Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
A MAN MAY HATE YOU AND STILL HAVE SEX WITH YOU! Bimbo Wrote With Tears: 😭😭😭😭 Sir, I Thought he loved me. We dated for about six months. He promised to marry me. He used to tell his friends how...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwanini mara nyingi wanaume wanaopewa limbwata ni waswahili au waafrika? na unashangaa wazungu wanawapenda waafrika wanawake lakin hawapewi limbwata? Au tafsiri ya limbwata ndo tunakosea, au...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wakuu, Nina mpenzi kwasasa ni mwaka mzima ila kwasasa sina raha kabisa ananiondolea furaha ya maisha. Nikiwa nimekaa anapiga simu tunaongea anauliza nipo wapi dk 15 nyingi simu tena...
12 Reactions
65 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu, Nimeenda wilaya flani kwa mara ya pili hivi na nimejionea kuna wazee wana wake wadogo, unakutata mzee ni miaka 52 ila binti ni 23. Nimepewa stori kadhaa kwamba huku sio kama...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hawa ndio waathirika...... Kuna simulizi nyingi sana kuhusiana na mila zetu za Kiafrika na vijimambo vyake, hususana mambo ya kishirikina au uchawi. Kama utataka kuandika mada ya Uchawi au...
19 Reactions
193 Replies
42K Views
Nani kasema kuwa wazungu sio wachawi? Naomba Nyani Ngabu aje asome hapa. Kule nchini Uingereza kuna kundi maarufu la wachawi ambalo limeunda umoja wao uitwao London Vampire Group (LVG)...
9 Reactions
99 Replies
37K Views
Habari ya Jumamosi wandewa, bila shaka hamjambo na pole sana kwa kwenye changamoto. Naandika huu uzi sina furaha kiivo!!! kutokana na misukosuko ya maisha, bado nipo napambana, ila haijanifanya...
9 Reactions
117 Replies
5K Views
Kuna changamoto zipi za kuwa na uhusiano na mwanamke mrembo ambaye anajiweza kiuchumi? Je, changamoto zake ni sawa na mwanamke mwenye umbo na sura ya kawaida mwenye uwezo wa kawaida kiuchumi?
1 Reactions
7 Replies
641 Views
KISSES NA MAANA ZAKE Kiss ya kitovu - Niko tayar, nahitaj sasa Kiss ya paji la uso - Natumai tutakuwa wote daima. Kiss la sikio - Wewe u kila kitu kwangu. Kiss la nyuma ya kiganja -...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mtanivumilia kwenye uandishi, twende pamoja. Kuna kipindi 2020 mwishoni mwa mwaka niipata dharula ya kwenda Singida kutoka kwangu Geita, nikapitia Mwanza nikapanda basi, siti niliyokaa alikuja...
10 Reactions
35 Replies
4K Views
Stori ipo hivi Kuna kipindi fulani nilikua na mahusiano na mdada mmoja ivi ila sikua naishi nae na tulikua hatuishi pamoja Kuna siku nilienda kwake nikadate nae ila chakushangaza baada ya siku...
3 Reactions
95 Replies
12K Views
Maisha yamekuwa na changamoto nyingi katika utafutaji, na kupelekea baadhi ya watu kutumia njia wanazo zijua wao ili waweze kufanikiwa. Wapo walioingia maagano ya kumiliki vitu fulani ili maisha...
0 Reactions
19 Replies
614 Views
Nimeona nami nichepuke kidogo ( nisamehe mpenzi wangu huko uliko nlipitiwa tu na lishetani mbwa hili) Huyu demu nimemnunulia nyama choma ya kuku na ndizi 2. Kisha kanywa na Konyagi nusu Mzinga...
10 Reactions
34 Replies
2K Views
Hawa dada zetu naona sijui wamepatwa na Nini ukimpa tu namba yako , anafanya Kazi ya kukuchunguza Kama umeoa au hapana. Mimi imani yangu inanambia nabidi kusaidia wazazi wangu , masikini, na...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Naomba wanaume msiache kudodosa na kupata uhakika wa jambo hili kwa huyo unayefikiria kumuoa. Hapa namuongelea yule mwanamke ambaye ilitokea tu akamuona mwanaume halafu akampenda na wakaja kuwa...
13 Reactions
44 Replies
5K Views
Kuna mwanamke nilikuwa nikiamini nimezaa nae mtoto na mtoto amefikisha mwaka na zaidi Sasa wa kiume ila leo limetokea tatizo Tulikuwa na ugomvi binafsi ikapelekea mwenzangu akachukia na...
20 Reactions
137 Replies
7K Views
Igwee Kabla ya yote niwape pole na Corona! Mimi ni mzima nimeji quarantine! Nawaombea uzima na familia zenu! Well Msione kimyaaa! Kama wengi mlivonishauri I am officially in movie businesss...
40 Reactions
226 Replies
55K Views
Iwe ni kampuni, biashara, mashamba, majengo, magari n.k rithisheni wake zenu mkiwa bado mko hai. Hii haimaanishi kwamba, kufanya hivyo wewe utatangulia kufa, jibu ni hapana. Kumekuwa na...
7 Reactions
61 Replies
3K Views
Tusichoshane maisha magumu siku hizi. Wakati Messi na Mbappe wanatikisa nyavu huko Qatar, nikasema nami nisiwe mzembe nami nitikise nyavu za mke wa jirani yangu ili niongeze uzoefu. Ilikuwa siku...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Hamna mwanamke awezaye kumvumilia mwanaume asiye na hela, ukiacha alete msosi nyumbani, lazima akupande kichwani.
10 Reactions
89 Replies
4K Views
Back
Top Bottom