Hivi kwanini wanaume wakati wa ku-sex wanapenda kuangalia machoni. Wanakuwa wanafanya huku wanaangalia mwanamke machoni direct, hawaangalii pembeni. Halafu wakiwa wanafanya hivyo wanaongeza na...
Heri ya mwaka mpya wana MMU, naombeni ushauri, Mimi ni mdada wa miaka 28 nimeolewa.
Ila sikubahatika kusoma, lakini mwenzangu yeye amebahatika kusoma na ana kazi nzuri tu, mwakajana alinishauri...
Wakuu
Zile takwimu za sensa tumepigwaaaa,, alisikika mlevi mmoja kilabuni sema tuachane nae.
Wakuu mi kuna jambo limekuwa likiniwazisha sana, hivi hizi kesi za kuuwana na wengine kujiua Kila...
Unaweza ukajiona mjanja mbele za mwanamke kwa kumpa pesa kila anapokuomba kumbe mwenzako anakuona huna akili, unajipendekeza, mjinga, lofa.
Mpe pesa mke wako, mpe pesa mama yako mzazi, mpe pesa...
Waungwana habari za muda, naamini tu salama na wazima wa afya, kama una changamoto pole na Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi na itapita.
Nimeandaa post hii kama sehemu ya kusaidia vijana wa kiume...
Habari wana JF, tumaini langu mnaendelea vyema. Chapu tushuke kwenye mada.
Ni jambo la furaha kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na mtu ulievutiwa nae katika mazingira yoyote na kwa lengo lolote...
Mwanamke unapokuwa unakataa kataa wanaume kwasababu zako mwenyewe, kumbuka pia na andiko hili;
Nabii Isaya
Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi...
Ile misemo ya zamani kuhusu ndoa miaka ya sasa haifanyi kazi kabisa.
Kulingana na ukosoaji wa jamii hakuna kijana anaetaka kuangalia tabia anapotaka kuoa badala yake sura ndio jambo la kwanza...
Huyu mwanamke nimemfahamu mwaka jana mwezi wa pili jijini Dar. Kila siku nilimkuta kwenye bar X yenye jina kubwa tu hapa Dar. Hakuwa mhudumu, bali alipretend kuwa mteja, kiuhalisia alikuwa anauza...
Ushauri,
Juzi nipo na mpenzi wangu tumekaa tunapata kinywaji, harakati za hapa na pale nikahisi jambo kwenye simu yake. Kumpokonya simu, simu ikaleta password kila file, ila mwanzo haikuwa na...
Mahusiano yana mengi kwenye nafsi za wanaume wengi. Najitahidi nitulie nafsi inakataa, inamtaka huyu mrembo.
Ndugu zanguni, najua si Mimi tu ninaesumbuliwa na mahusiano ya mwanamke mmoja wa miaka...
Mwanzo mimi nilifikiri wanaume ambao wanaoa wanawake wakubwa kwao wana kosa akili saana na vibenteni wote kumbe sivyo mwanangu
Hawa watu wana utamu fulani na wanamaujuzi fulani hivi kwenye yale...
Hi!
Niliwahi kuleta Uzi nikasema wanawake maskini hasa wa mjini hawana mapenzi ya dhati kwa wanaume wapenzi wao.
Wengi ni kama wapo na wanaume ili watatue shida zao za kiuchumi. Watakuigizia...
Mwenzenu sijui Nina tatizo gani ama tuseme Sina ngekewa kabsa kwenye Mapenzi gundu zimeniandama.Yaani nikitokeaga kumpenda mwanamke kwa dhati yangu yote kiukweli huwa napata tabu Sana kumpata...
Wadau,
Nimebahatika kufika mikoa mingi sana Tanzania but kwa Arusha nimezima fegi kuna wanawake wazuri sana wana rangi fulani hivi so natural wana figure nzuri, halafu waelewa na wajanja tofauti...
Wana MMU hongereni na Kazi..
Kwa wale Mabachela Sugu,pitieni huku kuna ofa ya kupata mke kutoka kwa Mzee..
Bei ya makabishiano ni maelewano,watakaowahi watapata punguzo👇
"No one judge me"
Kiukweli ndugu zangu natamani sana kufanya vitu vingi vya binafsi lakini nikifikiria watu watanionaje nguvu zinaniisha na kuamua kuacha tu na kujificha au kujibana, na ni mambo...
Wanawake kiukweli uwepo wenu una thamani na umuhimu mkubwa sana katika hii Dunia, ila kitendo cha kubebeshwa mimba na mwanaume mwingine halafu ukaenda kumpa mtoto mwanaume mwingine hii ni mbaya...
Scout yangu usahili wa awali umekamilika
Wagombea nafasi wote wameshindwa kukidhi vigezo takiwa.
Aliekua amebaki ni huyu baada ya juzi Manka kuondoshwa kwenye kinyang'nyiro, sasa nae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.