Mmeamkaje WanaJF?
Kuna kitu kikubwa na nakiona kabisa kinaota mizizi kwenye hizi nchi masikini za kiafrika. Huenda ikawa sababu kwa nini Trump alinukuliwa akiziita "shit hole countries"...
Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwa matumizi, maana kila utakapopita nalo, basi ni lazima tuu utakutana na watu wanaojitapa kulijua vizuri kwa sababu walipata kulitumia.
Wapo...
USIMNYANG'ANYE MWANAMKE MTOTO!
Anaandika, Robert Heriel.
Mtibeli.
Hapa Duniani kitu cha thamani kuliko vyote Kwa mwanamke ni mtoto wake. Hata hivyo watoto ndio huweza kuonyesha waziwazi Mchango...
Habari Wadau,
Ni Imani yangu kwamba mnaendelea vema na pilika za siku kwa siku, Imedhihirika kwamba wanaume ndio huwa tunahangaika kubeba mizigo ya wenza wetu ikiwemo stress ambazo hupelekea...
Kwa ufupi,
Jamaa alianzisha mahusiano na ke ambaye alikuwa na mimba changa (haikufahamika kama ana mimba), siku chache tu ke akasema ana mimba ya jamaa!
Jamaa akasema ok, akalea mimba kwa...
Habari za humu ndani,
Nimewahi kuweka uzi wa kutafuta mwenza hapa, nawashukuru mliyojitokeza lakini kutokana na sababu mbali mbali sikuweza au hatukuweza kuwa pamoja. Waliojitokeza wengi...
Wakuu salaam kwenu
Hapa nyumbani kwangu nimempangishia dogo flani ambaye mwanzo alikua anavusha sana mademu yani kwa siku anaweza kuja na mademu watatu tofauti
Maisha yakaendelea na tumeishi...
Narudi zangu home baada ya harakati za hapa na pale za mtu mweusi, huku nikiwamind dereva na konda wake baada ya kutufaulisha Kwa kukata ruti,kisa eti trip hailipi kwakuwa hawakuwa na abiria WA...
Wanajukwaa, naomba mnisaidie hili limekaaje.
Ninaishi na mwanamke ila ni mbishi kupindukia kiasi kwamba hataki kufanya usafi wa nyumba, nikimwelekeza kutimiza majukumu fulani labda kufua nguo...
Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.
Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba...
Habari za wakati huu wana MMU..Naamini wengi tulio humu tumeshakuwa kwenye mahusiano ama tuko kwenye mahusiano..
hivi ulishawahi kuhisi kuwa na bahati au nuksi tokea uwe na...
Naombeni wanaujua wanisaidie hii imekaaje maana sielewi, niko na miaka 26 nafanya biashara Nina maduka matatu mji x...makubwa tu, moja nasimamia mm muda mwingi mengine ninawasaidizi.
Sasa inshu...
Kuna mwanamke wa Uganda nilitokea kumpenda sana kazini kwetu, na kwa bahati nzuri nikampa ukweli wangu lakini maskini ya Mungu akanipotezea. Nilijaribu njia nyingi kumfanya anipende lakini...
Napigilia msumari utafiti uliofanyika juzi ma ex wanachangia kueneza HIV. Nimeshuhudia live mdada aliachana na mwanaume, mwanaume akaoa kabisa huko, baadae mdada nae kaolewa. Akiwa na Mimba miezi...
Hii ni stori ya Monica wa Maganzo Shinyanga namna gani alijiingiza katika biashara ile.
Alizaliwa katika hospital ya Kolandoto mnamo mwaka 1983. Wazazi wake walikuwa ni wakulima. Baba yake mzee...
Marriage is a Promise of Love
Marriage is a commitment to life, to the best that the two people can find and bring out of each other. It offers opportunities for sharing and growth no other human...
Ni watu wengi walio katika mahusiano uachana na kutaka kurudiana. Neno Ex limekuwa ni neno maarufu sana na lenye kuonyeshwa uadui, visasi, uchafu, sumu, mkomoeni, kukosa uaminifu, tamaa, mapungufu...
Wakuu habarini,
Awali ya yote mimi siyo mwandishi mzuri sana wa mada, ila angalau nitajitahidi hivyo hivyo mnielewe.
Ipo hivi, mimi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kabila ni Mchaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.