Nimejaribu kuzunguka mtaa kwa mtaa, zaidi ya miezi 3, ili nipate mchepuko wa kiarabu; lakini bado sijafanikiwa.
Naimani, nikipata mrembo wa umbo namba 8, wa Kiarabu; akili yangu itatulia na...
Hebu tupeane maujuzi kidogo maana unaweza kuta unafanya mapenzi kumbe kuna sheria unazivunja pasipo kujua unakuta unamboa ila hasemi
Kwahiyo ndugu wapenda mbususu hivi ukiwa ndani ya sita kwa...
Havi kwanini wachezaji wengi wakike hasa hasa wanao cheza uku Afrika wanapendaga saana kuwa na mionekano ya wanaume
Yaani ata akiwa nje ya uwanja mara nyingi kuvaa kwao na mambo yao mengine...
Jamani mimi ni mfanyabiashara naishi Arusha huwa nakuja Dar kufunga mzigo na huwa nafikia SHARON HOTEL pale UBUNGO nyuma ya Stendi ya Mkoa UBUNGO lakini hii hotel inaniboa kitu kimoja wamefunga...
Ni juzi tulikuwako, kwa karamu yakufana
Ikiwa bathdei yako, Da! Pati ya kuagana
Ukanita Niko, niko, Ati hatuta achana
Niseme si langu fungu, haujakubali mtima
Siamini umeenda, hatutaonana tena...
Habari wakuu, hivi ni nini kinawafanya wanaume waendelee kukataa hata baada ya kuona ushahidi instead of kuomba msamaha yakaisha?
Iko hivi mume wangu alikuwa amesafiri for almost two months kikaz...
A man I iwe nanyi wakuuuu
Straight katika kutafakari hili swala LA wanawake wengi kulalamika kutelekezwa na waume zao baada ya kuzaa nao tena bila maelezo ya kina kwann wamefanyiwa unyama huo...
Habari za jumamosi wana JF, kisa changu kipo hivi mtani kwangu ninapo ishi kuna familia ambao ni majirani zangu.
Sasa hawa majirani kuna wadada ambao ni dada mtu ma mdogo mtu wote wanalipa tu ila...
Habari wadau !!!
Leo nimeachana rasmi na msichana niliedumu nae kwa miaka mitatu ni mlokole na ameishika din kweli kweli yaan ni kila siku jpili ni lazima aende church na siku za kati ya wiki...
Kila mahusiano yanakumbana na hizi changamoto.
Mtu anamkuta mtu wake anapiga stori na mtu ina kuwa ugomvi.
Akimkuta chumbani kwa mtu ndio balaa kabisa.
Fumanizi huwa ni kipindi gani?
Wanajamvi hali zenu. JF ni kimbilio letu hata kwa vitu vinavyoonekana vidogo, ili kujifunza kwa kuamini kuna wajuvi wengi. Hatujui kila kitu.
Katika harakati za kiume, jana nilikwenda mitaa ya...
Nimeapa kubadili mfumo mzima wa maisha yangu, sitokaa nitake tena mazoea zoea na majirani wapuuzi tena. Nimeoana mazoea yanaleta kutoheshimiana. Nimegundua hili ukubwani na nakiri nimechelewa, ila...
Ndugu zangu tangu ajali ya ndege iliyo tokea hapa majuzi ni mengi yamejadiliwa, bla !bla ! Ni nyingi Hadi muda huu. Ok let's get to the point!
Leo nikiwa nimetulia Kuna wazo limenijia, kuhusu...
Habari wanajamvi!
Leo nimeshinda zangu geto maana hali ya hewa ilikuwa hairuhusu kutoka mida ya jioni, nadhani hapa wakazi wa mji wa Morogoro watakuwa wamenielewa. Basi kufika saa tatu usiku...
Habari MMU,
Leo nimeona nije kuangazia upande huu wa wanawake, ambao wanaonekana kutoridhika kabisa na chochote wapatacho kutoka kwa wenzi wao.
Mwanamke humfanyie chochote kile jua ipo siku...
Dear ex yoga
My great love, I did not know how to value you...
My only love, in all this time, since we've been apart, it's still hard for me to accept being apart from you. I woke up thinking...
Na Christian Bwaya
Ninapata chai ya jioni na Injinia. Jamaa kafanikiwa. Maisha yake yanaongea na kuhamasisha wengi. Jamaa anaheshimika na kanipa heshima ya kikao. Simu zimeachwa yatima mezani kwa...
ENGLISH: JESUS FREAK
SWAHILI: KITUKO WA YESU
NA-DEDICATE STORI HII KWA WATU WOTE WANAOMPENDA MUNGU HUKU DUNIANI.
SIKO HAPA KUKOSOA IMANI ZA WATU WALA DHEHEBU ZA WATU ILA KATIKA KIPINDI HIKI...
Habari zenu wanaja JF, Natumaini nyinyi wazima wa afyaa,
Mkasa wangu uko hivi.
Mimi ni kijana, nina mahusiano na binti fulan nina mahusiano nae mwaka wa 3 tunaelekea.
Mwaka 2020, wazazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.