Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu Jamani navutiwa sana na wadada wanaovaa cheni miguuni ( Vikuku) Huku nliko nakaa na wanachuo wa SAUT wengi wana mizigo ya kutosha nyuma,wanapigaa vimini then...
2 Reactions
21 Replies
9K Views
Niaje mababu na mabibi,,,,, Okay,,,najua mko fresh kinya. Kinyamaa ama nini Twende kwenye mada husika,,,, Oooh my God, kabla ya yote kwanza niwakumbushe Wana JF wote kumpgia kura LISSU mzee wa...
13 Reactions
50 Replies
7K Views
Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano. Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa...
24 Reactions
188 Replies
8K Views
Wakuu habarini napoleni pia na mahangaiko ya kujitafutia ridhiki. Naombeni ushauri maana simuelewi huyu mchumba wangu. Nilikutana na huyu binti miez 4 iliyopita na wakati nakutana nae nilimpenda...
9 Reactions
105 Replies
6K Views
Kama Kichwa cha habari kinavyosema, hakuna haja ya kupoteza muda. Binafsi mimi ni mstaarabu na najua kujali sana, nilishawahi kuambiwa na Ex wangu kuwa japo nakuwaga namna gani vipi lakini...
2 Reactions
38 Replies
1K Views
Jana wamerudi wamelewa. Na dada anamfokea shemeji kama mtoto. Nikajiwa na busara kuwa hapa nisipokuwa makini tunaweza siku moja fukuzwa shemeji akichoka kiburi cha sister. Basi nikamtuma hausigel...
12 Reactions
32 Replies
2K Views
ATOLEWA NDIZI UKENI KWA OPERATION. Mwanamke mmoja nchini Kenya ambaye amehifadhiwa jina lake, alijikuta katika wakati mgumu sana uliopelekea Afya yake kuzorota mpaka kukaribia kufa. Ni baada ya...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Ni masista duu nimewanyaka sehemu fulani wakijadili na kupondea, eti hawaolewi kwa sababu wanaume wanawanyang'anya wanaume zao, hiyvo kumekuwa na uhaba wa wanaume😳. Jambo lingine, eti hata picha...
14 Reactions
145 Replies
7K Views
Miez 6 ya uchumba hatukuwahi kujutia malengo yetu ya kuwa na familia siku za usoni licha ya kutokuwa na mahusiano ya kimwili mambo mengi tumeyafanya kama mke na mme kupitia kivuli cha uchumba...
15 Reactions
108 Replies
8K Views
Kipindi fulani nilikuwa Moshi kikazi nikabanwa na ukame nikaanza msako. Karibu na kazini kulikuwa na mawakala wa mpesa wazuriiii matoto mawili ya kichaga kwenye duka moja. Nikapambana nikapata...
57 Reactions
240 Replies
30K Views
Habari mabibi na mababu, Napitia kipindi cha stress zisizohimilika kwa kuponzwa na Tamaa za kimwili, kufupisha stori ni hivi mwakan mwanzon kabisa nitafanya jambo la harus na mchumba angu wa muda...
14 Reactions
106 Replies
7K Views
Aaa jamani hii nishida nyingine tuitizame katika pita pita zangu huko na huko hili nalo tulitizame WANAWAKE: Jamani hawa viumbe(wanaume) hawatulii kabisa wanajielewa wenyewe WANAUME: Mademu...
1 Reactions
5 Replies
579 Views
Nisiwachoshe wanajamvi. Miaka michache huko nyuma nilikutana na binti mrembo nikiwa kwenye taasisi fulani kwa ajili ya huduma fulani niliyoifuata hapo. Mtoto mweupe flani hivi amazing na kwa...
8 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wakuu, Nilikuwa natafakari baada ya kushiba chakula cha mama wawili hapa chenye ladha ya amira kwamba, wapwa mnawezaje kurudisha penzi lililoangamia, ulitumia mbinu zipi kumrudisha mpenzi...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Ngoja tujipongeze mwaka unaisha hivihivi kama utani ujawahi fumania naniliu hata mara moja wala kuwa kwenye mahusiano Natumai mwakani kutanoga zaidi kwetu Neema itatuangazia 😔😊
18 Reactions
192 Replies
9K Views
I'm 29 yrs old now. I have never been in any relationship, like serious, sina boyfriend hadi sasa. Although I had several crushes over some men, but neither of them didn't work because they were...
23 Reactions
193 Replies
17K Views
Na kama ni dhambi, ni nani alithibitisha hilo na alitumia vigezo vipi vya kisayansi? Wapo wanao amini ni dhambi, au wengine wanakuwa na hofu ya kuachwa, au wengine wanakuwa na ile hali ya...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Aisha ana wapenzi wawili, Moja wao ni Ally na huyu ndie boyfirend wake wa tangu kitambo na anampa penzi moto moto. Wapili ni Jose, Kijana flani yupo Taasisi flani nzito ama mfanya biashara mwenye...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwanza hali zenu nyote na ni wazima pia, najitahidi mnooo kuheshimu kila mtu lakini huu mkasa ulionikuta siku chache tu baada ya kujiunga hapa nahisi bora niulize kuwa siamini kabisa. Naombeni...
20 Reactions
150 Replies
6K Views
Tujadili kiutu uzima kwakuwa pepo halisi wala jehanum hatujazifikia.. Ni swala zima la kufika ama kutofika kileleni (raha na kero yake) Hebu pata habari za vijana wanaopenda kujichua raha...
21 Reactions
162 Replies
10K Views
Back
Top Bottom