Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Situmii nguvu nyingi! Yeye ni ukoo wa Swai, akaoa Ukoo wa Mbowe. Baada ya Ndoa Mume akamuingia mkewe na kumwomba amchukulie mkopo Wa kiasi cha shilingi Milioni Kumi na Tano(15,000,000). Mwanamke...
11 Reactions
72 Replies
5K Views
Habari ya weekend JF. Mpenzi wangu nimempa ujauzito. Nipo mbioni kupeleka posa kwao ili nifunge nae ndoa Takatifu. Wazazi wake bado sijakutana nao, binti yao ameshampa taarifa mama yake kuhusu...
5 Reactions
57 Replies
4K Views
Kwa vijana (wa kike na wa kiume) ni kawaida kuwaza kuwa nguvu ya mapenzi ni kwa mtu kuwa na mwili wenye kuvutia ama kuwa na pesa au vitu vya thamani vinavyotamaniwa na wengi. Lakini ushahidi...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari za wakati huu, Nipo safarini kwa muda mrefu kidogo, niko mbali na wife. Huyu mke wangu naona sasa anataka kunikera[emoji16], yaani kila muda sms-simu, sms-simu dah Nampigia tunaongea...
23 Reactions
136 Replies
6K Views
Leo nitatamka maneno ya kutisha kidogo. Wabakaji wengi hawana akili,ni mataahira kwa ushahidi ufuatao; India mwanamke alimkata uume mbakaji aliyejaribu kumbaka: kwa akili ya kawaida tu hivi...
2 Reactions
4 Replies
488 Views
We jiulize toka enzi ya adamu mpaka sasa kuna watu wangap walipitia km yako!?? Je walifanya maamuzi gani Ndugu kila kinachotokea ktk mapenz ndio mapenz yenyewe we chukulia ivyo ukipendwa au...
2 Reactions
16 Replies
686 Views
Kwema huko wanaume wenzangu, nina jambo la kuwashirikisha kuhusu wake zetu ili kama umekutana (umeoa) mke wa namna nitakayoieleza hapa basi uwe mpole na mtu mwenye kutumia akili zaidi. Kuna...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu mimi Aulu nakili kupatwa na mambo ya ajabu ambayo yamenivuruga kabisa mtizamo wangu kwa wanawake wanene kiasi kwamba nikiwaona sitamani kitu tena. Kiufupi nilikua sijawai piga pisi nene...
59 Reactions
171 Replies
17K Views
Nimemwambia tukutane guest house. Kawahi sababu kwao ni karibu. Kachukua room ila hakulipa mpaka nije mimi. Nimefika room nikampa pesa aende kulipa hataki. Tumebishana masaa mawili mwishowe...
12 Reactions
100 Replies
5K Views
Kijijini kuna wadada wazuri kwa sura, rangi na shape za kuzaliwa. Halafu hata yale Mambo yetu huchelewa Sana kuyaanza. Na hata ukikutana na mdada 25 yrs anakuwa bado amecheza rounds chache Sana...
29 Reactions
170 Replies
19K Views
Jamani limenifika hapa. Maadili yameenda wapi? Heshima ipo wapi? Wale wasichana wa miaka 2000 kuja chini wapo wapi? Zile adabu na heshima za enzi za mama zetu zi wapi? Siongei kwa kuwakandia no...
3 Reactions
74 Replies
4K Views
Neno moja kwangu la kunipa nguvu. Mpenzi wangu kapata kazi Dar na mimi niko Kigoma. [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Mamen: Kademu ulikokuwa unakapenda enzi unasoma alikuwa anaitwa nani? Mademu: Mshikaji aliyekuwa anakonga moyo wako kila ukimwona tu alikuwa anaitwa nani? Mwite akuje hapa
2 Reactions
290 Replies
24K Views
Habari zenu ndugu zangu, wanajamvi wenzangu? Nhoja niende kwenye maada. Kuna mdada nimemkuta hata kwenye lounge wakati napata moja mbili huku nikiwa naangalia Simba wakicheza na Underdogs...
0 Reactions
17 Replies
883 Views
Binti asema alibakwa na Mchungaji “Nilijikuta kifuani mwa nabii tukiwa wote watupu”14/11/2013 2 Comments MCHUNGAJI wa Kanisa la Shakinah Pentecostal la mjini Dodoma, Nabii Elisha Mliri, ambaye...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Hizi hapa dalili za Mpenzi/Mwenza anayechepuka. Mtu kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja imekuwa ni jambo siyo la kushangaza kwasasa. Siyo suala jema katika mahusiano hususani ukiwa huna uhalali nae huyu...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Kuna kale kauchovu huwa kanakuja baada ya kupiga bao inabidi usizi dakika kadhaa kabla ya kuendelea raundi nyigine, wengine hata kuendelea hawewezi wakishapiga kimoja kifuatacho huwa ni kuuchapa...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Wakuu, Kumekuwa na utaratibu hasa kwa familia zinoishi mijini na zenye uchumi mzuri , kukusanya nguo zilizovaliwa na wanafamilia kwa kigezo kwamba hawazihitaji tena na baadae kuwapelekea baadhi...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Nilikuwa nimeshaanza xmass uchagani ila nimekaa nikawaza lazima nitoe hii post. 1. Sisi vijana tunapenda hela za haraka. So tunaenda shot cut Kwa waganga, mganga anasema lazima nilale na wewe...
4 Reactions
57 Replies
4K Views
Nimewaangalia watu mashuhuli wengi kama vile Ben Netanyahu(Isra 'el), Biden(Amerigo), Trump(Amerigo), Obama(Amerigo), Gates(Amerigo). Wote hawa wake zao, kwa kweli kwa mwanaume mwingine yeyote...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Back
Top Bottom