Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wanawake huwa mnamaanisha nini kusema nitakuja kwako ila hatutafanya lolote? Yaani umefunga safari toka utokako, umepanda 🚗, umetumiwa na ya kutolea halafu unasema "Hatufanyi lolote",😁 kana kwamba...
8 Reactions
231 Replies
12K Views
Sijaumia kwa kipindi kirefu kuhusu mwanaume fulani tulikutana mahali fulani . Huyu mtu nilimpenda nayeye alinipenda sasa sijajua kama alinipenda kwa moyo au nimimi nilijikomba. Huyu mtu ni mtu...
28 Reactions
95 Replies
7K Views
Kwa mawazo yangu sifa za mwanamke kuolewa ningezipa asilimia Kama ifutavyo: a) Rangi ikiwa nyeupe 15% b) Muonekano kwa ujumla 25% c) Chura 35% d) Mguu 5% e) Uzuri wa tabia 5% f) Umbo lake 5% g)...
7 Reactions
192 Replies
8K Views
Hawa ni binadamu wenye moyo mweupe sana na roho nzuri kama uteweza kunata na code zao. Yaani aina hii ya pisi ni pisi ambayo katika swala zima la mapenzi kwao ni kitu cha kawaida sana na mno. Ni...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Natumai mumeamka salama wakuu! Wazee juzi Jumapili nipo kwenye pub moja hivi napiga bia na nyama choma kiasi kwaajili ya kumalizia wikiendi yangu vizuri sikutaka kutoka na mwanamke siku hiyo ili...
72 Reactions
237 Replies
22K Views
Nimekuwa nikihudhuria sherehe mbalimbali za harusi hapa jijini Dar ambapo nimekuwa nikishuhudia vijimambo mbalimbali vya kufurahisha na wakati mwingine vya kusikitisha. Nakumbuka Niliwahi...
7 Reactions
34 Replies
13K Views
Kusema kweli nashindwa kuwaelewa mabinti/wadada wa Kitanzania (sio wote) kwenye mitandao ya kutafta mahusiano ama dating apps. Sijui ni ushamba ama ugumu wa kuelewa. Mitandao kama Tinder, Badoo...
32 Reactions
36 Replies
12K Views
Kiukweli baada ya kuona hii pisi ikirandaranda kutafuta mume nimeamua kujivika bomu nioe mke wa pili. Wanamazengo mnasema? Si wife material kabisa huyu?
1 Reactions
2 Replies
689 Views
Habari wana JF, natumaini wote wazima, niende kwenye mada moja kwa moja. Kiukweli nipo na mke wangu nampenda sana mke wangu na tunaishi vizuri tu. Mwezi huu umeanza nashukuru Mungu mke wangu ni...
10 Reactions
117 Replies
7K Views
Hivi hawa viume ni wapi walitukamataga hasa sisi wanaume? Nikivuta taswira yaliyowatokea Adam, Samsoni etc nachoka kabisa. Unaweza kuta jitu babe hasa ila likikutana tu na mtoto wa kike mwenye...
4 Reactions
9 Replies
706 Views
Aisee kiukweli siwezi kuelezea safari yangu ya fungate toka marekani missouri nyumbani mpaka qatar aisee huku yues.Habari majobless na mnaishi kwa shemeji zenu samahani kama nitawakera kwa hizi...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Mimi:👉👉 ''Jana alikula vizuri Kabisa na Akacheka na sisi pale, Ila Ya Mungu mengi jamani" Also👇👇 Mimi:👉👉 ''Tunajaribu Kila...
1 Reactions
69 Replies
3K Views
Unakuta mwanaume kabla ya kutoka nyumbani anaakikisha kila kitu kipo sawa, --Gas ya kupikia ipo --mchele upo --unga upo -- Mafuta ya kupikia yapo --viungo na basic need kwa ajiri ya mapishi vyote...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Asikwambie mtu, mapenzi yanaumiza sio poah! Mbaya zaidi huko kwenye harakati za kuichakata mbususu yake, mmeshapangana kabisa! Halafu atokee mtu tu na kuichakata mbususu hiyo huku ukifahamu. Muda...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Sipendi demu ambaye hazingatii usafi wa uchi wake. Kuna demu mmoja aliniomba ofa ya bia kiutani utani na mimi siku hiyo nilikuwa nipo vibaya mno nina vijisenti vyangu vya kunisogeza siku mbili...
8 Reactions
61 Replies
9K Views
Wakati wa JPM alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akasota rumande miaka minne. Mwaka jana akaachiwa kwa NOLE. Aliporejea nyumbani akakuta biashara zake zimekufa. Mke ana mtoto mwingine aliyezaa nje ya...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Kuna mwanamke ambaye tulipendana naye toka 2018 kwa bahati mbaya tukaja kuachana 2021. Mwanamke huyo yeye ndiyo alinipenda mimi sikumtongoza. Mimi nilikuwa namfatilia rafiki yake lakini alikuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Dear Wives, Tungependa kuwatia ufahamu kwamba kombe la Dunia linaanza mnano tarehe 20 Mwezi Novemba 2022 nchini Qatar na litachezwa kwa takribani siku 28. Kutokana na hilo, tunaomba kuwakumbusha...
2 Reactions
6 Replies
701 Views
Wanaume tokea muumbwe kwanini Tako linawasisimua tuambieni na kwanini shanga za kiunoni zinawadatisha .?? Pamoja nakukata mauno??
0 Reactions
83 Replies
5K Views
Back
Top Bottom