Huyu ni mke wa Rais Mstaafu Barrack Obama!
Huyu ni mwanamke mweusi aliyewahi kushika nafasi kubwa zaidi kisiasa hapa duniani, THE FIRST LADY OF USA. Lakini, pia ni msomi ambaye alibahatika...
Ebhana Kuna Dem mmoja alikuwa wa kitaa chetu ila yeye alinizidi kidogo ki umri kipindi hicho alikuwa level ya dada angu ninaemfata mara ya pili maana walisoma wote.
Katika maisha yangu ya ujana...
Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa.
Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa...
"Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe", 1 Kor 6:18 SUV.
Zipo dhambi nyingi zilizo chukizo mbele...
Habari wakuu
Wiki iliyopita wife alipata dharura kidogo akaenda kwao kwa ajili ya issue za kifamilia. Sasa huku nyuma aliniacha mimi nikiwa na nywele sehemu za siri nyingi balaa. Nikaona isiwe...
Magreth wa Kondoa ambae uliolewa mkoani Shinyanga Kwa ndoa kabisa alinipenda akawa demu wangu nisijue historia yake, mdada mashallah kumbe Witch hatari, bana eeh kumbe amenilenga nimuoe kaelewa...
Nimekuta sms kwa simu ya mama wa watoto imeandikwa hivi "NIAMBIE MY LOVE WANGU" mwandishi au mtumaji namtambua kwa nambar ya simu.
Namuuliza wife huyu anakuandikia hii sms ni nani na nini maana...
Kwa mtazamo wangu, ninaona miaka 10 ijayo idadi ya single parents itaongezeka mara dufu ukilinganisha na kipindi kilichopita kuanzia miaka ya 90 kurudi nyuma. Kwa miaka hiyo, wanandoa walikuwa...
Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine,
Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an...
Jamani usiombe kukaa kwa shemeji yako halafu wewe mtoto wa kiume.unakuwa na hard time hasa.toka tumerudishwa home sababu ya corona niliona siwezi rudi bush country kwa wazazi so nijibanze kwa...
Niko zangu nachoma mahindi pande za Nabuyonga island baada ya chombo kuwekwa juu ya mawe kwa ajili ya marekebisho. Sasa nimelala usiku kama sanane nashtushwa na makelele nyumba ya pili kutoka...
Maisha ya mtandaoni is series of Dramatically
Unakuta eti anateswa sijui na mapenzi au kitu kinachofanania na Hiko .
Lakini huku mtaani tunaishi ni Nani Ambaye haoni jinsi soko la wanawake...
Habari zenu nina imani mwabuheri wa afya.
Nadhani baadhi yetu tunasikia sana namna hao wadau tajwa hapo juu wanavyoopewa sana Kwa kupasua anga za mbususu, je wana utofauti gani wengine kiasi...
Wadau naomba kujua kama kuna namna ya kujitoa blacklist. Kifupi ni kwamba kuna mtu ameniweka blacklist, niwe muwazi tu huenda kuna wenzangu humu ambao ni wahanga wa mapenzi, nilikuwa na dada mmoja...
Maendeleo hayana chama.
Ni viatu vyangu ila nimepitishia uzi mweusi kwa fundi kama mnavyoona. Siko free na comfortable kuvivaa mchana,nahisi aibu mno kwa sababu ya huo uzi mbele ya kiatu kama...
Unapotaka kumsaidi mtu inahitaji wewe unakwenda kutoa msaada uwe makini. Ninaposema umakini namaanisha uwe na uhakika kweli ninaekwenda kumsaidi ni mhitaji na kweli ana shida.
Nitatoa story kwa...
Leo ndugu zangu nitawapa mkasa uliotokea kwenye mapenzi katika kambi moja ya jeshi Mkoa WA pwani.Katika mahusiano ya jamaa mmoja ambaye alikuwa mjeshi jamaa tulizoea kila siku anapigiwa na mkewe...
Habari mabibi na mabwana, kuna binti nilikutana naye kwenye basi nikatokea kuvutiwa na yule binti, bahati nzuri nilimuomba namba akanipa so tukawa tuna wasilina kila siku.
Sasa hapa juzi alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.