Salaam wana JF.
Awali ya yote, niseme kwamba, Raha ya Mechi ni ule udambwidambi, vyenga vya kutosha na Magoli ya kiufundi.
Binafsi, Uzoefu wangu ktk tendo la ndoa, goli la kwanza huwa...
Mimi nimefurahi Kwa sababu nimepata marafiki humu wa kweli.
Ndio najivunia Kwa Raha zangu kweli kwasababu kuongeza wanafiki ni Raha sana unajifunza sana maarifa mapya .
Sijui kwenu mnajivunia...
Bi Mercy Banda amepewa talaka yake na mahakama baada ya kumburuza mumewe Chipo Lukena kortini akimdai talaka kutokana na kukithiri uzinzi.
Bi. Lucy katika madai yake ametolea mfano mumewe...
Hivi umeshawahi kufanya uchunguzi kuhusu hili?
Kwanini wanaume wengi wafupi ndo wanadamu zaidi kwenye ndoa zao kuliko warefu?
Unafikiri nini sababu hasa
Dear sasa wanaume, mnachosha!
Nilifanya mahojiano mahali ila ilikuwa ni ya binafsi, sema wanahusika na serikali kamshahara kalikuwa kanono kweli.
Swali la kwanza umeolewa hapana, kwa hiyo...
Sisi wanawake tuko werevu kuliko wanaume. Mwanamke akiwa na lake jambo, lazima litimie kwa gharama na njia yoyote. Halali au haramu.
Mwanamke akiwa mchawi anakuwa mchawi wa kutisha. Mwanamke...
Jamani jamani jamani
Huwa nafatilia cucumber prank pale mjini youtube, ambapo mwanaume anafake kwa kuweka tango kwenye suruali yake na kufanya maumbile yake kuonekana makubwa.
Cha kushangaza...
Katika pita pita na hawa watu wa jinsi ya upande wa pili yaani wanawake, warembo, vigori, mademu ati wanaita kuna hali flani hivi ya kweli...ni kuwa
Unapomtongoza mrembo ambaye humvutii kabisa...
Moja ya vitu vinavyonikwaza linapokuja suala la ndoa ni mahari. Ni kama nywele za kichwa, zipo hapo siku zote lakini zipo kwa ajili ya kazi gani hujui.
Mahari ipo miaka nenda rudi kama mila au...
Moja kwa moja kwenye mada bila Salam.
Nilipoanza mahusiano na huyu mke wangu nilikuwa nampelekea moto hatari, goli 3, 4, ila sasa ilikua ni siku za mwanzo mwanzo.
Huyu mke wangu akaanza kuwa...
Ni mwanamke wa kihaya.
Anaonekana kunipenda Kwa status yangu, ila Hana dalili ya kutoa mzigo Kwa kuwa Hana anaonekana Hana really love kwangu.
Huyu nimfanye nini wakuu. Japo bado Nampa kampan...
Watu wengi wanajiuliza nitamjuaje mwanaume au mwanamke ambaye ni chaguo langu au mtu sahii kwenye maisha yangu?
Ni simple saana
Ni hivi kwanza uliza moyo wako una penda mwanaume wa aina gani au...
Wiki iliyopita, nilipata mwaliko kutoka kwa mpenzi wangu (mchepuko), kuwa ananihitaji, niende nikamchangamshe.
Baada ya kunishawishi sana kwa maneno matamu, nikaona bora niende nikamtimizie haja...
Huyu binti ni miezi kama miwili naomba nipate naye japo nafasi ndogo. Nikamshawishi Jumamosi tukaenda Bagamoyo. Aliniambia kabisa tunaenda ili niondoe wazo la kumla.
Alinipa angalizo hilo...
Nipo Coco beach now nimepitia hapa kupunga upepo kwani niliumiss flan hivi.
Kulia kwangu kuna Akina dada wanapanda farasi huku wanapiga picha kuweka kumbukumbu,nyuma kidogo kuna wamasai ambao...
Kuna mtu baada ya kusoma tu hicho kichwa cha post alijua atakutana na picha za makalio hahahaha.
Anyway makalio makubwa yanatamanisha na yana datisha kiukweli.
Wanaume tumekuwa crazy juu ya...
Nimehamia mjini so Sina nyumba ya kuishi so kukodi ni lazima nimmeleta na maza ili asiboreke kijijini nyumba ni self tu nzuri ya kawaida so Kuna zenye room mbili yenye kila kitu wanaishi wenye...
Nimepewa dili la pesa na jamaa fulani ambaye ana mtaka ex wangu
Kuna msela fulani ambaye ana mtaka ex wangu huyo jamaa anamfatilia saana demu lakini kwa bahati mbaya demu anakataa. Sasa kuna watu...
Moja Kwa Moja Kwenye Mada
Hapa Sioni Ubaya Kuishi Na Ndugu Bali Nazungumuzia Ukiwa Na Ndugu Unaishi Nao Nyumbani Saa Nyingine Unakoswa Uhuru Wa Kujiachia Moja Kwa Moja.
Kwaupande Wangu Naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.