-Huna hela
-Huna muonekano(sio handsome)
-Huna umaarufu wala koneksheni
-UNA kibamia
-Mfupi
-Una kitambi cha kufunua
-Unanuka mdomo
Na bado una demu!!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa...
Nimekutana na wanawake wa kila aina, vicheche na wasio vicheche, wanaojiuza kimyakimya na wanaojiuza kwenye jumuiya(wanaojianika). na wasiojiuza pia. 90% nimevaa kondomu na 10% nimepiga pekupeku...
Habari Wana MMU..
Wanaume Nchini Namibia wameazimia kupiga marufuku Utoaji wa Zawadi za Birthday na Valentine's day Kwa Wanawake na wapenzi wao..
Hayo yamejiri kwenye Mkutano wa Kitaifa wa kila...
Wana Jf natumain ni wazima wa afya,
Mimi nimpangaji na wala sina mda mrefu nimehamia kwenye nyumba hii. Kiukweli hapa nilipopanga tupo wapangaji wanne, mwanaume nipo mwenyewe na sijaoa, yaani...
Wadada wengi wamekuwa na katabia ka kujifanya watakatifu na wanyoofu kwa wachumba zao kwa kuwanyima sex ili wapendwe zaidi na waonekane wanajitunza. Kama mdada bado ni bikra kumbania mchumba ni...
Habari za muda huu, mapenzi hufunza hususani baada ya kuisha.
1. Binafsi nimejifunza kutokurudiana na X ni jambo muhimu sana kwenye ulimwengu wa mapenzi. Akishakuwa X, ni X milele, hakuna tena...
Sister emekuwa na ujinga flani. Ana kiburi na mjeuri sana. Hatufikirii sisi nduguze tuliopo hapa. Amekuwa mbinafsi na kama ana mashetani.
Akigombana kidogo na shem anamwambia kama vipi tuachane...
Kuna wanaume baadhi huwa wanajiona wanaakili sana, kumbe ndiyo chanzo cha wao kuleta uharibifu kwenye familia zao. Hofu ya Mungu isipotawala ndani yako, vitu kama hivi ndiyo huwa vinafanyika...
Kwema wakuu?
Niende moja kwa moja kwenye tatizo langu.mimi nina mpenzi wangu ambae tumedumu takribani miezi 8 sasa, lakini hatujawahi kufanya mapenzi kabisa na kila siku tunaonana.shida ya...
Mambo vipi, imefika hatua nimeona leo nifunguke kwenu wadada, lengo la uzi huu sio kudhalilisha mtu bali kuwaelimisha tuu.
Mimi nina mdada ambaye ni rafiki yangu toka Facebook basi nikatumiwa...
Note: Kama huna mke usihukumu aliye kwenye ndoa. Maisha ya ndoa siyo ngono tu na kuna mengine.
Wanawake wengi sana wanauawa, wengi sana na wanaoripotiwa kwenye media ni wachache, nenda vituoni...
Mambo ya Walawi - Leviticus 18
1 Bwana akanena na Musa, na kumwambia,
2 Nena wewe na wana wa Israeli, uwaambie, Mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.
3 Nanyi msifanye matendo kama yale ya nchi ya Misri...
Kwa macho ya kawaida utaona mke na mme wana furaha nje wanavyotembea na utasema hii ndio ndoa ya kuigwa ila usilolijua sawa na usiku wa giza.
Wanandoa wengi wameachana ila wanaishi nyumba moja...
Inatokeaga hii automatically. Siyo kwamba ulipanga noo, ila ndo inatokea Mdada nawe umekuwa hitter & runner 😜
Mnapanga fresh kumeet na jamaa mkakojoleana but cha ajabu unafika kule match...
Ipo hivii sijui ni ushamba au kukremu kuwa ukiwa na gari ndio utakula maisha.
Nimejaribu vyote viwili, nilianza na gari nimekuja na pikipiki. Aisee pikipiki ni raha, japo kero yake kubwa ni upepo...
Habari wakuu,
Msaada kidogo wa mawazo, mke wangu kila harusi atakayoalikwa na kuchangia lazima atashona sare inayovaliwa katika harusi hiyo. Hata ziwe harusi 6 kwa mwezi zote atavaa sare...
Hii ni ndoto ya jamaa yangu, nitaisimulia kama alivyonielezea. Usiku wa kuamkia Jana niliota nafanya ngono na mke wa rafiki yangu. Ngono tumefanya mbele na nyuma.
Usiku wa kuamkia Leo nimeota...
Wanaume tumeumbwa kuzitawala nyumba zetu.
Na hili ni pamoja na mke na watoto na wote wanaolala nyumbani mwako.
Na hii ndio maana ya kichwa cha familia.
Kuna huyu Ndg Komba, yeye si kichwa bali...
Good morning!
Washika dau daaah siwezi kuelezea furaha ilivyokuwa, ila yote kwa yote namshukuru Mungu kwa yote, kwa maisha yangu zaidi ya kuwa na mamilioni kwenye account ila kingine next month I...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.