Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
..Nakuja hila hata salamu kutoa dukuduku langu kutokea moyoni. ..Jaman naelemewa na hawa wanawake kila mwanamke anataka nimuoe. Aolewe na mimi au kuwa mchepuko wangu wenye hadhi ya mke. ..na...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Mimi ni Mkristo Safi, ila aliyesema kuoa wake wengi dhambi alikosea kwani hata Yakobo au Israel alikuwa na mke zaidi ya mmoja. Mambo ya kuoa kamke kamoja ni kujidhulumu nafsi. Natafuta pesa ya...
26 Reactions
127 Replies
5K Views
Kweli mapenzi saa ingine ni mateso tu. Sitosahau siku ambayo tulitembea usiku zaidi ya migahawa 6 kisa kila mgahawa tunaoingia anasema hajaona chakula cha kula (na ni migahawa mizuri ya mjini)...
9 Reactions
44 Replies
4K Views
Ndoa ndoana, waweza kudhani umepata kwa kumchunguza mda mrefu kumbe ni mtego tu wa kukushawishi muingie kwenye ndoa, weeeehh!!! ingia sasa kwenye hio ndoa akiyacomoa makucha aliyoficha utaomba poo...
18 Reactions
95 Replies
7K Views
Jana nlifanikiwa kupata appointment na demu mmoja wa mjini. Unajua midada ya mjini? Basi ndo huyu mmoja wapo. Tukawa mitaa flani Michael Chain (tamka Maikochein) tunapata machozi ya devil. Sasa...
17 Reactions
38 Replies
4K Views
kuwa mwanamke ni moja kati ya jinsia ambazo ni so sensitive na muhimu sana katika hii jamii. ndo maana binafsi huwa nachukia mtu anapomtendea jambo baya mwanamke mwema. anyway hata mwanamke mwovu...
3 Reactions
21 Replies
6K Views
Wakuu, Najua kila mtu ana utaratibu wake wa kupiga sounds hizi pisi. Kimsingi, mimi nikiielewa pisi, nikamwaga verse ndani ya wiki mbili hainielewi, basi naipotezea kabisa. Huwa masuala ya...
24 Reactions
145 Replies
7K Views
Ndo hivyo wadau! Mke afuma muamala wa 20k kwenda kwa mchepuko huku msg za kushukuru na malavidavi nyingi tu. Mke akasirika na kuzama mfukoni mwa suruali ya mumewe wakati yupo bafuni na kutoka na...
0 Reactions
9 Replies
713 Views
Nimeitoa FB kwa Deogratius Nalimi Kisandu Sehemu za siri za mwanamke zinapaswa kuwa SAFI muda wote, Kila baada ya masaa 6 au 8 mwanamke au mdada unapaswa kusafisha sehemu zako za siri yaani...
12 Reactions
134 Replies
29K Views
Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako. Umeenda...
139 Reactions
355 Replies
25K Views
Jana ilikua Jmosi ya mwisho ya mwezi October na kikao Cha wanaume kilichelewa kumalizika kwani mada iliyoletwa mezani ilikua very hot. Mwamba mmoja alipenyeza agenda kuwa wanaume tunalalamikiwa...
25 Reactions
71 Replies
3K Views
Mwanamke unajijua kabisa wewe ni jeuri, kiburi, una mentality ya "mwanaume hawezi kunipelekesha" Yaani unaingia kwenye mahusiano na mwanaume akili ukiwa umeshaiseti kabisa kwamba siku mambo...
35 Reactions
222 Replies
16K Views
Wana JF kuna mpangaji mwenzangu mumewe alimtelekeza na mtoto wa miaka 7, na mda sana tangu amtelekeze dada huyu amekuwa akipambana mwenyew akiuza genge lake ili kujikimu katika mahitaj yake...
0 Reactions
5 Replies
714 Views
Je unahisi umeshaanza kumchoka mmeo ama mkeo????!!!! Imeandikwa na Shams Elmi (Abu 'Ilmi) Takriban katika maisha ya wanandoa walio wengi kama sio wote, ndoa zao hupitia katika vipindi tofauti...
5 Reactions
433 Replies
128K Views
1. Mommy Types Ni aina ya wasichana au wanawake ambao huonyesha tabia ya umama. Hupenda kujali kupita kiasi. Mfano katika mahusiano usipomtumia ujumbe wa kufika sehemu uliyomwambia unaenda tarajia...
6 Reactions
21 Replies
11K Views
Kwa wanaodhani wale wadada (plus plus) wamejikita sinza tu basi watembelee mtaa wa sikukuu kariakoo hasa pale palace hotel ni wnegi kama nzige sijui kwa nini uongozi wa hotel hauchukui hatua...
6 Reactions
137 Replies
52K Views
Ni kweli hakunaga uume mdogo kwenye maumbile ya mwanamke anaejiheshimu, Ishu ni kwamba katika Tanzania hii ya sasa kuendekeza huu msemo ni tofauti na uhalisia wa sasa. Kuna wanaume...
5 Reactions
127 Replies
13K Views
Wakuu natarajia hapo mbeleni kuwa single father wa watoto wanne na single mothers wanne! Nipeni mbinu jinsi ya kudeal na hao single mothers wangu watarajiwa kuhusu kutatua matatizo ya hapa na...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Life is crazy man, mimi haikuwa girlfriend, ndugu, mdada wa kazi, etc. Hadi nina miaka 20, nilikuwa sijawahi fanya ngono. I was a shy and introvert dude at early years of adolesence. Nakumbuka...
1 Reactions
4 Replies
911 Views
Habari! Jumping to the topic: Tako lina matter likiwa kubwa, pana na LAINI. Hayo maneno underlined yamesahaulika sana ila ni LAZIMA yapewe uzito wake. Mwanamke asipokuwa na tako LAINI hata...
20 Reactions
166 Replies
15K Views
Back
Top Bottom