1.kupitia ndoa ndugu wa mwanamke hutumia mwanya wa kusaidiwa aka mashemeji
2.kupitia ndoa ndugu wa mwanamke nyumbani kwako ndo itakuwa sehemu ya kufikia na kuishi watakavyo
3.kupitia ndoa...
Morning wakuu! Kumekuwa na stori nyingi za vijana wakati tukisoma secondari na vyuo ,anamtokea Binti mkali na anamfatilia kwa muda mrefu hata miezi 2 na zaidi lakini ikitokea siku bint amekubali...
Desturi ya kuoana kwao.
Wazaramu wakitaka mke, kwanza huenda kwa mjomba wa yule mwanamke, akampa khabari—ya kama: "Mimi namtaka mpwa wako kumwoa." Na yule mjomba humjibu: "Vema, lakini nataka...
Mimi toto ya ki Latin American ipo vizuri hili toto lilosherehesha faina ya Uefa jana lipo vizur aseee mda wote Ronaldo de Lima udenda ulikua unmatoka kama mtoto
Ukilitazama Kwa kujiibia...
Kiuhalisia ni mtu muongeaji Sana Mimi mia saba. Ila ni mtu mkimya Sana na nikikuzoea hutoamini. Maana na jua kutengeneza story za kufurahisha nikiakikisha huboreki tukiwa pamoja.
Shida inakuja...
Hii hali mnadeal nayo vipi malegendi.
Kashakula, kashakunywa, shopping, n.k. lakini umeomba game ndio anakupa taarifa kwamba yupo siku zake...
Mbaya zaidi time frame mliyonayo ni siku hizo...
Unakua na mtu kwenye mahusiano,
Siku Anakuletea habari inayomhusu mtu wako wa karibu kukujuza kwamba kapatwa na matatizo.
Ila katikati ya habari, unagundua kwamba lengo la mtu huyu sio...
Salaam wanaJF,
Katika kutafuta kupata taarifa za kweli na uhakika naomba kuuliza je, ni kweli mwanaume akikaa muda mrefu bila kufanya ngono anakuwa kwenye hatari ya kupata saratani ya tezi dume...
Habari zenu wana jukwaa wa JF, nombeni ushauri jamani, nifanyaje nimsahau huyu mwanaume?
Nilikuwa kwenye mahusiano na kaka mmoja jina sitomtaja tangu mwaka 2018, tumedumu vizurii kabisa toka...
Habari,
Wakuu Nna mpenz wangu mmoja (Ni Mchepuko Wangu) ni mwanachuo Hapa dsm, Yuko kwenye miaka 20-22 .Kipind tunaanza mahusiano, Changamoto yake Kubwa ilikua Ni aibu. Alikua na aibu sana Kias...
Binafs huu upepo uko kwa mwanamke wangu mmoja ambae sio mchumba Wala MKE wangu wa ndoa, bali Ni Mchepuko wangu wa MDA mrefu mamaJ.
Kuna wanaosema zinaa na Mchepuko huleta mikosi,gundu,mifarakano...
Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Wazee hapa mimi nimekwama hivi hili swala la unaenda pub unamnunulia bia manzi mnapanga kabisa kuwa hapa tunaondoka wote anakubali hapo mnapo yapanga hayo...
Hivi siku ile unamwoa huyo mwanamke ulijua kabisa kuwa hakupendi ila ukamwoa hivyohiyvo? Kwa sababu zako zipi sijui?
Mfano kwa mwanamke, wengi huingia hawajampenda mwanaume ila sababu zake ni...
Sasa hivi Haji anashikwa na wake zake vizuri tu
Halafu kuna mimi mida hii nashikwa na funza miguuni tu
Dah hii dunia kuna watu tumeletwa ili tuje kuona taabu tu
Na wasubiri wazee watafuta pesa...
Kuna wanawake sijui ilitakiwa wamrubuni Adamu mwanzoni sio sisi tupo hapa tunakula kwa jasho tulilopewa na mungu.
Nilikuwa na mahusiano na dada jambazi.
Mwanamke mwanzo mwisho ni matumizi...
1. Kwanza Baba ndiye kiongozi wa familia si babamkwe wala mamamkwe. Familia bora baba ndiye mwenye kauli ya mwisho si mama wala watoto. Kwenye familia bora baba anaheshimika na akiwa na heshima...
Kuna siku nilikua na miadi na manzi mmoja, budget yangu ilikua ni mimi na yeye, nashangaa anafika na nyomi la rafiki zake! Nikawakaribisha kwa roho ya unyenyekevu sana! Wakaona hapa wamepata shem...
Mimi nina mwanamke nimezaa naye ila tulishindwa kuoana sababu ya roho yake, mean hapendi kuona namsadia mtu mwingine na akawa mtu wa kutaka kuniendesha.
Nikirudi job kelele ugomvi na majirani...
Aisee aikwambie mtu kosea kuchagua nguo, utabadilisha, kosea rafiki utawapotezea lakini usikosee mume. Ukikosea mwanaume wa kuolewa nae tu, umekosea kila kitu. Kikweli wanaume wa siku hizi, hawana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.