Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kibayolojia kuna sababu zifuatazo zinazosababisha maumivu wakati wa hedhi: 1. Endometriosis. 2. Uterine fibroids. 3. Adenomyosis. 4. Pelvic inflammatory disease. 5. Cervical stenosis. (Kajisomee...
18 Reactions
113 Replies
7K Views
Ni pale utakapogundua kuwa ulimpatia jina la Ex wa mkeo mwanao uliemzaa na huyo mke wako wa ndoa bila kujua " vp itakuuma kiasi gani? Ama utapotezea tu na maisha yaendelee ... Kumbuka pia wakati...
1 Reactions
9 Replies
413 Views
Nimejifunza hili in a hard way kweli wanawake wengi wanaishi na wanaume kiushindani. Kila anachofanya mwanamke na yeye anataka kufanya. Nimejifunza kwa uchungu sana hili. Na ndomana wakati...
9 Reactions
49 Replies
3K Views
Wosia wangu kwenu acheni na ogopeni mahusiano yasiyo na malengo tena yaogope sana maana yamekuwa ni janga kwenu. Unakuta binti yuko kwenye mahusiano na mtu fulani, lakini ukimuuliza malengo ya...
7 Reactions
46 Replies
3K Views
Bibi Harusi alienda stationary aliomba achapiwe 1 Yohana 4:18 kwenye CARD YA HARUSI lakini mchapaji alifanya kosa kwa kutoweka "1" kabla ya Yohana hivyo akachapisha Yohana 4:18_ 1 Yohana 4:18...
9 Reactions
18 Replies
1K Views
Kupenda penda huku sometimes Kuna kijana wa kizungu tulifahamiana nikiwa Arusha kwenye shughuli zangu za kimaisha Huyu ni raia wa Finland alikuwa anatoa huduma za kikanisa Arusha na Kilimanjaro...
17 Reactions
111 Replies
16K Views
Mlalamikaji: Money Penny bwana huku kwenye ndoa yangu changa kuna shida mno Tumefunga harusi mwezi uliopita, Eti mume kagoma kuzama chumvini kwasababu yeye ana cheo kazini NI Boss kubwa mimi...
10 Reactions
127 Replies
16K Views
SABABU ZITAKAZOPELEKEA MKEO AWACHUKIE WAZAZI NA NDUGUZO! Anaandika, Robert Heriel. Katika jamii wapo Wanawake wanaochukia Wakwe zao, wapo wanaochukia Ndugu za mume. Zipo sababu zinazopelekea MKE...
6 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilikaa kimpya sikujibu nilikuwa nawacha nisome maoni yenu kwanza halafu nikupeni update sasa. Na sasa nafunga huu mjadala na pia natumai mnaotaka mke sasa kama bado mmo sasa tulieni. Na mnao...
8 Reactions
110 Replies
4K Views
Nimekutana na pisi kali kama mbili hivi, wakati wa sex kuna utando mweupe unatoka ukeni ,kila nikisex unatoka, Naomba kujua
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Wandugu wasalaam nisameheni msinitukane sana jamani ila huu umaskini huu! Nina kipato cha kawaida cjui kutongoza sana. Ni msichana mwema kwangu, ckutumia hata muda au hela kumpata yani...
21 Reactions
115 Replies
6K Views
Tarehe 20 ya mwezi huu niliahidi kwenda kutoa mahari ukweni kiasi cha shilingi milioni mbili na laki tano. Niliazimia kufanya hivyo baada ya kukaa na mchumba wangu kwa zaidi ya miaka miwili sasa...
36 Reactions
197 Replies
9K Views
Tukiwa tunaianza wikiendi tulivu kabisa nawasalimu wanajukwaa wote. Kilio changu mimi ni kwa wanaume hasa waliooa, wanaoishi na wachumba au wapenzi wao iwe kwa kutoa mahari au kinyemela ila...
18 Reactions
52 Replies
5K Views
Huyu dada ni mhumudu wa bar moja hivi maarufu maeneo ya kijichi anaonesha dalili zote za kunitaka, kiukweli anavutia sana njemba kibao zishaliwa sana pesa zao bila kupewa uchi. Nishamsisitiza...
11 Reactions
100 Replies
6K Views
Eti kwanini? Enjoy your weekend
2 Reactions
6 Replies
463 Views
Kuna hii kitu nimeisikia sana kwa jamaa unakuta michongo haijakaa sawa ila unakuta wana wanakwambia eti ndoa inakuja na baraka zake, michongo itajiset ukiwa kwenye ndoa, mimi personally sijui...
10 Reactions
116 Replies
5K Views
Jamaa yangu maarufu kwa jina la Ticha hapa mtaani alimaliza chuo miaka mitano iliyopita. Akapata kazi ya kufundisha shule fulani hap mjini na akajiongeza akapata mkopo akanunua gari na pia...
13 Reactions
105 Replies
15K Views
Siku yako ya kwanza kuzama Chumvini(Me)/Kulamba dushe(KE) ilikuwa mwaka gani ? Je uliyoanza nae kufanya hivyo bado uko nae mpaka sasa au ameshakuwa EX friend? Binafsi ilikuwa mwaka 2011,mpenzi...
8 Reactions
147 Replies
26K Views
NASAHA 5 KWAKO BINTI YANGU 1. Binti yangu huenda unafikiri wanaume waoaji wenye mipango thabiti watakuoa kwasababu ya sura au umbile lako tu. Tabia, staraha, hekima, akili ya Maisha, utulivu na...
1 Reactions
5 Replies
557 Views
Kwa hali yenyewe ya ndoa kama ndipo ipo hivi aisee nahisi ku give up mapema saaa aise. Nilihisi ndoa ni kunyanduana tu na kucheka cheka aiseee. Samahanini nimeandika kwa sababu niko na stress...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom