Vijana mnaoanza maisha msikurupuke kuowa tu sababu ya kupenda jaribu kuchunguza na familia ya huyo unayetaka kumuowa kiuchumi na kiutamaduni iko vipi la sivyo hamtaisha kuja na nyuzi za kurusha...
Natumai mwabuheri wa afya tele na mko vema na huu mwaka mupya. Leo nikiwa ndani ya shoo shoo na pisi mpakato yangu nimeulizwa mbona hujanitafuta ni wiki mbili toka tufamiane ulikuwa unasubiria...
Dah sijui niseme hii tabia ni nzuri au mbaya, anyways nitajua baada ya kupitia maoni yenu, Lemme pull in weed's smoke then out 😤 "Psss Kho kho"... Okay Let's go
Baada ya kuachana na aliekuwa...
Out there wakuuuu,
Wakuu kama kuna kitu kimenishinda ni hii ya kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja.
Nilijaribu zaidi ya mara moja lakini automatically tu mmoja akaomba kufanyiwa sub...
Ladies and Gentlemen hope all your doing fine.
Direct to the point. Some years back, nakumbuka 2019 nilianza mahusiano rasmi na binti mmoja wa kinyakyusa. Binti huyu nipo nae hadi Sasa na kwa...
Una weza dhani upendo ni pesa lakini utagundua ya kwamba unajidanganya ,hasa pale utakapo gundua ya kuwa mapenzi wako unaye mpa pesa na vitu vyote vya thamani anavyo taka, amekusariti tena analiwa...
Ukipata mnayependana mshikilie, usimwache aende. Utakuja kujuta kama wanandoa wengi wanavyojuta kwa sasa. Kukuta wote mnapendana inatokea mara chache sana maishani. Wengi wetu tuna wapenzi wenye...
Inshallah Mungu ajalie January 1, 2023 naanza na penzi jipya la mtoto wa kisagara. Ni hatari sana hii mashine nafungua mwaka kivingine. New year New mashine new show. Nyota ya "Pisi mpakato"...
Nilimpa nauli ya kwenda na kurudi ili kusherekea siku kuu na mwaka mpya, zawadi za wazazi wake kapewa, hera ya pempas za mtoto, na 90,000 za dharula emergence in case, inakua je leo asubuhi ana...
Kwenye swala hili nahisi limenipita na dunia imeniacha, Samahanini wana JF hivi vipipi mahaba ni nini?
Maana kila sehemu nikipita kwa baadhi ya watu wanazungumzia sana na wapo wanaonunua mpaka...
Ni mtoto wa geti japo sio geti kali sana, ni hawa mabinti wanaojifanya slay queen kutwa uzungu uzungu na kujitik tok.
Nilikutana nae maeneno yangu ya site hapa kiwandani kwangu, siku ya kwanza...
Tangu mwaka 2014 ni meficha mke wangu mahusiano yangu na singo maza mwenye watoto wawili wa kike.
Sisi wanaume Mungu alitumba kua na huruma kwa viumbe vya kike na tunakua na roho ya kusaidia...
Eti mwanamke hamsahau kabisa mwanaume wake wa kwanza(aliyemtoa bikira)? na hata inapotokea wameachana na mwanaume huyo still anakuwepo moyoni mwake maishan mwake?
Na kwamba hata ikitokea siku...
Hii mada ni zao la ile post ya ufahamu uchawi wa kisambaa...interest kubwa imekuwa kwenye kipengele cha NDELE, sasa badala ya kujibu maswali kwenye forum na pm , pitia hapa upate full version...
Tangu nimeachana na mchepuko wangu mwaka jana sikutaka tena masuala ya mahusiano nimejipa muda
Nikawa najichukulia sheria mkononi maisha yakasonga.
Ila hadi leo hii tar 1/1/2023 sioni dalili ya...
Mtaani kuna mama alikuwa na mgahawa wake, hapo mgahawani kulikuwa na mabinti watatu. Mmoja kati ya hao mabinti alikuwa bubu na nilikuwa nampelekea moto kiaina, hakuna mtu mtaani alijua uhusiano...
Fetish ni kitendo ambacho kinamuongezea mtu raha kwenye sex, kwa hawa wengi kwa nchi walizotokea fetish zao huwa ni mtungo wa kumchangia binti moja huku wakimuingilia zamu zamu kinyume na maumbile...
Salaam za muda huu wana JF wenzangu,
Please, kwa wale wakazi wa Iringa wakina Kamwene napenda kuomba msaada wa mawasiliano ya Bibi Mkunga maarufu kama Bibi Msabato.
Anayefahamu anapatikana...
Ili penzi la ukweli baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka wuuu
Na ukinikumbatia moyo unadunda
puuh
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Oooh unadunda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.