*MAJUTO NI MJUKUU*
Dada zangu kuna kitu cha kujifunza hapa
Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata sikumoja...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ mwenye kipato cha kati, kinachonichaganya umri unazidi kwenda sina mchumba wala mpenzi wa kuoa.
Kila nikijaribu kuwa kwenye mahusiano mara nyingi...
1. The country or region of origin
Take this into consideration before committing to a long-term relationship with someone. Researching the ancestry of your future spouse's family can provide you...
I know we can't be together right now, we're just too far apart, and I understand that. I also know that logically you will probably never actually see this letter, either. But the same part of me...
1. Usinyoe nywele sehemu za siri.
2. Usile chakula kingi Muda mfupi kabla ya kuelekea kumpelekea moto au kupelekewa moto(kugongwa).
3. Usije ukanywa dawa za maumivu ikiwa unahali ya kuumwa/Homa...
Habari zajioni.
Wanawake wengi hivi wana matatizo gani?mbona ni kama hawataki kuona mwanaume akipumua na kua na furaha yake? Imagine mtu simjui na hanijui ila aliniangalia kwa macho makali mno...
Habari zenu wadau,
kuna dada mmoja tunafanya nae kazi ofisi X. Huyu dada ni mshikaji wangu since day one maana tulianza kazi siku moja na siku ya interview tulikua wote sema tulikua...
Wakuu huwa najiuliza sana ivi ni kwani haya mashirika ya kutetea haki mwanamke na hizi NGO's ambazo hasa zinapigania haki za wanawake afrika na hasa za hapa kwetu Tanzania huwa hazisemi chochote...
Wewe umeoa una mke wako ambaye mna watoto naye,
Kwa bahati nzuri na mbaya ukapata kazi nje ya nchi au ukaenda kufanya kazi hiyo. Na kumuacha mke wako na watoto wako nyumbani kwako. Kule unaenda...
Nilipata demu nikiwa kijana kijana, tukatoka kwenda naye Ngwasuma, 2007 hiyo Ngwasuma wanapiga Makumbusho Village. Ukumbi ulikuwa unajaza sana, Ngwasuma walikuwa wanapendwa sana.
Watu walikuwa...
Kwakadri mda una uenda na tamaduni mbali mbali za kisasa zinaibuka na kujengeka kwenye jamii zetu.
Hii tamaduni iliyoibuka hivi karibuni ya mwanaume kupiga magoti wakati wa kuvalishana pete ni...
Happy Jamhuri day.
Husika na heading hapo juu. Nini tafsiri ya Hali hii kwenye maisha ya mapenzi?
Siku zile nilipokua mtawa mzuri nilikua siamini kabisa mtu anashindwaje kutosheka na kisima...
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 25
Nina mdogo wangu ambaye yupo chini yangu yeye ana umri wa miaka 22, huyu mdogo wangu alikuja kupewa mwanamke mwezi wa 12 alipata mimba uko wakamletea mke...
Je, umeweka Malengo yako ya Wanandoa kwa mwaka huu?
Je, utaendelea kukusanya madeni - kila mara ukitumia zaidi ya unavyopata?
Je! jamaa zako wataendelea kukaa nyumbani kwako - hutawahi kuishi...
Wasalaam
Nimehudhuria kwenye muziki wa sebene kwa kiasi chake, ila mara zote nimekuwa na bumbuwazi, shauku, tashwishi na hamasa ya kufahamu hivi yale mauno huwa wako hivyo hata kwenye sebene la...
Moja ya sababu kubwa naichukia Marekani, na kufurahia kuona namna Kim wa Korea anavyomjambisha Marekani, basi ni kuleta uasi na maangamizi ya ngono ya namna hii.
Femdom sex ni ngono ambayo...
Leo nimekutana na mke wa mwalimu wangu wa kanisa fulani akitoka guest na mwanaume mwingine. Cha ajabu na cha kusikitisha huyo kijana.
Ni mdogo anaweza kuwa sawa sawa na mtoto wake wa kwanza au...
Kuna mzee moja wa kimila ana miaka kama tisini hivi nilimuuliza swali kuhusu ndoa wakati wao.
Alisema mwanamke ambaye hakuwa bikra ilikuwa haolewi na anasema kulikuwa kuna wazee wa kike wanaokaa...
Habarini
Mwanangu ni mrembo Sana hata kuliko Mimi mamaako
Umechagua baba wa wanao mzuri sana ni tatizo na ukichagua mbaya Sana ni tatizo pia. Uwe una balance.
Edina mwanangu uzuri wako ni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.