Mwenza wangu ni first born .
Hana upuuzi wa ki DSM kihoma Arusha au mwanza.
Anajali familia, ananijali na analea watoto wake. She is genius. Oeni watoto wa kike first born. Hawana ungese...
1. Uchumba wa mda mrefu Hufungua mlango wa uasherati.
Uchumba wa mda mrefu kupita kiasi hufungua mlango wa dhambi ya kufanya mapenzi kabla ya ndoa kati yenu, kwasababu mtakuwa mmetumia muda...
Tuambiane mana kuna watu unakuta wanachukia kabsa kufanya mapenzi utawasikia yaan mimi sipenz kufanya mapenzi
Silazimish tufanane ila kuna raha kubwa kwny kula papuchi kwa sisi wanaume,na utafiti...
Ukisoma threads nyingi hapa jukwaani zinahusu mahusiano ya wanandoa, utagundua kwamba wengi waliingia bila kujua ni nini hasa walipaswa kufanya kabla ya kufikia maamzi mazito ya kuoana.
Niwaombe...
Habari ya jioni.
Namshukuru Mungu Kwa kunipa ujasiri na uvumilivu Kwa kipindi chote Cha maisha yangu.
Nilifanya maamuzi ya kuoa since 2005 na kubahatika kupata watoto wa kiume wawili. Mnamo 2018...
Binafsi nina muda mrefu sana nmekuwa single hii ni kutokana na uchumi wangu kutokuwa stable.
Kwa bahati nzuri katokea mtoto mmoja kitanga kanielewa sana.
Baada ya kumpata huyo mtoto nikapata...
Hi tabia ya wanaumme kupiga mizinga wachumba wao, wake wao, marafiki zao wa kike imeshamiri sana katika vijana walio zaliwa kuanzia miaka ya 90s mpaka 2000 kwasbb moja.
Hawataki kupambana na...
MAUWAJI YA KUKUSUDIA YA YAMPELEKEA KUNYONGWA HADI KUFA
Taitus Malambwa Miaka 28 Mkazi wa kijiji cha Ntibili Mpimbwe Wilaya ya Mlele Mkoa wa katavi amehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya...
Nimekuwa nikiona wezi wa wake wakishushiwa vipigo mitandaoni nami nimewahi kushuhudia tukio kwa macho yangu jamaa kakamatwa na mke wa mtu akaanza kupigwa na mme halali.
Je kwa sheria za hapa...
Wanaume ni watu wa ajabu sana ,nilikuwa nasikia watumishi wa serikali wanawake wanalizwa na wapenzi wao sasa nimeamini
Wengi wao wanasimulia bae wangu nilimkopea mkopo akatoweka nikabaki naishi...
Habarini wakuu, pilika na harakati za maisha ya kila siku yanaendaje!? Wenye changamoto ya afya poleni Sana, mola atawanafuu.
Bila kupoteza Muda Sana leo nmefikiria nishushe mzigo ulionielemea...
Naanza na kusonya mfyuuu.
Jana nimefanikiwa kugundua na kujifunza kitu in hard way. Nilikuwa na vichenji cheji kama elfu nne ivi.so nikasema niende Mwananyamala nikaone malaya wa kule how they...
Nimekaa nayo hii moyoni ila uzalendo umenishinda imebidi niseme hapa jukwaani pengine nafsi itatulia
Nilipokuwa mwanafunzi chuo miaka kama 10 iliyopita katika ujana na Maisha ya chuo basi...
Mabinti /wanawake wengi wachuoni wamekua wakijiachia sana na kuishi na mwanaume kwenye mageto yao na hata wengine kufikia kutumia njia za kisasa kuzuia mimba huku wengine wakiishia kujiuza wa wapo...
Si mara moja au mbili umewahi kusikia wachumba wametengana hivyo kukatisha ndoto yao ya kuwa wanandoa. Uchumba kuvunjika ni moja ya masuala yanayozungumzwa na kuikumba jamii kila kukicha ingawaje...
Bado nangoja yote yapite moja ambalo halitapita ni mapenzi. Hii ni tamu na chungu zaidi.
Sina sifa zozote, anipende, tupendane na kuheshimiana. Hayana mwenyewe, naweza kupenda kijana au mzee...
Kwa uzoefu wangu, kojo la kwanza na la pili ndo huwaga 💥, hayo mengne huko mbeleni ni kujitutumua tu ili umridhishe mwanamke.
Nakumbuka kuna siku nipo natafta kojo la nne, mashine imesimama...
Declaration of interest:
========
mleta mada hii ana wake watatu ambao ni marafikiri na wanashirikiana na kusaidiana kwa karibu sana.
======÷==
Facts 15 kuhusu ndoa ukizitumia zitakusaidia.
1...
Na sijui ningeenda kumjibu nini Sah Godie[emoji24][emoji24]
Just assume, unamuita aje gheto, anakwambia sintokuja, mida ya saa tatu usiku anakushtukiza, huna hili wala lile mrembo katokeza huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.