Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wasalaaam wandugu, naomba msaada tutani. Mimi nina mwenza wangu ambaye tumekuwa wote kwa muda sasa na sasa hivi tupo katika hatua za uchumba wa ndoa. Huyu mtu kiukweli twapendana hasa, twajaliana...
4 Reactions
98 Replies
6K Views
Habari zenu wanajamvi, Ni miaka 8 sasa tangu nioane na mke wangu na tuna watoto watatu. Kwa ufupi tunaishi kwa amani sana. Tumejiwekea utaratibu kila mwisho wa mwaka huwa nachukua likizo na...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari waungwana, Binafsi naona itakuwa changamoto kwenye ndoa yangu endapo itatokea nitaoa mwanamke asiyejua kupika. Inawezekana suala hili likaonekana la kawaida ila kwangu ni suala lenye...
8 Reactions
79 Replies
4K Views
Shalom, Kwa sisi wasabato leo ni siku ya kwanza ya wiki, Nikirudi kwenye mada, nimemkumbuka sana mwandani wangu hadi yani nakuwa naweweseka, nikiona jina lake au text moyo unapasuka, haya ni...
4 Reactions
58 Replies
4K Views
Habari wanajamvi? Katika harakati zangu za kujitafutia mkate wangu wa kila siku leo nimefika mahala nikakutana na vijana watatu na mzee mmoja wa makamo. Watu hao walionekana wafanyakazi wa...
3 Reactions
134 Replies
10K Views
Unajua miaka ya nyuma mambo kwa asilimia kubwa hayakuwa hivi yalivyo. Mimi nakumbuka kipindi hicho cha nyuma hata kupata watoto wazuri ilikuwa tunatumia mbinu za kiume hasa. Kama ni mikoani huko...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Wataalam wa Saikolojia ya Mapenzi (mibanduano) wanasema kuwa ndani ya mwezi ni siku sita ambazo wanawake hutamani kupenziwa (kubanduliwa) na wanaume ila siku zingine zote huwa hawajisikii hamu...
23 Reactions
145 Replies
10K Views
Yaani mtu mara akublock social media zote, halafu akitaka kukufatilia muda atakao kwenye akaunti yako ataku unblock, akiridhika ana block tena. Bahati mbaya status WhtasApp nazipata, ila contact...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari za mchana ndugu zangu. Kama nilivyoalindika kichwa hapo juu, hivi siku hizi kuna mwanaume anaeweza kujamiana na mwanamke raundi ya kwanza wastani wa saa moja? Maana mbona kuna malalamiko...
5 Reactions
51 Replies
4K Views
Jaman naomba mnisaidie, Nilifanya mapenz na dada mmoja tar 7 .8. 2019 baadae akaja kuniambia ana mimba yangu basi sikuona shida kwa sababu nilofanya nae mapenzi , nikahesabu siku nikaona...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kaa mbali sana na mwanamke anayeandika jina lake kwa staili hii akiamini amelipatia - Mtu anaitwa Lilian yeye anajiandika Lilyan/Liliani au Lylyany. - Janeth yeye anaandika...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Twenda kwanza na Biblia; Yesu akawajibu, “Musa aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu mioyo yenu ni migumu. Lakini tangu mwanzo haikukusudiwa iwe hivyo. 9 Nami nawaambieni, mtu ye yote...
11 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu wana Jf,bila shaka muwazima na buheri wa afya,kwa walio katika changamoto za kiafya baasi mwenyezi mungu awajahalie wepesi na wapate kuwa vyema na kushinda vikwazo hivyo,sawa...
1 Reactions
3 Replies
518 Views
Wanajamvi salamu,,ni week moja sasa nachepuka. Sababu ni huyu mpenzi wangu kutoa harufu ya ushuzi mbele yangu. Hili lilitokea mchana mmoja tukiwa tumepumzika. Alicheka mno mpaka akatoa ushuzi...
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Mnaendeleaje? Kisa ni nyama robo kilo tu, nimenunua mboga asubuhi kwenye moja ya mabucha hapa mtaani. Nikamkabidhi aitengeneze kwa ajili ya mchana na jioni. Sasa mchana wakati tunakula ikatokea...
42 Reactions
154 Replies
9K Views
Waslaam wakuu, Kuna hili suala ambalo limenitokea mara kadha naomba kuwashirikisha, sijui huwa linawatokea na nyie ama ni mimi pekee yangu tu. Kuna muda ambao una rafiki yako ama mpenzi wako huwa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Leo ngoja nikupe hii siri. Maana inakera pale umeshachagua chungwa lako tena la kudumu nalo halafu baada ya kulimenya unakuta halina maji, kavu au sio tamu yani ladhaless. Ukitaka kupata chungwa...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Wapendwa hamna mwanamke mbaya duniani, mwanamke yeyote ni matunzo tu na namna unaamua kumuweka. Tuacheni ubahili kwa hivi viumbe vinahitaji maisha ya anasa ili uzuri wao ujidhihirishe kweupe...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Wasalaam wazee, natumai muwazima. Ebwana kule chama cha 'NoFap Challenge' mimi nikiwa kama mwenyekiti leo nimeingia mtegoni. Nimeona niombe ruhusa kabisa kwamba jioni ya leo nitakuwa na kipindi...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Habarini wapendwa...... kwa wale wanawake wote walio kwenye ndoa zenye changamoto . kuna kitu nmekifahamu kuwa kwa nini wanang'anina kuishi kwenye ndoa zenye mtatizo sugu ambayo mwisho wake huwa...
12 Reactions
269 Replies
18K Views
Back
Top Bottom