Kuna mwanamke ambaye nilikuwa naye kwenye mausiano mwanamke huyo alikuwa ananipenda saana kwasababu ya uhuni wangu nilikuwa na shindwa kuheshimu hisia zake nikawa na mpa stress kila mara alikuwa...
Nimelete kwenu Uzi huu nahitaji msaada wenu. Mimi ni mhitimu wa chuo sina hata miezi miwili nimehitimu chuo. Nimekuja hapa kwa kaka yangu maeneo ya wilaya ya Kilosa huku kupumzika kidogo huku...
Niliwahi kukutana na Dada msabato mmoja aliyenisimulia jinsi alivyoichukia ndoa yake baada ya kukutana na mwanaume mmoja muislam.Alikiri kwamba alipata ridhiko kubwa la kingono na moyo ulitulia...
Picha linaanza yeye mwenyewe asubuhi kanitumia ujumbe kanikumbuka, anataka dushe, Zero bila iyana kuangalia kwa pochi nina 30k nikampanga aje lodge, akasema sawa.
Nimelipia chumba 25K nikabaki na...
Sweetheart, KatungeWake
You are the most precious, loveliest, and most important person in my life. This physical distance has become more troublesome than I thought. No matter where I go, I can...
Hivi zile sifa ulizokua unazitaja
Za handsome,tall,dark
Financial stable
Na kwa mke (mnazijua nyie)
Ndo anazo sasa hivi
Au Ndoa ni upendo
Hahahaha
Nyie acheni kabisa
Ningemshauri mtu yoyote...
Nakumbuka enzi hizo huyu mke wangu nilikutana nae jkt kj 823 Msange mujibu wa sheria, aisee nilimuelewa mno first time namuona. Ila bado nilikua lofa na domo zege sikuwa na guts za kumuambia, coy...
habari za asubuhi wakuu
Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto ambayo imenichanganya iko hivi nilikua napita maeneo ya morocco hotel nikakutana na demu ambaye nilikua nampenda sema nilikuaga...
Za mida hii wakuu,
Yan week 2 zilizopita nimejitahidi kukwepa vishawishi na mitego ya huyu binti, lakini leo nimefika mwisho.
Last night alinipigia simu akidai kuwa anaumwa niende nikamuone...
Unaweza fikiria kuwa natania lakini hii ndio hali halisi kwa sasa, wadada wamekuwa wepesi sana wa kukubali ofa za kuolewa tofauti na hapo awali
Sasa hivi kama geto kwako una kitanda, godoro, jiko...
Habri za leo wakuu, poleni na mihangaiko ya kusaka ugali wa kila siku.
Niende moja kwa moja kwenye mada, nina mchumba wangu ambaye tumekuwa kwenye uhusiano kwa muda sasa, kiasi kwamba ninafahamu...
Waswahili walisema "Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime" nadhani hapa pia walikuwa wanamaanisha hao wagomvi wanaweza hata kutumia jembe kukatana wakati wa ugomvi. Kwahiyo ni bora wewe ukalime...
Wana izengo kama somo hapo juu linajieleza. watu wengine tunakutana na majanga na mitego.
Ipo hivi, nilikutanana mwanamama huyu sehemu moja ya kutafutia riziki, ni mfanyakazi kama mie. Ni ofisi...
Just kumpenda tu upendo wa kawaida, msije kunihukumu eti labda hivi wala vile. Nampenda tu kama ninavyowapenda watu wengine
Nimempendea upole, ana matamshi safi yasiyo na upuuzi, mrembo, anajua...
Wakuu kama kichwa cha hapo juu. Kwanza mmeamkaje, hapa kazini napo fanya kazi nina miezi kama mitatu au minne tangia nianze kazi meneja(HR )wetu kampuni x ni mwanamke mweupe pee una nywele ndefu...
Neno pesa limekuwa likitumika vibaya na watu wengi hususani jinsia ya kiume kuyatazama mahusiano, mapenzi na ndoa, kwamba bila pesa hakuna udhati wa mapenzi. Pia neno pesa linatumiwa kuonyesha...
Kwa ambao ntawaudhi kwa hili ntakalolisema mtanisamehe lakini nahisi hapa JF naweza pata ushauri au msaada wa nini cha kufanya kwa hii hali yangu.
Mimi ni kijana, umri wagu ni miaka 28 nimetimiza...
Umempenda mtu fulani kwa sababu kupenda huwa ni kabla ya kukutana kimwili.
Sasa baada ya mahusiano ya muda mmekutana kimwili unakuja kugundua kuwa jamaa hawezi, je, unaweza kudumu nae kwa sababu...
Hii hapa kesi yangu ya kusikitisha
Ilinikuta ijumaa ya juzi katika harakati za kuianza weekend nikakumbuka kuna mrembo flani wa chuo nilichukua namba yake siku za nyuma kidogo maeneo ya micasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.