Kuna Uzi mmoja humu unadai mimi ndiye nilikutana na maghalah R Dar baada ya kutumiwa nauli na huyo x ambaye hata hivyo aliogopa kupima vvu kabla ya kukutana kimwili.
Huyo mwanaume ni sawa...
Guys I hope you're doing just fine, and so do I.
Basi bana kama ilivyo ada leo nina jambo la ku share na ninyi especially wanaume wenzangu. Wanawake bwana wakiwa hana hasira ni raha mpaka...
Hiki ni kitu ambacho unaweza kukitengeneza kutokana na matendo, mavazi na maneno yako.
Katika mapenzi, urembo au utanashati hauna nguvu kama mvuto.
Mvuto ni namna ambavyo unamfanya mtu akuone...
Nina rafiki ambaye tumeshibana sana yaani sana! tunathaminia sana kuliko hata ndg wa damu.. siwezi kuulezea urafiki wetu..
Ana mke 1 & sasa wamebahatika kupata watoto 2. mke wake alikuwa na...
Kungwi mie leo niko katika mtanziko mkubwa. Nimepata mteja jana alikuja kupata ushauri wa masuala ya mahusiano na ndoa.
Kuna mkaka ana mdada ambaye anamhudumia kwa mwaka wa pili sasa kwa lengo la...
Lengo la huu uzi ni kuwasaidia madomo zege nao wapate kitu roho inapenda. Maana hawa raia wamekwama kila kitu kwao wanaona muujiza.
Haya madomo zege nawapa hii mbinu ndogo tu ya kulamba vibuyu...
Acha bollo litembe anasema coach wa Simba. Ustaadhi Juma Mgunda.
Vijana wamechuku huo msemo kwa sasa wanatembeza balls zao sana kwenyw mahusiano. Wasione kuna upenyo wanapitisha Ball. Wasione...
Tuna magonjwa mengi binadamu ya kuambukiza, na yasiyo ya kuambukiza. Kati ya hayo kuna baadhi ni ya kujitakia hasa kutokana na uchafu. Yaani kutooga kabisa, kutooga vizuri ama kujisafisha vema...
Bwana mmoja raia wa Zimbabwe Arnold Masuka (40) ameacha watu vinywa wazi baada ya kuiambia Mahakama hamuhitaji tena mkewe Hilda Mleya (30) kwa sababu ni mzuri kupita kiasi.
Arnold mbele ya Jaji...
Bonjour monsieur,Bonjour mademoiselle.
Mapenzi matamu sana aisee leo au muda huu nipo njiani naelekea ukeni kutambulishwa na mke wangu mtarajiwa huko Kondoa Dodoma kwa upande wa familia ya mke...
Wasalaam,
Maisha ya mwanadamu yamejawa na matukio mengi ya huzuni, furaha, majonzi, kukata tamaa ya kuishi n.k
Hii ni story ya kweli iliyonikuta ndani ya mwaka mmoja uliopita.
Ilikuwa kipindi...
Tahadhari: Huu Uzi Una Sauti kubwa mno,kama upo very sensitive pita Kulia!
Tofauti na Sodoma na Gomora ya zamani ni kwamba wale waliadhibiwa Kwa kuingiliana au kufanya mapenzi wanaume Kwa...
Jamani sio matangazo, ila tu natamani na wanaume wengine wapate meseji kama hizi ili kuimarisha afya zao za akili.
Maana Kuna wanaume wenzetu wamepoteza molari na kufanya kila kitu kwao ionekane...
Huo ushauri nilimpa villagemate wangu alio graduate mwaka 2019 na akajiliwa na serikali kwenye ajira za ualimu wa sayansi, akaupuuzia eti anataka graduate mwezie.
Mwaka hu kamkopea 11m CRDB kwa...
Nna rafiki yangu wa miaka mingi Ni ustadhi yule swala 5 pure. Yeye hujishughulisha na uwakala wa miamala ya Simu na kibenki. Mara nyingi miamala yangu ya Simu na kibenki huwa nafanyia kwake. Ana...
Kunakuwa na mijadala mingi Sana tena iliyokinzani pale ambapo inatokea mume amemuua mke wake wa ndoa.
Sababu ambayo hukimbiliwa na wengi pasipo hata kuwaza sababu nyingine ni hii ya wivu wa...
" imagine Imenichukua wiki 3 niweze kupanga hizi games mbili za leo mpaka zika tick ilikuwa ngumu sana. Demu mmoja akiwa free mwingine yupo tight. Yule akiwa free huyu yupo period..
Hatimaye leo...
Habari wakuu, moja kwa moja kwa hili jambo linalonitatiza.
Hawa wanawake wa sasa sijui huwa wanawaza nini aisee, kuna binti tumefahamiana kama siku mbili, siku ya tatu nampigia simu anasema...
Kama unajua kabisa mke wako katokea zile sehemu (zinajulikana) wanakosifika kwa mambo haya, tulia kwenye ndoa ufururahie utimamu wako, ukijidai mbishi na kuna akili za kuchepuka, akija kugundua...
Wakubwa wanakuambia uzuri wa nje ya nyumba usikudanganye kuwa ya ndani ni mzuri. Na usilolijua na kama usiku wa giza.
Leo nataka kuongeya na ninyi vijana wa kisasa ambao mnavutiwa na uzuri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.