tamaa tu mambo yakawa mengine mpaka ukatamani kukimbia.
Miaka ya nyuma...
PART 1
Huyu dada ndiye ambaye ilikuwa nimuoe. Nlimpenda sana kwa kweli na ku risk kumsomesha. Baada ya kuwa alikuwa na ufaulu ambao ungeweza msaidia kuendelea na masomo. Hakuwa na wazazi. Na...
Yaani asikudanganye mtu mwanaume unapoanza kuyumba kiuchumi migogoro ya ndoa ndipo inapoanzia hapa
Hapa ndipo tabia halisi ya mkeo ambae kipindi akiwa girlfriend wako ulikuwa unamuona mtu sahihi...
Rejea somo tajwa hapo juu, utafiti wangu niliyofanya Kwa kutumia sampuli 20 (10 zina vipini na 10 hazina) umebaini kuwa Wanawake wenye vipini wanatiika (kuwa mwelewa) kirahisi zaidi kuliko wasio...
Haya mambo siyo fantasy, ni mambo yapo kabisa kuhalisia. Kila mwanadamu kapewa matamanio, wake kwa waume, haya matamanio yasipopunguzwa huwa si ajabu kuzuka mabalaa. Kwa hali hii kuna baadhi ya...
Katika kutafuta maisha mtu unajikuta umetoka nje ya nchi yako mradi unapata chochote na maisha yanasonga. Baharia niliamua kuzamia huko Swaziland kwa king Mswati huku maisha yako powa ebwane nchi...
To you girls "the pretenders".
You rejected a loving guy because you said he's poor, he is a bodaboda rider. This guy is hardworking, but meanwhile, you're jobless. Your only job is that you're...
Huyu mwanamke nilikua najiona kama najilazimisha kua nae ila sijui ni nini kilichokua kama kinaniforce kuwa nae, kwanza alikua anapenda kudanganya vitu vodogo vidogo, nikimuangalia naona kabisa...
Kwani huna majukumu mengine ya kufanya mbali na mapenzi? Jiulize kwanza, una nyumba ngapi mpaka sasa? Unatembelea miguu minne ama miwili? Wanao je, wanapata elimu mahali pazuri? Je wanalala...
Leo hii kila mwanamke anasema hataki kuolewa na mwanaume mfupi, kila mwanamke anataka mwanaume mrefu na warefu ni wachache sana, sasa hao wanawake wataolewa na nani ikiwa wanaume warefu wanahesabika?
Katika maisha nimeamini kuwa siyo kila kitu ambacho unaweza kukipata hata kama utafanya nguvu vipi ni lazima utabaki kukiona kwa wenzako tu.
Nataka niongee kuhusu mapenzi, katika watu ambao...
Nina mke wa ndoa ambaye nina watoto naye watatu, umri wangu sasa ni miaka 32 na umri wa mke wangu ni miaka 28. Zamani nilikua na uwezo mkubwa na alinipenda sana, ila tokea pesa zimepungua ndiyo...
Habari wanaJamvi, nawasalimu sana.
Hongereni na poleni kwa majukumu ya siku ya kujipatia riziki. Naomba kuwashirikisha mkasa huu wa mke wangu wa ndoa, mnishauri kwa busara za ki utu uzima.
Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.