Wazazi au walezi wanapenda sana kuweka taarifa au picha na video nyingi sana kuhusu watoto wao mtandaoni. Wengine huko Instagram, wanachapisha video na picha za watoto wao wakiwa nusu uchi...
Wakuu mmebarikiwa.
Iko hivi, kuna kazi nliipata mikoa ya Kanda ya Ziwa na nlitegemea kupata pesa nyingi sana ila kwa bahati mbaya mambo yamekwenda tofauti kabisa.
Wakati nafika huku nilikutana...
Habari wana jukwaa.
Nataka kuuliza kitu hapa maana najua Dunia ina vitu vingi na kila kinachotokea siyo kipya, ujue kimeshatokea sehemu.
Nataka kupata uzoefu kwenye hili. Je, ilishatokea...
Unakuta mwanamke hujawai kutembea naye wala kumfanyia baya lolote lile lakini bahati mbaya mahusiano yamevunjika tu ghafla, hakuna mawasiliano pande zote mbili lakini siku unamuona online...
Bila mambo mengi,
Jana asubuhi asubuhi si nikakuta missed call za pisi flani zikiambatana na text za nimekumiss. Ah! Mida mida nikaamua kujibu ile basi tu. Mrembo kaanza kunieleza vitu...
Hello ,
Leo tuongelee mbinu za kushawishi watu.
Hizi nlizisomaga kwny kitabu fulan miaka imepita..Lakini zimenisaidia sana kwa kujua au kutokujua.
Nakuomba nishee na wewe pia.
Ushawishi huu...
Huyu manzi tulikutana Nairobi, nilienda kwenye mbishe flani ya chap kwa haraka, mwenyeji wangu akanipeleka club moja inaitwa K1 Klub.
Hapo nilikutana na mamsi mmoja, ni msupuu siyo utani...
Habari za muda huu ndugu jamaa na marafiki, ni matumaini yangu kuwa sote hatujambo na wenzetu wanaopitia mitihani mbali mbali ya kiafya au kiuchumi Mungu awasimamie maana yeye ndio muweza wa yote...
Nawasalimia wanaizengo..
Nina mwanamke mjanja mjanja Sana tuko ofisi moja, tume date na nime kula mara mbili tatu. Namsoma bado.
Huyu mwanamama is extra genius, naona na IQ yake kunizidi...
Habari wana jukwaa.
Leo nataka niseme kitu kidogo sana.
Ushajiuliza kwanini mahusiano mengi yanavunjika, namaanisha mahusianoa ya mwanamke na mwanaume?
Jibu ni rahisi sana, sababu ni kuwa, wengi...
Kwanza poleni wakaka na wadada ambao bado single kama mimi.
Kuna huu msemo eti umri umeenda tafuta mtu wa kuolewa au unatafuta mtu wakukuzalia. Hapana, hakuna hilo, mnajidanganya. Usidanganywe...
Jambo ndugu zangu, naombeni ushauri wenu.
Nina mwanamke wangu ambaye tunapendana naye na tuna mpango wa kuoana hapo badaye. Ila ninashindwa kuelewa tabia za mwanamke huyu, kiufupi mwanamke huyu...
Jamani ndiyo tunamalizia wikiendi natumai mko poa.
Basi wikiendi ilivyoanza nikaona ni busara kwenda mtembelea bibi huko kijijini kwake Mwanzo Mgumu, nikapokelewa kwa kishindo. Basi bwana, bibi...
Habari wadau, Mafarisayo, wapambanaji, watafutaji bila kusahau wachakataji. show yangu mbovu kuliko zote ni mwenda zake aligoma kusimama kabisa bustani ya eden nilivuta bangi na hisia zote lakini...
Wakuuu.
Tumezaliwa watano kwa baba na mama angu, mimi ni wa pili kutoka mwisho, hao wengine wote ni wanawake mimi peke yangu ndiyo mwanaume. Kwahiyo dada watatu wamenizidi na mmoja ndiyo yupo...
Mwalimu Mwakasege amesema kabla vijana hawajaungana Katika Ndoa ni vema wajitafakari kama Mungu ndiye anawaunganisha kwa Imani na siyo Upendo pekee.
Mwalimu Mwakasege amesema Upendo ukipoa basi...
Ni nadra sana kukuta mwanaume anamwambia mwenzako kwamba anamjali.
Ukiwa na shida utapewa msaada kwa utani au kadhihaka fulani hivi, Kwa nje ni kama huwa hatutaki kusaidiana ama kujaliana lakini...
Muuza Kangala nina wakati mgumu sana. Maana huyu mwanamke ananichanganya. Kama miezi mitatu tulizinguana naye. Baada ya kizinguana naye mpaka leo anazingua kunipa puchi.
Mimi nikivusha wanawake...
Bint wa Bill Gates (tajiri namba moja duniani kwa miaka kadhaa) anategemea kufunga ndoa na kijana wa Kimisri (wanaotujengea Steigler Gorge).
Bint ame fall kwa kijana handsome wa Kiislam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.