Trust me. Hili kama huamini pitia threads za humu ndani. Utagundua wenye akili ni wachache sana. Wengi ni vilaza. Sisi Vilaza ni Jeshi Kubwa. Mwenyewe akangalia threads zenye vichwa vya habari...
Tunaweza tukawa tupo kwenye mahusiano na wapenzi wetu tunaotarajia kuwaoa ila tunazinguana/kugombana kila siku, wakati kuna mitandao ambayo ipo kiganjani kwetu inaweza kututimizia haja ya mioyo...
Habari wana JF!
Ebu wadau naombeni ushauri wenu. Nina mke na watoto wawili. Mke wangu ana changamoto moja hataki kupika na pia hajali watoto. Yaani tunaweza kukaa siku mbili tatu tunakula mikate...
Nimechukuliwa demu na kijana wa Kimexico. Huyu demu wangu na huyu kijana wanafanya wote kazi sehemu moja, wana mazoea sana.
Mwanzo alinidanganya kuwa huyu kijana ni rafiki yake mimi nikachukulia...
Upole, busara na hekima ya kimaongezi na kujali yataka kuwa shubiri iliotamu. Ipo hivi kuna pisi inapitia nyakati tata ako na boy wake yuko TASAF mahali, jamaa hapati fursa ya kula mbususu, sasa...
By darasa la Mapenzi
Tumshauri huyu kijana tafadhali
Marafiki habari za kuhaingaika Kwetu tumezaliwa wawili tu mapacha , Mimi na Dada yangu, baba yetu alikua mkali na mkoloni sana hatukuruhusiwa...
Inasikitisha sana,
Basi bhana, mida ya saa kumi siku ya jana, nabahatika kumuona mtoto mzuri i.e mama Africa kutokana na rangi yake ya super black beauty akitimiza ahadi yake aliyonipatia asubuhi...
Nina kawaida ya kunywa chai mara 2. Saa kumbi na mbili alfajiri na saa 4 asubuhi. Muda huu nina maumivu bado ya kuungua na chai.
Ndugu zangu, kama mjuavyo binti ni mjamzito na nimeshindwa...
Wasalaaaaaam wazee. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Ewe mwanaume ukiona umepiga show usiku kisha asubuhi demu akaondoka, yakapita masaa kadhaa demu akakutumia mesej nitakayoiambatanisha...
Nipo kwenye wakati mgumu wa kuchagua mtu sahii wa kufanya naye maisha
Nina wanawake wawili ambao nina pendana nao na wote na wapenda ila kwa mujibu wa imani yangu ni lazima ni mchague mmoja tu...
Kijana unasikitisha sana,
Hakuna mechi unaanza na kumaliza
Ni aibu waomba sabu mechi haijaisha
Dakk 90 kwako zimekua Changamoto
Umekua wa akiba badala ya tegemezi
Umefikia hatua unahisi umerogwa...
Unatongoza mwanamke anakuja kukubalika anakua mpenzi wake mkiwa fargha unajiachia hata zana hutumii kumbe mwanamke ni malaya wa kisirisiri mwisho unashangaa una gono unashangaa umepataje kumbe...
Tofauti na watu wengi mimi siyo muumini wa harusi kubwa zenye mbwembwe nyingi. Hivyo nimepanga harusi yangu iwe rahisi sana na nitagharamia kila kitu mwenyewe.
Sijui mke mtarajiwa atachukuliaje...
Wakuu habar za muda huu,
Mwenzenu Nina majanga, niende kwenye points Kuna demu nilimpata nikaomba namba akanipa katika harakati za kuomba papuchi akasema mke wako tunafamiana pia tunaheshimiana...
Kusema ukweli hakuna jambo linaloninyima furaha kama hili la kuhukumu mwanamke kutokana na asili ya mahali alipotoka
Utawasikia wakisema, "Usijaribu kuoa mwanamke kutoka ukanda fulani, wale ni...
Sometimes nawaza, au huenda niliepushwa ili niwe somebody kama nilivyo now? Sawa nina vihela vya kunitosha mimi na kusaidia wengine wengi, but why sina papara na mbususu?
Nilisema nikipata maisha...
Wakuu mwaka 2021 ndio mwaka ambao niliupanga nianzishe familia yangu lakini pia pia rasmi niingia katika ndoa .
Kuhusu kipato changu kwa siku huwa napata kati ya elfu 3 hadi 5 katika mizunguko...
Habari zenu wakuu,
Naomba tujulishane jinsi gani naweza kuishi na mwanamke mkorofi na mbishi bila kumshushia makonde, yani nilisha apa kwamba sitokuja kumpiga mwanamke lakini kinachoendelea hapa...
Mwanamke yoyote ukishaolewa ,jua mtaji wako kwenye ndoa ni uke wako,
Utoe watoto ,na umburudishe mzee kila siku
Kwaiyo jitahidi sana kuwekeza kwenye k
Unawekezaje kwenye uke??
Solution ni moja tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.