Na wadada pia mnaruhusiwa kuja hapa kuelezea jinsi mlivyowala hela wanaume bila kuwapa papuchi..na kiasi cha hela ulichomfilisi
Wanaume mliohonga na kuikosa papuchi najua mpo wengi humu jf...
Kuna aina ya watu ambao kuweza kuachana nao au kuvunja uhusiano nao ni almost impossible.
Mahusiano hayo huanza hivi: umemuona na amekuvutia haswa, muonekano wake ni uleule wa mtu wa ndoto zako...
Kama zipo mbili tu, achia ngazi mchuma uondoke.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda ufanye maombi sana.
Haya angalia...
Kiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata.
Sasa...
Sisi wanaume, katika utafutaji tunapitia changamoto nyingi, misukosuko, matusi, milima mikali, vilio na vicheko humo humo, kujaribu kulogwa, visiki na migongano ya kila aina, lakini kwasababu sisi...
Mama mitano tena[emoji28][emoji28]
Out there wakuuuu.
Mwanaume usitelekeze mtoto please!
Usimwache mwanamke aangaike kulea mtoto peke ake tafadhali, usifanye hivyo, hata kama una hali ngumu...
Mapenzi yana raha yake pia yana karaha. Mapenzi ni asali pia ni sumu.
Mwaka 2017 nilikutana na mwanamke fulani shuleni, Nilimtongoza mwana dada huyo kwa bahati nzuri akakubali ombi langu...
Habari wangu.
Kuna ishu naomba msaada, sijuwi ndio mambo yamebadili siku hizi kwenye whatsApp.
Nilisitisha mahusiano na aliekuwa mpenzi wangu. Nilifuta namba yake na picha zake zote. Lakini...
Kuna binti mmoja nilikua nadate nae. Mimi ni wale masela ambao hatupendi kuombwa ombwa ela. Kama manzi nimemuelewa hua sisubiri awe ananiomba ela. Napendaga kutoa tu ela bila kuombwa.
Sasa baada...
Najua unampenda sana mchumba wako ila mchumba wako ni rafiki yangu tu wa kawaida sana na sijawahi hata kumtongoza wala kumfikiria kwamba kuna siku nitamla.
Kihistoria ni mwanamke uliempenda sana...
Ngoja leo niwaambie kitu wanaume wenzangu...ukiwa na mke muelewa anae jua kujisimamia na kuisimamia familia vilivyo kiroho, kimwili nk
Mwenye uwezo wa kusimamia miradi ya familia vizuri...
INTRODUCTION
Ni mdogo angu (family friend).
Kwao ni wa mwisho kuzaliwa (last born).
Ana miaka 26 na ana mtoto mmoja wa kike.
Yeye na huyo baba mtoto waliachana ila mtoto anatunzwa fresh.
SCENARIO...
Ni miezi 11 sasa, tunaishi pamoja ila simuamini bado kiasi chakula chochote alichoandaa pasipo mimi kujua wala kuona kwa macho yangu.
Kama ni kulala basi tunalala vyumba tofauti, ni ngono ndiyo...
Salama wakuu?
Kwenye haya maisha yetu ya kila siku. Kila mtu ana uhuru wa kufurahia chakula.
Je, wewe huwa unafurahia kula chakula gani? Kilicho karibu yako au mpaka ufunge safari kukitafuta...
Habarini za humu wadau, juzi tarehe sita mwezi wa 12. Nilikuwa nasherekea siku yangu ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 21.
Basi nikajipostia picha yangu na baadhi ya maneno kujiwish happy birthday...
Habari za humu jf,
Nipo kimasomo hapa Dar es salaam ninaishi geto moja na mshikaji wangu yaani tumepanga pamoja kushare cost sasa yule jamaa yangu ana demu wake mmoja kisu kweli huwa anakuja pia...
'Fiesta condom' kwangu ni kondomu bora sana kuwahi kuitumia kutokana na namna ilivyo, haipotezi ladha, yaani ni kama kavu. Sasa shida ni kuwa kwa sasa imekuwa imekua ngumu kidogo kupatikana, yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.