Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wanasema kila mwanaume mwenye mafanikio/maendeleo basi nyuma yake kuna mwanamke Lakini inasemekana kama una mke na hakuheshimu kama mme basi maendeleo utayasikia redio Je kuna mahusiano gani...
0 Reactions
3 Replies
653 Views
Hata sitaki kusalimia maana nina hema juu juu... Wanaume wenzangu pindi mke wako, demu, mpenzi, mchumba wako anapogundua amekukosea alafu anaanza kujiliza na kutoa machozi achana nae kabisa na...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Yaani badala ya kuelezea sera anajielezea yeye.... Oooohh.... Na hilo umbo lako nikikukamata masaa mawili.... Oooh mimi nina mashine kubwa uta enjoy.... Chefuuuu.... Ni ujinga tu unakaangalia...
40 Reactions
88 Replies
7K Views
JINSI YA KUMVUTIA MWANAMKE KUPITIA MAWASILIANO. Kisaikolojia wanaume hutumia direct communication ndomana mazungumzo ya men to men huwa short and clear. Men 1: "Oya niletee ile movie" Men 2...
18 Reactions
85 Replies
22K Views
Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja. Nilioa kabla yeye...
25 Reactions
220 Replies
19K Views
JE WANAWAKE WANATAKA PESA? Nawasalimu nyote, bila shaka mu wazima ndugu zangu. Tusichoshane naenda Moja kwa moja kwenye mada. Je, ni kweli wanawake wanahitaji pesa? Kila mmoja anaweza kuwa na...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Waungwana hebu tupeane mikasa na tupate tafakuri za wakuu kidogo. Kuna siku nimetulia kibandani kwa mwanangu ambaye ni wakala wa pesa za mtandao. Baada ya muda akaja binti wa kama miaka 20 hivi...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Najua ni jambo nyeti la kifamilia ila acha niongee, najua kuna watu wazima humu. Mke wangu huwa namridhisha na nahakikisha anatoa maji. Shida huwa nachelewa mno kufika mshindo. Mara nyingi ni...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Amon Mpanju amesema siku hizi wasimamizi wa ndoa wamekuwa ni fasheni na siyo wale wenye sifa ya kufanya...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Binafsi haya mahusiano nayachukulia zaidi kama hitaji la kupooza tamaa za mwili tu, usiku mpeane company, mpigane mitutu, asubuhi muagane kila mtu aendelee na life lake Nashangaa kuna watu...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika vitu vinanishangaza ni wanawake wa kileo kutafuta wafanyakazi na wafanyabiashara baada ya kutafuta wanaume wa kuwaoa. Inakuwaje mwanamke unaweka sharti la dini kwenye ndoa na sharti la...
58 Reactions
349 Replies
13K Views
Ona baba mkwe wa kiafrika hapa kakaa na mke wa mtoto wake Enzi hizo haya mambo yalikua nadra sana! Baba mkwe sio sawa na kituo cha Polisi tena😅😅😅 nasikia hadi kuna kabila huko kaskazini mwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Mwanangu (Msela) wangu wa karibu baada ya kutafakari kwa muda mrefu kaamua aoe. Mimi kama jamaa yake wa karibu nimekuwa nikipinga sana suala la Ndoa. Ila cha ajabu kila mara...
7 Reactions
39 Replies
3K Views
Kwenye saikolojia ya mapenzi wanaume na wanawake wanapenda tofauti wanaume wengi tunapenda mwanamke kwa muonekano ila wanawake wengi wanapenda wanaume kwa njia tofauti ,cha kwanza uwe unamvutia...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Inashangaza mpaka kumaliza navuta hisia niko naye Nikiwa napiga stori namuwaza yeye tu Hii ni shiga gani hiii?
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu, Leo nakuja na shida yangu hii labda mnaweza kunishauri. Mke wangu hapendi kufanya tendo la ndoa kabisa. Miezi kadhaa baada ya kuoana alipata ujauzito na tabia hii ndipo nilipoanza...
22 Reactions
193 Replies
12K Views
Nimefuatilia kwa wiki mfululiza sasa kipindi cha Mr Right kinachorushwa na Station ya Startimes kinachosimamiwa na MC Gara B. Nilivyoangalia nimegundua mambo kadhaa ktk kipindi hicho 1. Wadada...
6 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada. Miaka kadhaa imepita naona tabia zangu zimechange Sana. Ilikuwa Mwaka 2000 nilipoanza kunywa bia, tena safari. Tabia hii nilianza kutokana na mienendo...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu, Ndo kwanza naanza maisha mwenzenu, nimepanga chumba kimoja tu lakini changamoto niliyonayo hapa ni nini nianze kununua cha ndani? Tushauriane wakuu
0 Reactions
33 Replies
18K Views
Kwa mujibu wa dini zote kuzaa watoto nje ya ndoa ni haramu!! Wenzetu waislamu wamepiga hatua kubwa wanaweza kuzaa watoto na wanawake wengi na wakawa ndani ya ndoa kwa sababu wanaruhusiwa kuoa...
34 Reactions
72 Replies
7K Views
Back
Top Bottom