Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kwema? Watatu wa mwanzo waliniambia kuwa hawapendi wanaume walevi kwani ni wakorofi mno na wanapiga sana wanawake. Hata nilipowaambia mimi situmii pombe wala bangi hawakuamini. Hivi hii ikoje...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Kama mada inavyojieleza Yapata wiki sasa nimesusiwa chumba nalala peke angu na nimenuniwa kabisa na mke wangu. Ni hivi naishi na mke mbalimbali yani mikoa tofauti. Alikuja hapa maskani ila kuna...
8 Reactions
55 Replies
3K Views
Jamani hii kitu sio masihara hawa watu wanateseka balaa. Hivyo basi kupitia mateso yao imebidi tuwaonee huruma. Embu fikiri demu tu ambaye hana mbele wala nyuma jinsi anavyo sumbua. Sasa fikiri...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Inasikisitisa sana. Uyu Mwanamke anajua nampenda sana. Akija dukani kwangu atachukua nguo na viatu kadhaa alafu atapotea kama wiki mbili. Akija piga tena simu anataka kitu au pesa. Nikimsalimia...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari zenu? Miaka 11 iliyopita baada ya kuwa nimehitimu kidato cha sita, sikutaka kuendelea na chuo moja kwa moja,nikaona niingie machimboni huko katoro kutafuta maisha kwanza, nimechimba mawe...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari zenu natumaini wazima wa afya. Najua wapo watu wapo kwenye mipango ya kufunga ndoa, mimi kitu ambacho nimekiona mambo ya kuzingatia kabla ya harusi; 1. Uwe na akiba yako binafsi kabla ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kijana mmoja ampiga mpenzi wake risasi kumi (10) za kichwa Baada ya kumcheat Kutokana na watu wanavyodai msichana huyo amemsomeshwa na huyo mchumba wake chuo mpaka kumaliza, alikua akisoma...
16 Reactions
253 Replies
15K Views
Peace be upon you all, Wengi watasema tabia haihusiani na dini, well sio kweli tabia inajengwa kua njema au mbaya na mazingira ya mtu na hasa imani aliyo lelewa kwayo. Kuna msemo "Charity begins...
43 Reactions
148 Replies
13K Views
Habari wakuu,nimebahatika kujenga kibanda changu hapa Dar-es-Salaam, ni mtumishi wa ngazi za chini wa umma. Kipato changu bado ni kidogo Changamoto ninayokutana nayo ni kupewa watoto wa ndugu...
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Ni kweli mapenzi kila mja upenda kwa kigezo chake cha kihisia na kiutashi, kubaki mtu au kuondoka kwa mpenzi wake ni suala linalohitaji kila mtu atimize wajibu wake katika mapenzi na ndoa. Kwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu jamani wanaume wenzangu. Kuweni makini dada zetu saivi wanatafuta watu wa kitonga(mtu wa kukutumia wa ziada)ili kukidhi shida zake, uliwahi kuona mchezaji wa Azam akalipwa pesa na...
11 Reactions
67 Replies
3K Views
Wakuu, Kwanza nakubaliana na ule msemo tafuteni pesa, Bana kuna hawa gold digger yani mwanamke anapenda pesa yupo radhi akuchune mpaka senti ya mwisho, bila kujali alafu ukishiwa hataki hata...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa mwaka wa sita sasa na tuna watoto watatu. Nilikuwa napitia simu yake katika 'search history' ya Google nikashangaa sana kuona kama wiki mbili sasa anatafuta...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Nawazungumzia mapacha wa kufanana Josh na Jeremy. Hawa jamaa wamewaoa wanawake mapacha wa kufanana Britanny na Briana. Wake zao wote wamezaa watoto wa kiume, watoto wao wote wamezaliwa tarehe...
15 Reactions
61 Replies
4K Views
Habari, karibuni katika mada. Kuna mdada niko naye katika mahusiano ya kimapenzi ila kwa sasa tuko sehemu tofauti katika harakati za kutafuta ridhiki. Kinachonikwaza ni kwamba ana tabia ambayo ni...
11 Reactions
74 Replies
5K Views
Mambo vipi wanajamvi! Nakuja na mada yangu inayohusu kumlipia mahari baba yako pale ambapo hali yake kiuchumi si nzuri. Umeshawahi lifikiria suala hili? Twende pamoja! Iko hivi, baba na mama...
0 Reactions
26 Replies
1K Views
Huu unaenda mwaka wa tatu naishi kwa ndoto nyevu tu. Yaani mwanamke hata awe na mvuto kiasi gani, kama hatuna mpango wa kuoana, amani ya kulala naye sina kabisa. Ingawa naweza kuwa na hamu ya...
7 Reactions
59 Replies
4K Views
Nawaza zawadi ya kumpatia mke wangu kama 'surprise' tu, kutokana na changamoto alizopitia mwaka jana, mwezi kama huu, mpaka ikafikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi. Alifiwa na mzazi wake...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Shalom! Kuna msemo eti wanawake wa zamani hawakuwa na makalio ila wa sasa wana makalio. Ni kweli, zamani walikuwa hawajui kujibinua na pia mavazi yalichangia, kwani walifundishwa kuvaa mavazi ya...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Inafikirisha sana ila ndouhalisia. Binafsi Nina msongo mkubwa sana wa mawazo kwakuondokewa na mpenz wangu julieth ambae alikuwa ananipenda vibaya mno. Ni miezi miwili sasa yupo mavumbini. Mola...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom