Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
"UMALAYA , UMALAYA , UMALAYA" - " MALAYA AKIKAMATWA ANAVALISHWA BANGO, KUNA SEHEMU YENYE KABILA LAKE HALAFU UNAPIGWA PICHA " HII SIO SAWA!! Mfano hawa ni wale walikamatwa kwenye maanguro...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Unaambiwa kuwa inakuchukua miezi 15 na siku 27 kumsahau yule uliyempenda kwa moyo wako wote. #15months+27days @middotz_
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu. Kwa masikitiko makubwa nawakanya wale wanaume wanaopaka mafuta mwili mzima kama wanawake waache hizo tabia za kike. Unakuta umekaa zako geto na mshikaji pale...
24 Reactions
251 Replies
9K Views
Habari wakuu? Kuna swali huwa najiuliza nimeona nililete kwenu kwa majibu. Swali ni je mwanamke ALIYEKEKETWA anao iwezo wa kufika kileleni wakati wa tendo?
2 Reactions
78 Replies
18K Views
Mahusiano siyo mtihani kwamba ufaulu au ufeli, na siyo mashindano eti ushinde au upoteze, Lakini ni hisia ambazo ndani yake unamjali mtu mwingine zaidi ya unavyojijali wewe. #ManMiddo
1 Reactions
6 Replies
592 Views
Saludo senora y senor Wakuu sio kwamba naongea kujisifu au kuwalinganishia? Hapana la hasha nataka niwamotivate vijana wa ki leo au wa kisasa kuhusu suala la kuoa wakuu! Kwanza nishukuru hili...
3 Reactions
66 Replies
3K Views
Akiwa darasa la 5 katika moja ya shule ya msingi huko Arusha Republic John alikumbana na tukio kuingiliwa kinyume na maumbile kwa nguvu na wanafunzi wa darasa la 7 [wa kiume pia]. Baada ya...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Juz nilileta Uzi wangu wa nimelikoroga ...nimeamua nifanye maamuzi magum kuna vitu kadhaa najiuliza sana Naomba nitoe historian yangu fupi ili kidogo mjue tunaanzia wapi kulimaliza hili Naomben...
9 Reactions
134 Replies
11K Views
Ghafla unampata aliyesahihi kwako, mara ghafla afya yako nayo inaimarika, na hapo milango iliyokua imefungwa itaanza kufunguliwa, mahusiano mapya na connections zinafunguka, Malengo nayo utaanza...
14 Reactions
160 Replies
4K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu, Ieleweke kwamba kama wewe ni mwanaume na hauna kovu lolole mwilini mwako liwe limetokana na kazi ngumu, ajali, mapambano ya kimaisha ya kusaka mpunga na vijisent...
6 Reactions
78 Replies
3K Views
Au unanipa zawadi gani? Ndio msemo maarufu wa wadada siku hizi, ukimzoea kidogo tu, ukaonyesha interest ya kutaka utelezi utakumbana na hiyo kauli, plus vibomu visivyoisha. Mtaaani pagumu Sana...
10 Reactions
106 Replies
4K Views
Mpaka nimekuja kuandika huku jamani mnakera, tabia hii inakera sana Eti mtu kisa amekupa ela basi akiridhika yeye ndo basi. Kunipa hela ndo kosa? Unakuja unani donoa donoa juu unaniacha? Kihela...
17 Reactions
86 Replies
3K Views
Wahuni inakuwaje, mmeamka poa, ebhana ndoivo yani, nimekuwa nikimkataza Mara nyingi sana kuwa usishike makalio yangu mimi ni mwanaume tabia gani hiyo unakuta anakuomba msamaha katikati ya mapenzi...
18 Reactions
92 Replies
5K Views
Kwa kawaida watu wa mitandaoni hupenda kushabiki mambo, lakini katika hili wanaonekana kukerwa na video ambayo inaonesha mwanamke mmoja akivua nguo yake ya ndani na kuiweka kwenye sufuria la mboga...
4 Reactions
57 Replies
5K Views
Merhaba! Nikiri kutoka kwenye moyo wangu ukinimbia Nichague demu gani kutoka bara kati ya mhaya na mchaga mimi nitamchagua muhaya kutoka kwenye moyo sema tu nilikosea kuoa mchaga tu na najuta...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wanaumeeee nawaita tena wanaumee wenzangu. Ni hivi kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake na wasichana a.k.a mabint wanajipost kwenye hii mitandao yetu. Picha nzuri zilizo fanyiwa filter na wenye...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Hellow guys, Mliofunga ndoa kanisani natumai mlihudhuria mafundisho ya ndoa kwa muda wa mwezi kama sikosei ila inadepend na kanisa. Katika mafundisho hayo huwa mnafundishwa kuwa kabla ya tendo...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Just a day to the end of 2021. We are all getting a year older and our maturity needs to be reflected in the decisions we make, and the way we live our lives. I have learnt so much this year but...
40 Reactions
99 Replies
5K Views
Hello, Dears ladies uliye ndani ya ndoa au mahusiano hapa sizungumzi na wadangaji, naomba nitetee na nyie kidogo niwaeleze kiuanaume. Mwanamke shape nzuri uliyonayo, sura nzuri uliyonayo, sauti...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu, Hawa malaika wetu wanaotupa raha za hapa na pale kiukweli ni watata sana, yani akishajua tuu unampenda hakuna rangi utaacha kuona, kiukweli wanawake muwe na...
15 Reactions
151 Replies
7K Views
Back
Top Bottom