Habari gani ndugu zangu wasaka tonge wenzangu na vigogo pia habari zenu.
Niende kwenye maada, mwanzo naanza ku-date nilikuwa nawafagilia sana wadada wenye chura ya kutosha. Kusema ukweli...
Kuna demu mmoja ambaye alikuwa anadharaulika mtaani kwetu huyo demu alikuwa bad face kinoma Sasa Kipindi wanaume tulikuwa tunamuona wa kawaida saana.
Sasa kuna rafiki yetu mmoja hivi alijitokeza...
Leo nimenijiskia tu kuwapa hongera zenu wanawake wote duniani msiotipiga mizinga ama vizinga vya kijinga jinga. Mara dawa ya mswaki imeisha mara sijui lipstick imeisha mara sijui Rasta mara sijui...
Jamani mwezi wa pili nilitoa uzi kuhusu kutafuta babe, wakaja wengi wazuri. Loh, kumbe ni lichawi! Visa nilivyovipata mpaka niliamua kwenda kwenye maombi.
Akikupigia mkapigana usiku, unamuota...
Wadau habarini,
Wiki ijayo nategemea kufunga ndoa huko Mtwara, sasa nishaurini ni zawadi gani nzuri ya kuwapa wazazi wangu? Na je, kama ni mistari ya biblia, ni mstari gani mzuri unaohusu wazazi?
Kuna watu tokea wayajue mapenzi, hawana raha nayo ni kama wapo ukanda wa vita.
Yamewafanya wawe walevi, wafirisike, wapoteze kazi na marafiki na wamekuwa ni watu wenye misongo ya mawazo.
Ukiwa...
Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na hili nalo mkalitizame.
Ijumaa ya wiki iliyoisha kulikuwa na ka sherehe uchwara nyumba ya jirani na ninapoishi. Sherehe ilifana kwa...
Nina mshkaji wangu, homeboy wangu kabisa ana mpenzi wake ambaye wamedumu naye kwenye mahusiano kwa takribani miaka 2.
Mwana akaamua ampeleke mtoto kwa wazazi wake huko Tanga kwanjeka. Wazazi wa...
Vita na chuki kwa mke wenza na hawala ni jambo baya linalodhoofisha maisha ya mtu. Kuna haja ya kutambua, mnapokuwa wote mmetongozwa, mbaya wenu ni yule aliyewatongoza.
Neno kusema adui wa...
Msichana wa kizungu : the man loves me a lot he buys me flowers and give me his Time. He cares
"Jamaa ananipenda sana, ananinunulia maua na kunipa muda wake. Anajali.
Mzaramo/Mswahili:
"Jamaa...
Hamna aliojua mwanzoni kwamba it will end into tears, ila nyie mabinti wa Machame Mungu anaona.
"Kwa sababu wote tulikuwa wa tumishi tulikubaliana mshahara wake ufanya maendeleo ya familia na wa...
Kuna wanaume na wanawake wana maisha magumu, anafanya uamuzi wa kuvunja mahusiano yake tena wengine kwa mbwembwe na matusi juu, ila baadae anarudi tena na kulilia penzi alilolivunja.
Wapo tayari...
Kitendo cha mtu anayeitwa mpenzi au mwenza wa mtu kuingiliwa kimwili kama kuku tetea au mwanaume kuwa na tabia za jogoo, hii ni shida inatesa wengi katika mahusiano.
Hivi kuwa na mmoja ni ngumu...
In short, go for what makes you happy as long as you don't transgress anyone's perimeter!
For some time now, I've been [emoji131] what we call numbers D & E. I admit that these numbers don't know...
[emoji7][emoji7][emoji7]
Katika masuala haya ya mapenzi nimeona ni vyema niaanze kuongea na wanawake kuhusu namna ya kuweza kufanikisha kummaliza mwanaume katika sita kwa sita.
Jambo la kwanza...
HAKUNA UMUHIMU WA NDOA KARNE HII KWA SABABU...
Na, Robert Ng'apos Heriel
Hakuna umuhimu wa ndoa katika Karne hii Kwa sababu;
1. THAMANI YA MWANAMKE IMESHUKA NA INAKARIBIA KUTOWEKA...
Haya si maneno yangu ni maneno ya Mungu mwenyewe, sasa sitaki watu waje kunishambulia hapa.
1 Wakorintho 11:8-12
1 Wakorintho 11:8-12 BHN
"Mwanamume hakutoka kwa mwanamke, ila mwanamke alitoka...
Poleni na majukumu ya hapa na pale wakuu,
Ukiachana na akili zangu chafu ninazozianika huku, mimi ni kijana mwema tu, mpole, kipenzi cha familia nyingi, ninaeshirikishwa katika majukumu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.