Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
[emoji116] "Wakati ukifurahia Christmas [emoji319], naomba nikupe Dozi ndogo hapa. (Usipovifahamu vitu hivi utakosea sana na kufurahia ndoa kutakuwa msamiati kwako. Jifunze) Mume anataka sex...
11 Reactions
13 Replies
3K Views
Niaje wadau Jana usiku nimekuta kajiwekesha status kana kwamba anaomba mtoko leo Kuanzia asubuhi ya leo nlimtxt ila mpaka sai nnavoandika hajajibu. Na hiki kihali cha hewa leo dah! yani huko...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Wanaume wenzangu, kwa nini ni ngumu Sana kuchomoa mtego wa mwanamke akikutaka kimapenzi? Wanawake wakitongozwa wengi huweza kupangua mashambulizi tofauti kabisa na upande wa pili. Yaani mrembo...
16 Reactions
207 Replies
12K Views
Kwa siku za karibuni kwenye mitandao mbali mbali kumeshamiri maombi ya kuhitaji Wenza...natamani kujua kama kuna utafiti umefanyika kujua mafanikio ya mfumo huu. Maombi haya yamekuwa...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Ni kwa kipindi kirefu kidogo baada ya wanawake wenye makalio makubwa kufanya mapinduzi kuanzia miaka ya hivi karibuni baada ya kuwekwa kapuni kwa muda mrefu. Miaka ya nyuma kidogo wanawake wenye...
8 Reactions
64 Replies
7K Views
Herini ya siku kuu ndugu zangu bila kujali dini na wakaribisha wote tusherekee pamoja. Yapata muda mrefu sasa tokea nimempata huyu dada na kua nae na mahusiano ya kimapenzi, kama mwanaume najua...
6 Reactions
67 Replies
3K Views
Habari Jf! Nimefanikiwa kupata nyumba ndogo tupo hatua za mwisho kufunga ndoa. Katika harakati za muonjano nikagundua ana sehemu mbili lakini ya kike ndo inaonekana vizuri na ipo vuzuri...
10 Reactions
155 Replies
17K Views
Kinehe bankima na bangosha Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa mwanza wilaya ya ilemela kata ya nyamanoro mtaa wa kona ya bwiru au zaman ikijulikana kama mtaa wa...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari wana JF Mimi ndugu yenu nina makubwa ambayo yamenifika na sijui nitayatatua vipi? Nina mke wangu nilimuoa mwaka 2015, baada ya kuishi nae miaka kama 7 sasa kuna siku juzi nipo kazini...
46 Reactions
221 Replies
23K Views
Dah [emoji24][emoji24][emoji24] hivi nyie wenzangu wa humu ndani mnawezaje kumbembeleza mwanamke mwenzenu nmeshindwa hapa nimetoka kupigwa hela ya lodge demu kazingua ikabidi nimwambia aende na...
16 Reactions
147 Replies
4K Views
Anaandika, Robert Heriel Mambo ya kubembelezana hakuna hapa. Kwanza muda mchache na maisha mafupi huo muda wa kubembelezana tutautoa wapi. Kama hawezi kukugharamia piga chini. Usiwe na jicho la...
11 Reactions
58 Replies
4K Views
Kumbe nilikuwa sijui nywele za kifua kuzinyoa zinauma hivi.Aisee mpaka nimepata mafua .Kila napotembea najikuna Sana. Ndugu msomaji tunza nywele zako za Kifuani usizinyoe utawashwaa aisee usidhubutu.
0 Reactions
9 Replies
881 Views
Mkiendelea na kusheherekea Niwaambie hawa dada zangu waache kutuita majina ya mahaba msimu huu wa siku kuu maana hayatoki moyoni kabisa , sisi kama wanaume tunajua wazi kabisa mnatuigizia na...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Peace, love and good health to you and your loved ones on this christmas day!
1 Reactions
6 Replies
380 Views
Mambo zenu wakuu? Mke wangu hana mshipa wa aibu kabisa. Mwanamke huyu kwanza anaweza akajamba mbele yangu, leo asubuhi niko naoga bafuni kaja kachuchumaa akaanza kujisaidia haja kubwa mbele...
50 Reactions
221 Replies
26K Views
Wanawake emu njooni hapa mtuambie kipi kinawafanya mpende sana shughuli/harusi kuliko ndoa yenyewe? Binafsi kuna wanawake kama 5 nishawashirikisha hili jambo, na nilikuwa nikiwaambia hivi langu...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Huo ndo ukweli jamani ambao natamani kuusema... Nahisi mimi ntakuwa ni kati ya wale watanzania ambao tunashika mkia kwenye suala zima la kupiga show. Niseme tu ukweli mimi ni mbovu sana, tena...
24 Reactions
123 Replies
8K Views
Hello poleni na majukumu japo ni weekend, basi tukumbuke kulala mapema kesho ni monday![emoji4] ndg zangu (hasa wanaume) mpenzi/mke wako anapokutamkia hili neno utajisikiaje? kwamba "siku moja...
2 Reactions
12 Replies
692 Views
Habari ya kuamka wana MMU, Ningependa kuchukua nafasi hii kuwatakia wote heri ya sikukuu ya krismass kwa waamini wote..ikawe siku bora na njema tukikumbuka siku ya kuzaliwa Yesu kristo kama...
2 Reactions
1 Replies
271 Views
Watu wengine hawajui thamani ya wapenz wao wa mpaka pale watakapo wapoteza...[emoji174] #ValueOfthings
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Back
Top Bottom