Jamani wana JF naomba msaada wa kimawazo:
Mimi ni kijana mwenye Mke wa ndoa na mtoto mmoja. Nimepang nyumba moja na jamaa mwingine ambaye naye ana mke na mtoto mmoja.
Huyu jamaa anapendana sana...
Habari wana jamvi
Natumaini kichwa cha habari kinajieleza ni takribani kama siku ya pili leo mke wangu amekuwa mkali kila nikijisogeza nyumbani ni story za kunichamba na kunitukana baada ya kuona...
Leo nataka niwape kisa cha anko wangu moja hivi wa mtaani ambae kwa sasa ni marehemu, ubaya pia sikubahatika kwenda kumzika.
Wakati wa makuzi yangu nilibahatika kulelewa katika mtaa ambao...
Wadau nianzie upande wa wanaume, imagine umepata mchepuko mzuri na mwenye shape + chura kuzidi mkeo, yaani siku ukikutana na huo mchepuko mahaba yananoga hasa hasa ukilinganisha na wife wako...
Tunajua mapenzi yanaendesha Dunia. Tumesikia na kujionea mapenzi yalivyo na nguvu, lakini sina uhakika kama yanaweza kuhamisha milima kama wasemavyo.
Umri uliyonao na mambo uliyokwisha pitia...
Hata maandiko matakatifu yanatukumbusha kusameheana saba mara sabini. Wanaume mjifunze kutoka kwa yale yaliyomkuta mchungaji. Mbona yeye kasamehe? Kwani yeye si mwanaume kama mlivyo ninyi...
Habari zenu mabibi na mabwana
Leo katika pita pita zangu nimekutana na andiko moja ambalo jamaa ametusema wanaume vibaya sana nami nimelikopi na kulileta kwenu kama hivi
""Mwanaume anayeweza...
Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na sote tuitikie "Kazi iendelee"
Kuna binti humu ndani, jirani na chumba ninamoishi, mtoto wa mama anayeishi na mama yake. Mtoto huyu...
Binafsi sijawahi kubambikwa mimba wala mtoto, ila nimewahi kuhudumia mimba hewa! Nilikuwa nampenda sana naye alikuwa anajua nampenda, siku ya siku akaniambia hazioni siku zake, tulipoenda kupima...
Huyu mrembo amekuwa akiniongezea gharama katika matumizi ya kila siku, na hii ni kutokana na kuwa anapenda vitu vya anasa anasa. Kutokana na uzuri wake, pamoja na mizinga aliyokuwa akinipiga...
Hii ndiyo dunia niliyoambiwa kuwa uyaone!
Wakati wengine wakikesha kwenye ibada na kwenye vilinge vya waganga kutafuta ndoa, wengine ndoa zimewashinda wanatamani kuachika.
Lakini wanawake tuache...
Hapa ninapopanga, jirani yangu usiku wa kuamkia leo katembezewa kichapo kikali sana. Huyu Mwanamke ni mzuri tu, lakini tatizo lake mdomo tu. Tatizo lake ameshindwa kufahamu kuwa, mume wake ni...
Imekuwa kawaida kuona matangazo ya waganga wa jadi kuhusu dawa za kuongeza nguvu za kiume.Hata hivyo wengi wanadhani hawa ni matapeli!Hapana.Wanatekeleza kazi yao vizuri mno.
Kwa nini kuzimu?
Ni...
1. Alinilipia deni la vitabu viwili vilivyoibiwa nikiwa kidato cha pili mwezi wa 11 bila ya mimi kumfahamu. Nikiwa kidato cha tatu niliibiwa begi na vitabu ndani yake, wakati nimefikishwa staff...
Kuzaliwa mwanaume kweli mateso.
Yaani wanatafuta sababu ili watutukane mara hatuna nguvu za kiume, ooohh tunatumia pweza mara vumbi la kongo.
Tunaomba mtueleze ina maana mkitundikwa mimba nalo...
Za leo ndugu zangu, natumai mko poa kabisa.
Kuna jambo limekuwa linanitatiza kwenye maisha yangu nalo ni chuki aliyonayo kaka yangu juu yangu.
Hili jambo nimekosa wa kumshirikisha ikabidi...
Wasalaaam wana jukwaa.
Hivi wanawake ni viumbe vya ajabu sana sababu hawajuwi kula na vipofu kama kichwa cha maada hapo.
Ipo hivi, mfano umemtongoza kabla hajakupa jibu amekubali au la...
Kama kuna watu wanamdaganya eti ooh wewe ni kioo cha jamii mara pasta
Huo ni uboya. Mtu yeyote anayejielewa hawezi kukubali upuuzi uliofanywa na Monica.
Kuendelea kuishi naye ni kujitakia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.