Habar wana JF.
Natumaini wazima?
Niende kwenye mada bila kupoteza muda.
Leo bhana mida ya mchana nilipokea simu kutoka kwa rafiki yangu wa karibu sana ambaye huwa tunashirikiana mambo mengi...
Ukiwa na hela, hapa naongelea utajiri na hukuwa na mwanamke kabla ni bora ukazalisha mwanamke kama alivyofanya Diamond na ukaendelea kuishi peke yako sababu utapendewa pesa na wanawake.
Mwanamke...
Je huyu ni mwanamke wa aina gani....?
Huyu ni mwanamke mwenye hii akili ya kumliki mwanaume kiakili na kimwili kwa kumtenganisha na
1; Familia, hapa ndio pale mwanaume anapo kosana na ndugu...
If you’re looking for the perfect ice-breaker to start a conversation with your crush, then look no further.
I’ve personally selected the following 100 questions for you to ask your crush.
The...
Imefika hatua mpaka dada wa tumbo moja ananipotezea, embu fikiria dada yako kabisa inapita mwezi hajawahi kujibu ujumbe wako hata mmoja.
Yupo online na ujumbe unaonekana umesomwa lakini kujibu tu...
Hakuna kitu kibaya kama umaskini, unapoona umefanikiwa kupata pesa hakikisha haumsadii mtu, hasa wanawake. Mimi nawashangaa hawa wasiyo na kazi mnapiga mchongo mnagawana labda 800 USD halafu yeye...
Texting Girls: 10 Mistakes Men Make, But Must Avoid
1. Insisting on a date.
It is perfectly okay to arrange a date with a girl you just met, but don’t push her to give in to a date until she’s...
Like unatembea unaona watoto wazuri wazuri and you picture them naked/ bedding them? Na wao wako hivyo? Nauliza sababu rate ya wanaume kufanya hivyo ni kubwa
Nimeiona hii picha kwa mstuko... Huyu bibi namjua ni rafiki na Bibi Tina aliyekuwa mama mwenye nyumba wangu Mwananyamala mwaka 2000 kuelekea 2001, kama sie basi naomba radhi
Nilihamia mwaka huo...
Nimetimiza wiki ya pili tokea kuhamia kwenye makazi haya mapya. Kama ilivyo kwa mwanaume lijal, ilinipasa kutengeneza mahusiano mapya ya karibu ili nipate mahala pa kupozea kiu yangu ya kimwili...
Anaweza kuwa amechoka, amesusa, amenuna, amekasirika, amekwazika, ana kinyongo, anaumwa, ana msongo wa mawazo. Si unajua mabinti na vijana wa siku hizi wana mambo mengi? Si unajua siku hizi maisha...
Wanawake tushtuke, kwa asili ya mwanadamu kiimani, kisayansi na kwa desturi mwanaume ni msingi na nguzo ya familia.
Wanawake tuendelee kupambana kuwa bora kama wanawake ila tusitamani kuwa...
Mahusiano yetu yamemaliza miezi miwili, Parasitism ndiyo iliyotawala mahusiano yetu. Amefaidi pesa zangu lakini kuhusu kulala naye amekuwa mgumu. Nimemvumilia vya kutosha. Nimebembeleza kama mtu...
Nina rafiki yangu kila mwanamke anayenisumbua kwake anampata kirahisi sana. Mara ya kwanza nilipata mwanamke karibu na nyumbani kwake pale. Mwanamke huyo alinipenda, siku ambayo nilimkutanisha na...
Leo nimekuja Mwanza kikazi, baada ya kufika nikachukua chumba lodge x, nikaenda gereji kufanya service maana keshokutwa narudi Morogoro. Nikiwa pale gereji nikajaribu kudodosa kujua ntapataje...
Mahusiano ya kimapenzi ni kupeana thamani, unapofanya maamuzi ya kuwa na mwenza ina maanisha yeye ni bora kati ya wengine. Maamuzi haya sio ya kukurupuka au kusukumwa na marafiki, ndugu ama jamaa...
KUIKUBALI JINSIA YAKO YA KIKE NDIO KUMDATISHA MWANAUME WAKO
katika mahusiano moja ya kitu kinachofanya wenza wengi kuachana, kusalitiana na kushushana thamani ni pale mwenza asipoithamini jinsia...
MIKOGO MINGI UMUOGOPESHA ULIYENAYE/UNAYEMTARAJIA.
Katika mahusiano malingo, pozi na mbwembwe zinanafasi yake kuleta ashiki ya mapenzi. Lakini yanapozidi huleta hofu kwa mwenza/mpenzi.
MIkogo...
Nimerejea nyumbani baada ya kuzurura mitaani.. Tuendelee sasa na mada zetu.. Leo ni mada tajwa hapo juu
Kuna mengi ya kujadili kuhusu ujauzito na adha zake kama chakula vinywaji na mapenzi ama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.