Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Introverts are people who prefer time for themselves, few circle of friends, in short people who are not social because of being shy/quite/. I think I have this personality,and it cost me as I...
23 Reactions
97 Replies
13K Views
Tendo la ngono lina mambo mengi aisee na sababu nyingi sana. Kiukweli nimekua na tabia ya kumuuliza hili swali mwanamke ambaye nimehisi katokea kuvutiwa na mimi ama hela zangu. Lazima niulize...
12 Reactions
139 Replies
6K Views
Wakuu nina mchumba wa kiislamu ambae tumeshibana sana na nataka nimuoe lakini imetokea changamoto kwa baba yake anataka nibadili dini na amekomaa kweli kweli. Baba yake ni mtu wa dini na ni...
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Nimeona wanawake wengi wakimsifu Masanja kama amefanya jambo la kishujaa kugongewa mke na badala ya kumwadhibu ndio kwanza anaoneshwa mapenzi ya social media na zawadi za kushangaza kwa jambo...
11 Reactions
20 Replies
2K Views
Siku moja nilikuwa nimetoka nyumbani, niliporejea kwangu, nilipofika mlangoni nilisikia mazungumzo ya mke wangu na shoga yake, ambaye hajabahatika kuzaa na mumewe. "Wewe tafuta mwanaume yeyote...
12 Reactions
25 Replies
3K Views
AMKA NA HII: Najua kuna kakitu wanawake wanaambiana “Ukitaka kujua kama anakupenda wewe muombe pesa kwanza kama akikupa basi yuko siriasi na wewe!” Hapana, haipo hivyo, hata wale wanaojiuza nao...
1 Reactions
10 Replies
667 Views
Aisee kwa walioa ama kuolewa wanaifahamu hii siku, inakuwa tamu lakini yenye presha nyingi. Binafsi siku hii jasho halikuacha kunitoka na hata uchangamfu ulitoweka, lakini ni siku yenye kumbukizi...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari, poleni kwa majukumu. Mimi nina rafiki yangu huku kampenda dada, akaongea naye wakakubaliana. Ilihali imepita wiki tatu, rafiki yangu ilibidi aombe penzi, dada ana mtoto hivyo shida...
5 Reactions
112 Replies
3K Views
Sina nia ya kutiririka wala kuperform kazi ya motivational speakers ila kwa niliyojionea, ningependa kufikisha ujumbe fulani. Niliachana na mwanamke wangu sababu alikuwa mkavu hadi kero. Baada...
0 Reactions
1 Replies
495 Views
Natumai mko salama, Leo nawiwa kuwaandikia haya enyi mabinti wenye nia ya kuutunza usichana wenu hata kama uko chuo au unatarajia kuingia huko. Fanya yafuatayo kama hutaki uasherati chuoni. 1...
14 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari wana JF Ni matumaini yangu hamjambo wote mnaendelea vizuri. Kwangu mimi kuna suala lanitatiza kidogo hapa. Et wanaume wezangu baada ya sex ni lazima kumpa mwanamke hela au demu wako...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Kuna mdada nilimpa lift ya pikipiki (sina gari) tukabadilishana namba za simu. Baada ya kuchati siku mbili tatu tukajikuta tupo karibu, nikamtoa out kwenye kijiwe changu cha kitimoto (sorry) kumbe...
22 Reactions
52 Replies
9K Views
Hili ni tatizo linaniumiza kichwa sana, najiuliza kwa hali hii nikioa itakuwaje? Ni miezi miwili tu au mmoja, namchoka kabisa. Ila wiki chache za mwanzo nakuwa na hisia naye mno, yaani hata...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Soon tutaanza kuona masela wanawinda mende vyooni badala ya mkongo. Hili pia ni fundisho la kutokuendekeza kula kula ovyo kwa michepuko. Kutoka mende mpaka kuwekewa kinyesi kabisa ni hatua chache...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwenye Uzi wangu nilioandika leo asubuhi, nilielezea bayana jinsi ninavyoumia ninapotafakari matendo ya mwanamume anayomtendea mwanamke kwenye tendo la ndoa! Maumivu yananijia pale ninapomfikiria...
20 Reactions
30 Replies
2K Views
Kuna wanaume na wanawake wana maisha magumu, anafanya uamuzi wa kuvunja mahusiano yake tena wengine kwa mbwembwe na matusi juu, ila baadae anarudi tena na kulilia penzi alilolivunja. Wapo tayari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuuu Hapo juzi ilinilazimu kudandia roli kutoka mkoa A kwenda mkoa B majira ya usiku, safari ilikuwa ndefu na tulikuwa tunabadirishana mawazo na yule dereva. Kwenye story tulizopiga...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa, Ni matumani yangu mnaendelea vyema na kila mmoja kwa nafasi yake anautafuta mkate wa siku. Kuna jambo nimejaribu kulifikiria kwa muda na nimeona tushirikiane kwani kuna watu...
1 Reactions
115 Replies
8K Views
Kubali ukatae huyo unayeishi naye si wako. Upo hapo kujisitiri tu uitwe mume wa mtu, mke wa mtu basi. Ndiyo maana umekubali kuvumilia yote.😆 Eti navumilia watoto, navumilia watu wataongea sana...
34 Reactions
266 Replies
10K Views
Huwa nafurahia sana mapenzi yaani unakutana na mwanamke anajifanya anakupenda kumbe anataka kukupiga tukio, kisha na wewe unajifanya umekolea ili na wewe umpige tukio yaani inakuwa full burudani...
12 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom