Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni takribani mwezi tangu nimeanza ku interact na huyu mwanamke kwa namna moja ama nyingine. Siku ya kwanza alinikuta mgahawani nakunywa supu...
Napata sana kigugumizi kumjibu huyu aliye mbele yangu hakika... Ni rafiki yangu ambaye tunaheshimiana sana, na huenda ndio maana aliniamini mpaka kunichagua kuwa msimamizi wa ndoa yake miaka...
Kuna pahala nimeiona hii ikaitoa akili yangu kwenye ufanisi ghafla... Hivi hii imekaaje, unafanya maamuzi magumu kuoa / kuolewa na mtu ambaye amekwisha zaa na mtu mwingine kabla yako...
Ile...
MY STORY: Tulikua tunalala chini, tumejenga nyumba 2 maduka 3, kaenda kuoa mwanamke mwingine!
Alishaanza kubadilika, anachelewa kurudi nyumbani na wakati mwingine analala hukohuko, nikiongea...
Nafurahi kufikisha mwaka wa 10 siku ya leo kwenye ndoa. Nilioa kwa vigezo vyote vya dini, yaani ile hakuna ngono kabla ya ndoa.
Ilikuwa ngumu kidogo lakini kwa nguvu ya dini niliweza ingawa...
Kuna demu mmoja hivi nimetokea kumpenda saana tena saana. Ila cha ajabu nahisi huyu mwanamke ana nisaidie kubadili tabia zangu za kale na kuwa mtu mpya kabisa bila hata yeye kujua najikuta nafanya...
Kuna mda na jiulizaga hivi kwanini hawa ndugu zetu wanawake wanashindwa kutafariki kitu mbele ya kuchukuwa maamuzi
Na pia ni watu ambao wanaongozwa na hisia kuliko akili
Ndo maana Wana semaga...
Sijui ni mimi peke yangu ama huenda nikawa nawakilisha wanaume wenzangu wawili, watatu, watano, kumi au mia (sijui)...
Binafsi, hakika kuna maswali huwa sipendi kabisa kuulizwa, hasa katika...
Aisee nimekuja kugundua wanawake ukiwaacha ki amani amani wao wanaona Bado hamjaachana, yaani mpaka mbondane muvuane nguo za ndani mpigane ndo wanaelewa kimewaka.
Tumeeachana na wadada kiamani...
Ikiwa Mungu hayupo ni nani atakaye okoa dunia?
Wanadamu sasa hivi tunaishi kama wanyama maana wanyama hawanaga aibu wala akili
Sasa hivi mambo ambayo yalikuwa ya aibu kusema mbele za watu au...
Heshima kwenu wakuu,
Mke wangu mjamzito wa miezi sita, amekuwa akipenda sana kuwa na mtoto jinsia ya kike hivyo ikabidi nimshauri asiende kuangalia jinsia ya mtoto kwenye ultra sound mpaka pale...
Habari Wana JF
Nilidhani ubaba ni kitu cha kawaida asee nilivyokuwa namuona mzee wangu akipambania familia yake pindi nakua nilidhani anatuhujumu. Ila nimegundua alikuwa nasi kuanza anaamka mpaka...
Katika kuperuzi kwangu mitandaoni nimekutana na story ya kusikitisha na kutafakarisha sana. Inahusiana na baba aliepoteza mwanae wa kike kwasababu ya ukatili wa majumbani (mtoto aliuliwa na...
Kiukweli niseme wazi ya kwamba mimi ndio nilikosea mwanzo kwa sababu kwenye haya mahusiano yanayonitatiza kwa sasa, Nilianza na mdogo mtu,
Ilikuwa hivi dada mtu alikuwa anakuja ofisni kila siku...
Mwanamke akishapenda huwa anasahau kila kitu na anaenda kwa hisia pekee.
Yaani kuna mwanaharakati mmoja anaandika sana mitandaoni, lakini akija huku ni tofauti kabisa kwasababu amezama kwenye...
Habarini za asubuhi wakuu, natumai ni wazima sana. Leo nina swali kwa wanandoa au wenye mahusiano ya mbali, mimi mume wangu siyo kwamba anafanya kazi nje ya mkoa ila amesafiri kikazi kwa muda tu...
Waheshimiwa sana, salibonani!
Nazipata kauli kwa watu mbalimbali za kusifia utamu wa mwanamke mwenye mnato! Ni bahati mbaya kwangu kila nikiopoa napata wadada wenye mabwawa, nakwenda kuogelea na...
Nimekuwa kwenye mahusiano na michepuko kwa nyakati tofauti, na wote wanajua nina familia, ila kutokana na mazingira ya kuwajali na kuwa mchangamfu, wakajikuta wananogewa, na wengine mpaka wakaamua...
Hapa JamiiForums kupitia huu uzii kwanini upo single na huolewi au huoi tatizo nini.
Umelogwa au mvivu wakutafuta mpenzi serious .
Maana humu wadar ni wengi na wanasifa zote wadada wanazotaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.