Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nilifanya mapenzi na mwanamke,ila kwenye process sijui kilichotoka ni sperm kidogo au semen. Wakati huo nikiwa chini mwanamke juu lakn baadaye sana nika P. Je hata kama zilitoka kidogo ni kwa...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Baby, you're the best Sikuwa natafuta mpenzi wa kuwa naye, lakini nikajikuta niko mikononi mwako. Nilijaribu kùjificha nisimulikwe na mwangaza wa penzi lako, lakini ni kama mbingu iliyoko juu...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Baada ya kutumia fomula hii kwa muda sasa nimeona sio vibaya kugawana maarifa. Fomula hii nilipata kuwapa baadhi ya marafiki zangu kama 13 hivi na wote kwa pamoja walitoa majibu yenye kufurahisha...
36 Reactions
83 Replies
12K Views
Zaasubuhi wanaJamii folams Ni miezi 5 tangu nimefahamiana na huyu binti. Ni binti mwerevu,msomi(degree) na mchapakazi. Tuliktana pub alikua anahudumu. At first sight tu macho yetu yalipogongana...
6 Reactions
58 Replies
2K Views
Habari za usiku ni mbaya! Hivi mabaharia wa humu, kuunganisha bao 2 kunategemeana na nini? Function of what? Na je vipi kutoa shahawa nzito sana? Hoja ni hiyo aya kati kati. Karibuni tujadili
5 Reactions
54 Replies
3K Views
Wakuu bila kuzunguka mbuyu wengi wetu tuna ma ex kabla ya kumpata yule ulieamua kuanzisha nae familia yani mke/mume, na kama hujaoa/olewa hii ni yako pia... hatuwatengi ma bachelor na single Madam...
10 Reactions
117 Replies
7K Views
Ndugu wanajamvi. Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza. Nimeamua kuacha na life hili la kisera na la kujiamulia nitakavyo na kuanza life litakalonifanya ku surrender na kuji limi au kulimitiwa...
3 Reactions
47 Replies
1K Views
Wakuu, Anasema Mtume Muhammad (S.A.W) ya kwamba mwanamke anaolewa kwa vitu vinne; 1. Mali zake 2. Ukoo/familia aliyotokea 3. Dini yake 4. Uzuri wake Kwa kifupi: Mali zake Mwanamke, yeye kama...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa kweli poleni na majukumu.. Nataka ni muoe huyu mwanamke ila shida yake anaomba sana hela jamani, yani analia kila saa njaa mara maisha magumu Najaribu kumzungusha kwa kila namna ili ni mpime...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari ya muda ndugu zangu, Baada ya ndoto zangu za kuoa mwalimu kugonga mwamba sasa nina mpango wa kuoa mwanamke ambae ni nesi au daktari. Naombeni wenye uzoefu na wanawake / wenye wake ambao...
5 Reactions
67 Replies
4K Views
Wakuu habarini, Kuna kitu kipo ndani yangu, lila nikitaka kuoa moyo wangu unatamani sana kuoa binti daktari, ila mabinti wengi ninaokutana nao ni walimu, waliosoma biashara na wajasiliamali wadogo...
3 Reactions
73 Replies
6K Views
Mambo zenu vichaa wetu wanaume jf. Sasa swali ni hili katika kupewa mechi za kirafiki maana wengi humu ni hamna hela ??? Mnapoonewa huruma ni wapi mnaenjoy mwanadada mwenye umri mdogo au...
8 Reactions
115 Replies
5K Views
Wasalaam JF, Leo nataka niwafungue macho wanaume especially katika muktadha wa mapenzi, mahusiano na ndoa. Mwanamke hana aibu kusema uongo kuliko ukweli na hawataki kukiri makosa kirahisi. The...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuuu Mwanamke unamnunulia laptop alafu anaenda kuliwa na anayempigiaga window, unamnunulia ndinga anaenda kuliwa na fundi wake wa gereji, unamfungulia duka analiwa na bodaboda wake yaani...
15 Reactions
78 Replies
5K Views
Ukisikia mtu anapatwa na msongo wa mawazo ndiyo hapa Sasa. Nimesota Sana kumpata mtu sahihi (wife material). Hivi karibuni nimekata shauri kumchumbia mdada fulani baada ya kuwa na vigezo karibu...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Shemeji yang nnaemzungumzia ndie yule niliwai mzungumzia siku moja humu jf kwenye Huu Uzi.[emoji116] https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/41201873 Ni kwamba wiki mbili zilizopita alikuja...
16 Reactions
173 Replies
17K Views
Hellow Guys nina girl friend nampenda sana sana hivi juzi nilimwambia naomba meeting aje na rafiki yake home Akasema no hawezi kuja labda mimi ndio niende kwake nikakubali kufika pale nakutana...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Single mother ni zao la Uzinzi. Kama sio mbona hapa Zanzibar hakuna single mother? Na Kama wapo ni wachache mno na wanaume wengi wamewastiri .
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Jana shule zimefunguliwa dogo uniform hazimtoshi, mekua guafla anazidi kurefuka mno. Likizo hii vibinti vya umri wake vilikuwa havikatiki nyumbani, tubinti tuzuri kweli, siku hizi inakuwaje...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa wa JF na heri ya sikukuu ya mapinduzi Nawasalimu nikitokea hapa Ontario Canada mtaa naoishi sitautaja kwasababu za kiusalama.. Leo kabla ya kuamka nikasema hebu nishiriki nanyi...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom