Habari za muda huu wakuu,
Kwa majonzi makubwa naomba kuwashirikisha machungu haya ili tupate kuumia kwa pamoja
Niliamua kumtambulisha kwa rafiki yangu kipenzi, lakini baada ya siku nilimfuma...
Hey there,
Roughly, wanaume wengi wapumbavu ndo wamepewa hela na wanawake wengi wapumbavu ndo wazuri[emoji28]
Wakuu hivi kwanini mnajirekodi video mkiwa faragha?, mtu anakaaa tu mara anawasha...
Huyu binti nilimkubali sana tangu nilipomuona mwaka jana na tumekuwa na mahusiano murua. Ni binti mpambanaji tofauti na wengi kutoka mkoa huo.
Baba yake alikuwa msambaa asilia (alishafariki)...
Baada ya kuweka mtego kwa mchumba wangu nimegundua huko mbeleni naweza kumchoma kwa gunia la mkaa nikaishiwa kufungwa jela
Zikiwa zimebaki siku chache tuhitimishe safari yetu ya uchumba na...
Kuna jamaa mtaani alifanya tukio la kishetani sana, alimbaka mzee wa watu, kutokana na connection na hela aliyowapa familia ile wakapotezea.
Nimepata hisia mbaya na huyu jamaa, yaani nikimuona...
Huyu ni mchepuko niliyenaye muda mrefu, ana ujauzito wa miezi 8.3 sasa. Jana tulipokutana aliniambia nichague jina la kijacho, na bila hiyana nikachagua mwanangu awe wa kike au wa kiume ataitwa...
Nina mengi ya kuelezea mpaka ninapofikia uamuzi huu wa kumkana Baba yangu mzazi Yaani Mzee Leo ila itoshe kusema nimeshawishiwa baada ya kuona mzazi amemkataaa Mwanae kupitia kwenye vyombo vya...
Habarini wakuu.
Napenda tupeane uzoefu wa tuliooa na kuolewa tukabahatika kupata watoto mmoja au wawili, kisha mkashindwana kwa sababu mbalimbali kila mtu akachukua ustaraabu wake na kwenda...
Mimi ni baba ninafamilia ya watoto 3, lakini mimi na mke wangu hatuishi pamoja kutokana na yeye kufanyia kazi sehemu nyingine.
Katika pita pita zangu nikakutana na mwanamke mmoja 'black beauty'...
Basi bwana siku moja nikiwa Dom, simu ikaita, kuangalia hivi ni 'baby' wangu wa zamani ati anataka niende kumsalimia ati kanikumbuka, mara kakumbuka 'show' za kibabe pamoja na kunibania pua mradi...
Kuna mwenzenu huku (wife) amenitumia msj zenu za ku forward sijui katoa wapi akisisitiza niisome (nita share hapo chini), nikakumbuka wanawake wengi huwa wanasahau kwamba wanaume hatujaumbwa...
Moja kwa moja kwenye uzi.
Ile dhana ya kuwa wanaume ndiyo wanao endeleza ukoo na mwanamke anakuza ukoo wa kwa mwanamme bado ingali ipo au tulishavuka karne hizo?
Kuna umuhimu wa kuwa na watoto...
Maeneo mengi hali ya hewa imebadilika, kutoka kwenye kiangazi kuja kwenye msimu wa mvua. Sasa hii mvua inakuja na kabaridi hatari, naona baadhi wanajifunika kwa ngumi angalau kuikwepa hiyo baridi...
Wasalaaaam wadau! Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Kiukweli mimi najiona kabisa sasa nimefikia hatua mbaya sana maana imefika hatua nimekuwa addicted vibaya mno wa kuzama uvinza yaani raha...
Habari wakuu, (Brothers, Sisters, Baba na Mama mliomo humu)
Kama heading inavyosema hapo juu, Ni kwamba nilipopanga chumba nimejikuta mimi pekee ndiye sina mke, Ipo hivi;
Mimi ni kijana mwenye...
Wengi waliooa au walio kwenye mahusiano yenye milestones..Mara nyingi utawaskia wanasema Nilivyokutana nae tu nilihisi kitu kuhusu yeye n sikutumia nguvu yeyote nilijikuta nipo nae.???
Ebu tupe...
Hii kitu nimeiona hasa kwa wanaume ambao ni wakimya/wapole, mara nyingi huwa hawana bahati ya kupata wanawake wazuri, huwa wanawapata wale machakaramu ambao huwafanya kama wajinga. Japo jamaa huwa...
Na hili nalo likatazamwe kwa kina,
Kama ilivyo ada ya shida ya mgawo wa maji na umeme iliyoikumba mkoa wa Dar Es Salaam, wengine tumetumia kama fursa
Kuna mwanamke niliwahi kukutana naye njiani...
Sio wake za watu,sio ma single mama,sio wanafunzi wa chuo tu.Nowadays Kusagana kwa wanawake kumekuwa kama fashion. Unaweza ona mkeo ama demu wako hana nyege kumbe anasagwa na mwenzie. Imekuwa too...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.