Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hii tabia ya kubambikiana watoto haijaanza Leo! Tangu enzi za mabibi na mababu tabia hii ilikuwepo! Kipindi hiko wamama walitumia njia hiyo kama mbinu ya kubakiza mbegu duniani ili kukwepa...
21 Reactions
60 Replies
4K Views
Ukisikia hili neno utapata tafsiri tofauti na uhalisia, 'bustani zenye manukato' zinanukia vingine vya kihisia vya kimwili vya kushibisha moyo na nafsi na hisia na tamaa za mwili na chakula cha...
14 Reactions
48 Replies
10K Views
Bila kupoteza muda niende kwenye mada! Miaka kadhaa iliyopita jamaa (tumuite J) alikuwa na mahusiano na binti (tumuite MG) binti alimpenda sana J kiasi kwamba alikuwa radhi kufanya chochote kwa...
2 Reactions
7 Replies
760 Views
Ukiyakataa mabadiliko yatakubadilisha kilazima na yatakuumiza. Utaona mtu mbaya, ana dharau kumbe si kweli. Mlikuwa washkaji ni kweli kuna kitu kilikuwa kinaleta ushkaji wenu. Kama ni shule hapa...
11 Reactions
17 Replies
772 Views
Walioa bhana yaani kelele na kutikisa vitambi tu, hawatembei na vivuli vya wake zao. Wakiwa bar wao, mgahawani wao, lodge au gesti wao, ktmota wao, kuku wao, kwenye sebene wao. Jazeni vitu vya...
1 Reactions
2 Replies
662 Views
Imekaaje wakuu? Tumepata mdada hapa home, alivyofika tu siku mbili akauliza jamani hii nyumba ina baba? Baba anaishi hapa? Akaambiwa ndio. Asubuhi akaomba apelekwe kuwekewa kitanzi cha kuzuia...
23 Reactions
106 Replies
8K Views
Hello Naomba kujua ni sahihi binti kulala na baba yake mzazi au mlezi kama mama yake hayupo kwa mazingira ya sasa hivi?
7 Reactions
61 Replies
5K Views
Akili ya mwanamke ni tata, inafananishwa na utata unaopatikana kwenye hii picha Note: Ukianza kumuelewa mwanamke anataka nini, tambua kuwa siku za uhai wako ziko ukingoni. Pitia matukio haya...
16 Reactions
60 Replies
6K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa hapo juu, Katika story za hapa na pale na wanawake wenzangu weekend tukiwa tumejitoa kidogo kufurahia maisha. Mmoja wa wenzetu akasema akiwa ofisini mwenzao...
5 Reactions
62 Replies
8K Views
Kama heading ilivyo nimekutana na mshkaji wangu mmoja ambaye ni mtu wangu sana wakaribu haiwezi pita wiki bila kukutana mbali na kupigiana simu kila siku. Leo story yake ilikua ya huzuni sana na...
3 Reactions
5 Replies
752 Views
Wanaume tumeumbwa kwa ajabu sana, tumeumbwa na vichwa viwili daah, kichwa cha juu na kichwa cha chini. Kichwa cha juu kazi yake kutafuta pesa na kukupa mawazo mazuri ya kusaka pesa, ila kichwa...
7 Reactions
25 Replies
1K Views
Za shughuli? What exactly leads women to kill their hubbies to remain widows? Kumekuwa na minong'ono mingi juu ya sababu hasa za wanandoa kuuana. Wanaume wanaua wake zao halkadhalika, wake...
4 Reactions
70 Replies
2K Views
Habari Mimi ni kijana mwenye miaka 27 mhitimu wa chuo, nimebahatika kufanya kazi sehemu mbalimbali na pia nimewahi kufanya biashara tofauti tofauti, japo sijawahi kukaa kwa muda mrefu katika...
10 Reactions
78 Replies
5K Views
Nachoelewa mfano unamsaidia binti kumsomesha ila huhitaji chochote kwake au shukran yoyote huo ndio msaada. Ila unamlala mwanamke huku unasema unamsaidia ni aina gani ya msaada, ninavyoelewa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Unajua katiia hali ya kawaida mapenzi yanajengwa kwa vingi. Unajua kwanini mtu anaweza kuwa na mtu mmoja kwa muda mrefu sana halafu mahusiano yakavunjika kwa sababu tofauti, lakni ikawa kila...
1 Reactions
6 Replies
539 Views
Kuna binti wa Kichaga (Mkibosho) amenikubalia nimuoe. Mimi ni mhaya. Nataman kufaham process za uchumba wa Kichagga, baada ya kunikubalia nini kinafuata mpaka kufikia Ndoa Sisi sote ni Wakristo...
8 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakuu natumai mu wazima. Kama una girlfriend amekuzidi miaka 2 je ni umri gani sahihi wa kupata mtoto ikiwa mimi niko 20yrs na nina kazi yangu na gari. Ushauri tafadhali
2 Reactions
100 Replies
9K Views
Habarini za majukumu ndugu zangu. Naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa sana na sijui la kufanya ni nini. Nina mchumba wangu ambae tunapendana sana ila kutokana na nature ya majukumu yangu...
8 Reactions
77 Replies
5K Views
Ndugu habari za jumapili. Nilikuwa na mahusiano na binti niliempenda sana na kuwa na malengo nae mengi sana. Kitu ambacho sikujua binti ni muathirika na kwa mujibu wake anatumia dawa. Ilikuwa...
9 Reactions
178 Replies
13K Views
Watu wa Mungu nadhani wote mko salama paleni na majukumu yenu ya kila siku, kwa ambao mnachangamoto poleni na Mungu yu pamoja nanyi: Twende kwenye mada husika Jana nilileta hapa jukwaani...
26 Reactions
153 Replies
7K Views
Back
Top Bottom