Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Jamani naombeni ushauri nilikuwa na mahusiano na mwanaume kumbe alikuwa na mtoto hakuniambia nilivyogundua ndo akakubali kweli mtoto anae lakini mama ake mtoto hana mahusiano naye. Nimekuja...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Assume una mke mdogomdogo mama wa nyumbani na bado hamjapata mtoto, sasa mnaishi kwenye nyumba moja mko wapangaji wawili tu; yaani mtu na mkewe ambao hawana pia mtoto ila wenyewe hawana kazi ya...
18 Reactions
215 Replies
9K Views
Mke wangu tuna kama miaka 12 sasa toka tuoane cha kushangaza ndani ya hii miaka miwili amebadilika sana. Tunaweza kukaa hata mwezi bila tendo la ndoa na nikimsogelea anakuwa mkali sana, nahisi...
6 Reactions
105 Replies
7K Views
Yaani najiuliza baada ya kuoa tu ndio michepuko inakuja mingi tofauti na mwanzoni nilikua naipata kwa shida sana. Hata nimejaribu kumshirikisha jamaa yangu na yeye anasema baada ya kuoa ndio...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Narudia tena either you are a man or woman na ushajifahamu akili ipo kumkichwa usigawe DNA Yako kizembe. Kwa lugha nyepesi usizae kiholela na Watu wasiojielewa ni hayo tu ndugu zangu. Happy...
21 Reactions
54 Replies
2K Views
Karibuni nyote wanachama wa jukwaa hili. Kuna mambo makuu mawili ambayo ningependa kuzungumza pamoja nanyi wanachama wa jukwaa hili yahusuyo Ndoa & Mahusiano ya kimapenzi. Jambo la msingi hasa...
4 Reactions
64 Replies
3K Views
Kama ilivyo wadau kila kitu kina faida na hasara zake. Sasa leo ngoja tuone faida za kibamia yaani faida za uume mdogo wa raia mwenye umri kuanzia miaka 18. Mimi kama raia nisie miliki kibamia...
1 Reactions
83 Replies
3K Views
Jana nilimnunua Gauni nikiwa nataka nimsupriz , Sasa nikafika nikaliweka kabatini bila yeye kujua . Leo nimetoka Mapema sana Alfajiri kufata Kamfugo ndanindani huko , Sasa nikaingia na wazo la...
13 Reactions
98 Replies
7K Views
Wasalaam, Maisha ya mwanadamu yamejawa na matukio mengi ya huzuni, furaha, majonzi, kukata tamaa ya kuishi n.k Hii ni story ya kweli iliyonikuta ndani ya mwaka mmoja uliopita. Ilikuwa kipindi...
8 Reactions
68 Replies
3K Views
Kila tukijadili mambo ya maadili, hususani kukua kwa ufuska kwa vijana wetu wa kike au labda taarifa fulani inayohusu visa vya mapenzi tunavyovisikia kwenye TV au mtaani hapa, basi kauli hii...
0 Reactions
12 Replies
594 Views
Kama una mchumba wako na una malengo ya kumfanya mkeo hakikisha ufuatiria mienendo yake, usiridhike na maigizo ayafanyayo pindi mnapo kutana, tofauti na hapo utajikuta unaoa jitu la hovyo kama...
18 Reactions
71 Replies
4K Views
Hope mpo good wakuu. Wakuu mimi sina ndugu wa kiume wa tumbo moja, ila Kuna hao watoto wa baba mkubwa, baba mdogo, mama mkubwa, mama mdogo, shangazi, mjomba ambao mimi nawaitaga tu kaka, hayo...
6 Reactions
142 Replies
8K Views
Natumai wote mu wazima wa afya . Mimi ni kijana wa miaka 31 kwasasa na toka niko na miaka 25 nilikua na hamu sana ya kupata mtoto na kuwa na familia kiujumla. Kama unavyojua maisha ya ujana kuna...
16 Reactions
218 Replies
16K Views
Ndugu zangu habari, kichwa cha habari hapo juu chahusika. Huwa kwenye harakati zangu za ulinganiaji wa dini ya kiislamu nikiwa mimi ni mwalimu, mwanafunzi na mlinganiaji wa dini kwa Quraan na...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Mpenzi wangu (mchumba mtarajiwa) amesafiri kwenda kwao lakini hajibu sms wala hapokei simu (japo iko hewani) tangu siku ya Xmas hadi leo. Hii maana yake nimetemwa au inamaanisha nini? Maswali...
6 Reactions
101 Replies
3K Views
Habari, Sio kila pisi kali inayopita mbele yako ni ya kula. Wanawake wa sasa wako Very cheap lazima ujivalue. Kuna muda condom ni muhimu sana. Gono, Kaswende, Genital Warts. Utakula kwa Elfu 5...
44 Reactions
118 Replies
11K Views
Kiukweli hali ni mbaya, dada zetu wanaomba pesa kupitiliza. Hebu fikiria mtu hujamtongoza, ni yale mazoea tu ya kawaida lakini kila muda kwako ujumbe unaingia wa kuombwa pesa tu. Mwengine...
16 Reactions
186 Replies
9K Views
Katika Jukwaa la MMU wewe ndiyo umekuwa kinara, nakupa hongera sana na Mungu akupe afya njema mwakani utuletee nyuzi zaidi. Ila pia nikupe tahadhali kuwa makini na Mama J, ameshachukua namba...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Kuna wafanyakazi wenzako wawili wote ni watu wako wa karibu mnakaa wote mnakunywa kula na kulewa pamoja sasa niambie yupi ni mbaya zaidi yaani tabia zake havumiliki yaani unayefikiri anakufanyia...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Bila shaka hujambo! Ni matumaini yangu kuwa licha ya hekaheka za hapa na pale bado u buheri wa afya. Kama ilivyo kawaida tunakutana kwenye simulizi ya makala kuhusu maisha, leo hii tutaangalia...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom