Hiki ni kisa cha kweli kabisa kimewahi kunitokea wakati nina umri wa miaka 6!
Ilikuwa hivi nilitoka nyumbani na Rafiki yangu kwa lengo la kwenda kucheza ilikuwa sio mbali sana na nyumbani,sasa...
"Mwanamke aliyefundwa hasubiri kuombwa tendo la ndoa na mumewe, Mume kukuomba tendo la ndoa ni ishara kuwa wewe hujui nafasi yako kwake.
Mwanamke mwenye akili na mwenye kujali ndoa yake...
Habari zenu wakubwa kwa wadogo, naombeni mnishauri kabla sijafanya maamuzi, kuna huyu mwanamke huwa ananipenda sana anataka niishi nae, japokuwa hatuna muda mrefu sana tangu tumejuana na Leo ndio...
Mapenzi bwana kitu kingine bwana
Kuna demu kipindi ambacho nilikuwa naye kwenye mausiano alikuwa mwenye furaha saana maana nilimfanyia vitu vingi kwa uwezo wangu nikamfanya kuwa mwenye furaha mda...
Morning
Tumeanza mahusiano hii week sasa lakini kashaomba hela mara tatu then leo ananiambia hvi, nimekosa cha kumjibu kabisa
Ungekuwa wewe ungemjibuje.
Mimi ni mtumishi wa umma kwa Miaka nane sasa ktk idara Fulani ya halmshauri. Nina 33 yrs old na elimu ya MSc. Kilichonileta hapa ni kwamba Nina mchumba wangu ambae ni Mwl na sasa hivi ni mwl mkuu...
Habari za wakati huu ndugu zangu..
Bila ya kupepesa pepesa macho naomba ni waambie dada zangu kwamba wanaume waoaji wapo wengi sana na wanajielewa tatizo nyie dada zetu tamaa nyingi sana mpaka...
Ni ndoto za wanaume wengi kuoa mwanamke mrembo na mwenye kipato ili wasaidiane kutengeneza familia bora ikiwa ni pamoja na kujenga nyumba nzuri, kusomesha watoto kwenye shule bora n.k Hapo ndipo...
Kila siku narudi nane Usiku nimelewa na nalala na viatu
watoto wa Nje kibao bila hata Matunzo
najua umefunzwa unyagoni kutunza Mume lakini sio Kama Mimi ,unafaa upate mume na uolewe na sio...
Kuna hili suala la watu kusema hata ukioa mwanamke ambaye kwao wana uwezo kukuzidi sio tatizo. Huko ni kujidanganya. Inakuwa sio tatizo labda mwaka wa kwanza wa ndoa yenu, wakati wa honeymoon...
Wakuu kwema?
Nataka nizame MUM niopoe jiko, lakini dunia imechangamka sikuizi watu wanafake ID mpaka fake jinsia. Matapeli wapo kazini kila sekta.
Sasa kwa wale wazoefu wa haya mambo online, Ni...
Ilikuwa ni Miaka 970 BC...
Ndipo Queen of Sheba aliposikia Habari za kidume Kimoja Kutoka Israel...
Sio Mwingine ni..."King Solomon"
Malkia wa Sheba Kutoka Katika Ufalme wa "Axum" huko...
"Nilpokua mdogo nilipambana sana kusoma na kufanya kazi mbalimbali nikiaminishwa kua nikiwa mkubwa nitakua na msingi bora wa maisha."
"Nimesoma sana, tena ngazi zote za elimu namaanisha hadi...
Wakuu wa kazi najua wote mnaendelea poa na mapambano ya kila siku.
Moja kwa moja niende kwenye huu mkasa ambao unamtatiza jamaa yangu wa karibu.
Huyu ni mmoja kati ya jamaa zangu wanne ambao...
Wanaume..!
anapotokea mwanamke mbele yako, akajilengesha lengesha ili akunase na ukanasika unajionaje?
kuingia kwenye mtego wa mwanamke ambae hukumtaka huu ni udhaifu[emoji848]
wanaume sasahivi...
Nawasalimu wana Jamiiforums. Kwa kulinda faragha yangu kuna baadhi ya taarifa zitazisema direct.
Sehemu ya kwanza.
Nilihitimu mwaka 2018 Diploma ya Ugavi na manunuzi CBE Tawi la Dodoma, kutokana...
Natumaini Mu wazima, Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja anaitwa Jesca, Tuna kama miezi minne kwenye haya mahusiano.. Mwanzon penzi lilikuwa moto Moto kwan J alikuwa ananipenda Sana, alikuwa...
Leo bwana nipo gheto pisi imenipigia simu inakuja then ni kasema fresh njoo. Guess what kaingia ndani we make stories and all.
Suburi ni rewind kidogo hii pisi nimeijua kwa job with the chats...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.