Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu habari, Kiukweli issue ya dini tofauti katika mahusiano inatesa sana, usiombe ikukute. Huyu mwanamke ameamua kubadili dini na kuwa mlokole wakati tulikuwa Catholic wote, saizi muda wote...
1 Reactions
11 Replies
460 Views
Hivi wakuu kupenda ndio kitu gani? Mimi navutiwa sana na akina dada, na nikizamilia kumla nitafanya yote ili nimpate, but after that, ndo inakua mwisho wa habari. Sasa huwa siwaelewi wale unakuta...
2 Reactions
35 Replies
1K Views
Natumaini mko salama katika ujenzi wa taifa hii ni story ya kweli kuhusu maisha yangu nimeamua leo kuisema ila kuna ambavyo mnaweza kujifunza. Nilipomaliza chuo(nilisoma kilimo) niliamua kwenda...
34 Reactions
60 Replies
8K Views
Nilileta thread hapa ya Dr. Ceaser akiongelea uhalali wa kuoa mke zaidi ya mmoja.. Maoni yangu kama mwanamke ntaongea kile nilichogain kutoka huyu mchungaji Kuna watu kama Yakobo, Abraham...
29 Reactions
95 Replies
5K Views
Salaam wakuu, leo nimeona niwajuze kuhusiana na kisa cha kushangaza kinachomuhusu mchezaji wa mpira Jermain Defoe. Jermain defoe huyu ni mchezaji wa zamani wa soka katika timu za...
11 Reactions
22 Replies
2K Views
1. Mtambue uliyenaye hulka zake na tabia zake Usipomtambua mwanaume au mwanamke wako, itaiupa shida kujua nini anapenda, nini apendi au anapenda, tabia zake mbaya na nzuri, udhaifu wake. Hii...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za harakati za maisha wananzengo, Niiende kwa hoja moja kwa moja. Nina mke wangu ambae leo tunamiaka mitatu kasoro. Tumekuwa tukiishi vzr tu bila ugomvi na kama upo ile kupishana tu kauli...
35 Reactions
266 Replies
12K Views
Nisimchoshe MTU yoyote. Katoto kazuri nilikachakata utamu. Nilipata kadada kadogodogo juzi. Nikakaalika lodge Moja mafichoni. Kalikuwa na hamu ingawa hakakuonesha waziwazi. Katika hangaika...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Siku zote wanaume wameendelea kuwa madaraja yaani wao pesa yao wakiishika inapitiliza kwenda na hasa kwa wanawake. Ila katika haya makundi mawili bora yule ambaye ni mtu mzima anayejielewa yeye...
1 Reactions
11 Replies
642 Views
Katika mahusiano mahitaji ya kihisia huwa ni mahitaji ya kimsingi hususani suala zima la kujamiana mwanaume na mwanamke wake (Wenza). Kumekuwepo na maneno mengi ya kuonyesha umuhimu wa ngono...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
1. Oga maji ya baridi na uingie kwenye chumba chako unacholala. 2. Zima televisheni na redio ili isikupigie kelele ... . 3. Washa feni au A.C ili kutoa hewa safi ndani ya chumba. 4. Sasa...
27 Reactions
51 Replies
6K Views
Happy new year 2023 Hivi inakuwaje wanaume wenzangu unaoa mwanamke Anaongea sana iwe ndani ya nyumba, nje, kwenye simu yani yeye ni talkative unaweza kuwa unaongea nae kwenye simu huku akiwa...
20 Reactions
78 Replies
4K Views
Habari, Kuna namba za ma x nimepotezana nao kitambo. Nikaamua mwaka huu namba ambazo hazina umuhimu ni kbra kupunguza storage. Nikaanza kuzipiga, yaani kumbe bado hawajanifuta; zaidi wameniambia...
1 Reactions
8 Replies
957 Views
Habari za leo ndugu na dada zangu wa hapa jukwaani. Natumai nyote wazima. Hongereni kwa walioudhuria ibada jumapili. Huku kwetu leo tumejifunza JINSI TUNAVYOWEZA KUMWIGA MUNGU WA REHEMA, namna...
4 Reactions
53 Replies
2K Views
Habari ya Uzima wanajamvi. Natumai wengi wetu, Mungu wetu wa Rehema ametuvusha Salama kufika mwaka 2023. Jambo la Kumshukuru sana Mungu. Nijikite sasa kwenye Mada yetu husika wanajamvi. Kama...
5 Reactions
60 Replies
3K Views
Hellow dears Ilikuwa morng nipo kwenye mwendokasi kutoka kimara mpaka kivukoni nilushuka pale garden tukawa natembea kuangalia pembeni nikamuona kijana wa kike na wakiume ambao teyali...
4 Reactions
53 Replies
2K Views
Hamjambo! Sijui kwanini watu wa ndoa nyingi za watu wa bara hazidumu ukilinganisha na Ndoa nyingi za watu wa pwani sijajua shida ni nini aisee tafadhali labda watu wa bara mnaweza kunisaidia...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Nakumbuka mwaka 2010 ndiyo nilijiunga hapa, enzi hizo niko kidato cha tatu. Zama zile kulikuwa na jukwaa la wakubwa na ili ilitembelee ilikuwa ni lazima mods wakuunge. Basi nikaomba kuungwa...
22 Reactions
121 Replies
8K Views
Katika harakati zangu za kuuza Ubuyu GHAFLA nikaomba namba ya Dada mmoja hivi she has 24 years na Ni single Mother. Mtoto wake amemtupia Mama yake huku yeye akipanga Chumba Maeneo ya Gongo la...
24 Reactions
154 Replies
10K Views
Niwatakie heri ya mwaka mpya 2023 wadau wote, Bila kupoteza muda na mameno mengi niende kwanye tatizo lililonileta labda mtaniasia kwa ushauri. Labda nitaeleweka kwa mamsap. Mimi ni baba wa...
30 Reactions
130 Replies
10K Views
Back
Top Bottom