Heri ya mwaka mpya.
Nina mchepuko wangu single mother now ana kama miaka 23 hivi
Huyu binti nimeanza nae kitambo na tunakua na migogoro ya hapa na pale ila bado alikua ananipa papuchi.
Anajua...
Mwaka 2018 nilipendana na binti fulani kwenye fb binti huyo alikuwa hanijui na mimi si mjui kabisa si mnajua mapenzi ya fb na tulikuwa tunaishi nchi tofauti yeye TZ mimi nipo katika nchi za...
Jana siku yangu nzima haikwenda sawa, nilipotoka nikapitia bar, nikanywa bia kadhaa ili kutuliza kichwa mpaka nafika home ni saa 5 usiku. Frustration za Hapa na pale kichwani nikajikuta nalala saa...
Wasalaam JF
Katika harakati zangu za ubatizo wa kimahusiano, utamaduni wangu hua navaa low profile yaani mithili ya mtu asiejiweza kipesa, kupitia hili mahusiano yangu mengi yanakufa chap kwa...
Kuingia Kwenye ndoa ni ndoto ya matamanio ya mwanamke ambayo huanza kujijenga tangu akiwa msichana mdogo sana.
Na ndoa ndiyo hubadili maisha na mwenendo wa matukio yote yaliyotokea nyuma yawe...
Nadhani wote jioni tukutane kwenye ukumbi wa rose garden hapa majengo Moshi mjini tuna kikao chetu sisi kama team kataa ndoa. Huyu kaka angu katufanyia usaliti mkubwa sana, sote tumekubaliana...
Watu wengi wako kwenye ndoa na watu ambao si matarajio/malengo yao.
je wewe ambaye bado hujaingia huko, umejipangaje ili usifanye kosa hilo?
Ili umpate mke wa ndoto zako hakikisha hauruki hatua...
Heri ya mwaka mpya bandugu.
Mwaka ndo umeanza hivyo,mambo ni mengi,mengi kweli kweli. Mungu atusaidie.
Asubuhi ya Leo nimepata habari flani kuwa X kawa chizi..mmh nikashtuka kulikoni huu uchizi...
Nina demu wangu ambaye kwasasa tuna miezi takribani 8 hivi kwenye mahusiano. Huyu demu wangu yupo tofauti kabisa na wanawake wengine ambao nilitoka nao before. Najaribu kusoma tabia yake lakini...
Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea...
Kama wewe ni mwanaume na unaamini sifa inayokutambulisha ni ndevu au uzito wa sauti ama kuwa tu na viungo vya kiume,kuna kitu kikubwa umepungukiwa.
Labda nikwambie jambo jamaa yangu , umezaliwa...
Kabla ya kuasi shetani alikuwa malaika mkuu wa Mungu yani ni kama kiranja mkuu ama waziri mkuu.... Kwahiyo zile chembe chembe za uungu bado anazo mpaka Leo hii....
Chooni panachukuliwa kama...
Ndugu zangu kila mtu ana wake anayempenda kwa dhati mke/ mume au mchumba.
Hembu jivunie hapa mazuri yake toka umekuwa nae.
Nianze mimi, mama watoto wangu Anna nakupenda mno aiseeh, miaka mitano...
Habari zenu wakuu, herini ya mwaka mpya. Bila kupoteza mda niende moja kwa moja kwenye mada.
Miaka mitatu iliyopita nilifahamiana na binti mmoja kupitia social media na niyeye alienitafuta, awali...
Mabadiliko ni kama sheria kiasili, lakini huwa hayapendwi na watu katika kila kitu.
Katika mahusiano huwa hatupendi mabadiliko haswa yale ya kitabia hayapendwi kabisa. Imegundulika kuwa wanawake...
Tukiwa tumebakiza siku au masaa kadhaa kuuaga mwaka 2022 nakuja mbele yenu na hiki kisa:
Kuna kabinti flani kalikuwa kanasoma chuo flani hapa Dom nilikuwaga na mahusiano nako miaka ya nyuma badae...
Kwenye mahusiano ni haki kila mpenzi kuzungumza aonacho hakipo sawa katika upande wa mwenziye. Wapo wasiojua kuzungumza badala yake huwa ni watu kulalamika, kila siku ni watu wakulalamikiana juu...
Hello,
Story kwa ufupi, duniani hakuna mjanja aloshindikana, kila penye nyumba na nyufa ipo. Katika hali iliozoeleka inaonekana kutoka na mke au mume wa mtu ni ushujaa sana mithili ya kubeba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.