Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wasaalam kama kichwa cha habari kinavojielezaa, twende moja kwa moja kwenye mada, Nitaeleza kisa kimoja ambacho nimekutana na hawa baby mama drama kwa Sasa ni wamejaa sana, siku hizi wakina dada...
3 Reactions
76 Replies
7K Views
Juzi kati nilikua nasafiri kwenda upcountry huko, kuna mpangaji mwenzangu mumewe ni mtu ana wadhfa mkubwa tu serikalini, nilivyomuaga akaniambia nimletee zawadi, basi me nikajua ni utani tu...
8 Reactions
57 Replies
5K Views
Habari, Samahani leo nimepata kujiuliza hilo swali, hii ni kutokana na wasichana omba omba hivi huwa wanatumia akili gani kuwaza mpaka kufikia hatua kuomba? Hivi wako na rational thinking? Mtu...
3 Reactions
41 Replies
1K Views
Watu wazima ovyoo mnaona wivu na mtaona sana na kama matusi mnayo basi fungueni kijiwe muwe mnapeana notes ila kuachwa siachwi ng'o mtabakia kubadili ID muwe mashoga , muwe vichaa kazi kupiga...
15 Reactions
243 Replies
7K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu. Kwa masikitiko makubwa niwaombe tuu dada zangu pale tunapo watongoza badala ya kutupa jibu kama mmetuelewa au laha hasha mnazugazuga na maringo kibao na hapo...
6 Reactions
93 Replies
3K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu.. Nimekua kwenye mahusiano na mwanamke wa kichaga japo hayupo peke yake na spare za kutosha ili kutunza afya ya akili..nakupata muda wa kuchambua chambua wa...
13 Reactions
50 Replies
2K Views
Kuna dada mmoja ambaye nilitokea kumpenda sana, sdada huyo nilimwambia ukweli wangu lakini kwasababu ya umaskini wangu akaniona kama kituko kwake. Maana alikuwa amezoea kutoka na hawa wanaume wa...
30 Reactions
74 Replies
5K Views
Unajua kuna kitu mimi kina ni changanya, zamani tulifundishwa mwanamke mzuri wa kuishi naye au mwanaume bora wa kuishi naye ni yule ambaye ana tabia njema lakini siku hizi tunasikia mashauri...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Walimwengu usema thamani ya kitu uonekana pale tu unapo kipoteza au kutoka mbele ya macho yako Na malipo ya mwenye kiburi ni majuto Nilimpoteza mwanamke ambaye alikuwa msaada kwangu. Mwanamke...
19 Reactions
40 Replies
4K Views
1. Usiharakishe kutoka nyumbani kwa wazazi wako kwa gia ya kwenda kuolewa. 2. Usimsubiri mwanaume mpaka aje ndio uanze kuishi. Unaweza kuishi maisha timilifu hata ukiwa huna mwanaume. 3.Achana...
3 Reactions
7 Replies
910 Views
POISON THAT KILLS MEN Once upon a time a beautiful girl got tired of her marriage life and wanted to murder her spouse. One morning she ran to her mother and say to her " mother, I am tired of...
10 Reactions
7 Replies
2K Views
Humu wadada wengi Wana avatar mia Moja za kiume na zakike nimetafakari sana nanimeona kuwa huu sio ustaarabu umchafua mwanamke mwenzako Kisa mwanaume ambaye ni mume wa mtu ambaye ni amepiga umri...
13 Reactions
655 Replies
15K Views
Niliambiwa kua uyaone basi mim mwenzenu nimeyaona, naandika huku natetemeka sikuwahi waza kama baba mtoto wangu anaweza kua mshilikina kupindukia. Ni kijana mmoja very smart, mstaarabu wa sura...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Mama watoto wangu niliachana naye kwa miezi kadhaa, sasa ila kila mara huwa ananiambia kwamba nitapatwa na majanga kazini na nitajutia. Kuna yoyote mwenye uzoefu wa jambo hili, aliyewahi kuachana...
2 Reactions
78 Replies
3K Views
Huyu mwanamke nilikutana nae miezi mitatu iliyopita nikiwa katika harakati zangu za kikazi mkoa flani. Alinivutia muonekano wake na tabia (napenda wanawake wapole). Tukaanza mahusiano baada ya...
42 Reactions
261 Replies
10K Views
Katika pilika za haya maisha kote niliko pita nakutana na malalamiko huyu kala mke wangu .....yule katembea na mme wangu. Sijui jamaa wa ist kanigongea mchumba wangu uchumba umekufa . Sijui yule...
2 Reactions
9 Replies
422 Views
Nakwera nawatu wanaoniona Malaya humu . Ni hivi mjue Hili xmass nisiku ya kufurahia sio yakukerwa na mtu kaungua zake anastress sana. Mwanaume ukishaoa wake zaidi ya mmoja sio Suna ni UMalaya ...
13 Reactions
328 Replies
13K Views
Vijana kama mnaona mjamaliza utamu wenu msije kujiingiza huku. Baada ya ndoa unaweka familia na familia ndio inakuweka gerezani kwa kila kitu,yani piga ufanyavyo lazima kuwezesha familia ijalishi...
1 Reactions
10 Replies
602 Views
Nipo kwenye dilemma nipo ktk kipindi kigumu mno. Msaada tafadhalini nipo Manzese muda huu na sijui nimefikaje
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Kwanza niseme mimi ni mwanaume mwenye uchumi wa kawaida sio tajiri wala sio masikini nipo katikati. Me ni mwanaume ninayependa Mwanamke mwenye sifa zifuatazo Mwanamke ambaye hawezi kuniomba mimi...
0 Reactions
6 Replies
928 Views
Back
Top Bottom