Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mambo vp wadau Kiukweli kila nikitafakari mambo anayoyafanya wife nashindwa kuamini kama ni kisirani cha mimba ama ni kama kawaida yenu wanawake mnapenda kujiendekeza. Wife amekuwa mtu wa...
6 Reactions
52 Replies
4K Views
Unajihisi vipi mkwe anaanza kukwambia, "Baba mkwe, mke wangu nimefumania mara kadhaa. Nimejaribu kuongea naye lakini bado anaendelea na usaliti. Kwahiyo nimefikia maamuzi ya kumrudisha nilipomtoa...
2 Reactions
8 Replies
752 Views
Wana JF, Hadi leo hii nina miaka 28+ nina jitegemea simjui baba yangu mzazi, ukweli kutoka moyoni mama yangu ninampenda lakini nimetokea kumchukia sana kuliko mtu yeyote duniani, hii hali...
25 Reactions
398 Replies
30K Views
Je, ni kitu gani kitakufanya utambue kuwa umemfikisha mweza wako safari yake wakati wa tendo? Akifika hatua kama hii you did it brother, what next......
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Kumbe mwanamke anaweza kutupanga mimi, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume kwa siku moja (kama ya leo Ijumaa) na wote 'tukamkaza" kwa ratiba aliyotuwekea kutokana na uhuni wetu, ila yule atakayempa...
14 Reactions
89 Replies
5K Views
Habarini jmn, natamani tuwe tunawajadili na ma single faza, sio kila siku single maza hivi single maza vile. Kuna kitu nmekinotice kwa masingle faza nliokutana nao. Masingle faza nnaowaongelea ni...
4 Reactions
73 Replies
3K Views
Unafika mahari unakutana na pisi matata, kabla hata hujachukua namba inapita nyingine ambayo unaona ndo pisi kali zaidi! Mpaka unakuja kufanya maamuzi uchukue namba ya pisi ipi muda ushaenda na...
0 Reactions
3 Replies
376 Views
Anayejua alipo aniambie, toka 2018 kiukweli nimemiss sana, na kama kabadili Id aseme tu. Natumaini hajambo na mzima wa afya. Ajue tu nimemiss sana. Neybright nimeona last seen jana, njoo ututoe...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Wanawake wa kisasa wanapojirecodi video au kupiga picha wanapenda Sana kuonyesha makalio yao na sio kitu kingine Mfano mwanamke umeolewa ila unajirecord unaonyesha tako lako na unasambaza video...
4 Reactions
107 Replies
7K Views
Wakuu, Wanawake akili zao wanazijuwa wenyewe! Kupitia uzoefu niliyopata humu JF, nikaweza kubaini hujuma niliyotaka kufanyiwa na hivi vibinti vinavyo vaa viatu vyenye manyoya. Tulipanga miadi ya...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwa kuheshimu muda wako, ngoja niandike kwa ufupi sana. Je, urafiki kati ya mwanaume na mwanamke tena mke wa mtu, unaojionyesha kwa code ya "Kaka" na "Dada" huwa upo kweli au kuna kitu...
11 Reactions
53 Replies
4K Views
Habari wakuu, Nimekumbuka hili tukio lililotokea miezi mitatu iliyopita baada ya kukuta missed calls zake mbili kwenye simu yangu jioni hii Ilitokea kipindi nilipokuwa kwenye harakati za kumuolea...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari za Wakati Huu wakuu!! Nina Ushauri Mdogo kwa Wale wanaokatishwa kuingia Kwenye Mahusiano na Baadhi ya Makabila Eti Kisa Sifa flani ulizisikia kutoka kwenye hayo Makabila. Je,Ulishawahi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Haina ubishi, sababu ni kama zifuatavyo; 1. Wanakua na uwezo mdogo wa kudhibiti hisia zao. 2. Hawana jambo linaloichangamsha akili like having intellectual project to be solved and fulfilled. 3...
17 Reactions
51 Replies
2K Views
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Hakika maajabu hayaishi chini ya jua na yanaendelea kumbuka siku baada ya siku. Ajabu namba moja ni mwanadamu. Hili ajabu mtu, kila siku limekuwa...
13 Reactions
77 Replies
13K Views
Nadhani ni vigumu sana kuuelewa huu msemo. Lakini ukweli ndio huo, Wanawake kabla hawajaingia mapenzini, hupiga Hesabu kali huku wakijifanya malonya kumbe wewe mwanaume ndio boya. Hebu jiulize...
43 Reactions
81 Replies
10K Views
Unaweza kukaa kwenye long distance relationship kwa muda gani?
2 Reactions
40 Replies
3K Views
wakuu salamu. Katika pilika pilika zangu za maisha, nimebahatika kukutana na binti mmoja hivi wa kipogoro. Nimetokea kumpenda sana, ila sijui historia na tabia za kabila lao likoje. Kwa mwenye...
1 Reactions
81 Replies
18K Views
Kuna mdada mmoja hapa mtaani kwetu, hana mtoto, & yuko kwenye early 20's anakaa kwa wazazi wake nilikutana naye njiani, nikamsalimia tu halafu, nkamwalika ghetto ninapokaa tukapike, Maana nilitoka...
14 Reactions
289 Replies
14K Views
Most of times tulikuwa tunaenda uwanjani kufanya mazoezi ya mpira kama wafanyavyo vijana wengi wa sehemu tofauti sasa ikitokea mtu kacheza Boko lazima apigwe Dongo na dongo lenyewe sio lingine ni...
15 Reactions
59 Replies
4K Views
Back
Top Bottom