Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wadau, kuna manzi ameniuliza swali na nimeshindwa nimjibuje. Alifanya mapenzi na boy wake ilkua siku ya 15 tangu aingie period, walitumia condom bao la kwanza then second round wakafanya bila...
2 Reactions
58 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza apo juu. Huu uzi ni kwa Ajiri ya ushauri juu ya mapenzi, kama unamatatizo yoyote kuhusiana na MAPENZI . Yamekuchanganya na uelewi ufanyeje. Toa kisa chako...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwanamke aliyetambulika kwa jina moja la Jane miaka 40 amevutana Mahakamani na kijana tajiri zaidi jijini Las Vegas baada ya ya mwanamke kutumia mbegu za kiume za milionea huyo alizokuwa...
14 Reactions
120 Replies
21K Views
Mishale ya Usiku mnene mziki wa taratibu wa mwanamama ( "Celine Dion-Power of love" ) unasikika kwa mbali kwenye redio...gafla nashtushwa na mlio wa simu ulioita mara 3 mfululizo,,Wakati usingizi...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
1. Kijana wangu mwanamke naye ana moyo kama wako, usimnyanyase kisa hawezi kupigana na wewe, mpe upendo kwasababu Mungu kasema tupendane. "Mpige na upendo mwanamke wako na siyo ngumi. Kwasababu...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Out there wakuu, Wakuu kwanza nikili kuchapiwa kunauma sana, tena sanaaa, naliongea hili nikiwa nna experience na kuchapiwa. Nishawahi kuchapiwa dem bikra, yani dem nimeingia naye kwenye...
9 Reactions
30 Replies
2K Views
Nilidhani mwanamke bora ni yule anayejistiri, anavaa vizuri, siyo muongeaji, ni mcha Mungu kwa nje. Kilichonipata mimi hakika nakiri leo kuwa mwanamke bora ni yule wa Instagram tu, hawa wanajua...
1 Reactions
12 Replies
734 Views
Huyu ni kijana anae shikilia record ya giness ya kumshauri baba yake tangu alivyo kuwa kijana hadi sasa baba kazeeka bado anamshauri. [emoji23][emoji23][emoji23] Hili ajabu linapatikana tanzania...
1 Reactions
1 Replies
304 Views
Kuna huyu mchungaji kwenye social media anaitwa Dr Ceaser, anaongelea uhalali wa kuoa mke zaidi mmoja, anaongea kwa point na hoja na ili ubishe inabidi uje na hoja. Naona wengi wanagonga mwamba...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Nawasilisha Kwa utulivu na wewe usome kwa utulivu. Katika maisha yetu ya kila siku tunakutana na migogoro isiyo na msingi kisa tu jamii haina msingi wa maarifa kwenye baadhi ya mambo. Mathalani...
1 Reactions
10 Replies
551 Views
Mpendwa mwanaume mwenzangu, Hapo ulipo hebu fumba macho. Baada ya hapo vuta picha umebarikiwa kuwa na mtoto wa kike tayari. Vuta picha mwanao yupo katika mahusiano na mwanaume mwenye tabia kama...
7 Reactions
18 Replies
695 Views
Je unathaminishaje thamani ya mapenzi uliyonayo je ni.. 1. KWA PESA 2. KWA UJUZI AU MAARIFA YA MTU WAKO 3. JE NI KWA KIPAJI (Mcheza mpira, msanii nk) 4. KWA CHEO AU KAZI YA MWENZA WAKO 5. KWA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika mahusiano mtu sometimes hatotumia neno "Nakupenda" wakati mwingine utamsikia akisema; 1. Kuwa makini uwe salama[emoji3531]. 2. Umekula?[emoji3531]. 3. Unipigie ukifika nyumban[emoji3531]...
1 Reactions
7 Replies
799 Views
Nimeleta hii kama taarifa tu. Mimi nilikuwa naamini kwa kuwa wazungu wametutangulia kwa kila kitu hadi haki za uhuru na usawa baina ya jinsia moja na nyingine basi nilijuaga wao hawasumbui mambo...
0 Reactions
3 Replies
487 Views
SAD NEWS TO MY FAMILY Nimepokea kwa masikitiko makubwa Kifo Cha baba yangu Mzazi Ndugu DAUD JACKSON MUHOFU Kilichotokea Leo tarehe 7/12/2022 kwa ajari ya Ghari Nyumbani Mkoani Kigoma. Hakika...
10 Reactions
51 Replies
3K Views
Ulikuwa rafiki mzuri kwangu, sauti nzuri na mwenendo wa kufaa kuwa mke mbeleni, masomo yaka tuweka mbali Malkia, hatukuwa na simu, kama walizonazo hawa, na pia hatukuwahi (kujuana) kama wanavyo...
0 Reactions
9 Replies
781 Views
Wanawake wote mliosingo nawaomba mje mnipe kampani. Nawakaribisha sana, njooni na maneno matamu yaliyoshiba mahaba.
0 Reactions
2 Replies
468 Views
Unamkumbuka mpenzi wako wa kwanza? Ladies and gentlemen, how y'all doing? I have some true story to tell. I hope you cherish thee. kwanza naanza na disclaimer: I was 14 at the time Sasa tuweke...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
1. cutelove 2. MAGALLAH R Hawa ndugu wawili wamekutana JF... Au wamekutanishwa na JF... Walikoanzia hakujulikani sana ilikuwa ni siri yao wawili mpaka mambo yalipoharibika na mmoja kukinukisha...
47 Reactions
654 Replies
41K Views
Leo pitapita yangu picha zilizopo kwenye digital camera kabla kuja smartphone kupiga picha nikaona picha ya mchumba wangu ambaye tulipendana sana. Ulianza kubadilishwa na wazazi baada kujua mimi...
4 Reactions
64 Replies
3K Views
Back
Top Bottom