Wakuu nimekuja hapa kuomba ushauri.
Kama mara ya kwanza nilivyokuja kuleta mada kuhusu yule mwanamke, sasa nmekuja tena kuwaomba mnipe ushauri wakuu.
Je, kipi sahihi nifanye, nifute namba yake...
Nilikuwa na mwanamke wangu ambaye tulikuwa tunapendana naye sana, na tulikuwa tumepanga mwaka kesho tutaoana.
Ilikuwa mwezi wa wa 9 mwanzo mwanzo kule mwanamke wangu aliniambia kuwa sijui...
Mimi nimekuwa na mawazo tofauti sana, umeoa mke wako ila sisi ambao hatujaolewa tusaidie wake za watu wanaume zao, yaani tuzeeke kisa tunatumika na mali za watu. Hivi nyie wanaume mliooa mnataka...
To be honest
Mpaka Muda huu kuhusu maswala ya ndoa nakwama Sehemu moja
Kuzaa mtoto then asome katika Dumu fagio hapo tu.
NB Mimi najifunza kwa walio-fanikiwa tu
Dumu fagio ni hatari kwa...
Inakuwaje wote Mungu katupa akili sawa, ghafla kuna mtu anaamua kutamani kufugwa na kuwa chini ya uthibiti wa mtu mwingine?
Yaani ikitokea mwanamke kaolewa na mtu wa chini sana, na huyo mtu wa...
Nitajitahidi nitumie lugha ya staha.
Kina dada wanaofanya biashara ya ngono, wanajiskiaje namaanisha wanajihisi wanafanya biashara hii kama wafanyabiashara wengine wanavyojihisi?
Wakati wa...
Merry Christmas
Kumekua na maneno ya kashfa Sana dhidi ya baadhi ya makabila hapa Tanzania.kuwa "wanawake wa kabila fulani Ni Malaya Sana,hawafai".
Mtazamo huu Mimi Lee sikubaliani nao...
Habari za humu wananzengo, mimi ninashindwa kuelewa hii jinsia ya kike hasa ya huu mkoa wa dar wanataka nini? Mbona wanaringa sana.
Mimi sitaki mapenzi ya biashara kama kuhonga sana ili mwanamke...
Kuna mambo mengi watu wanayapotosha katika sekta ya mapenzi (afya pamoja na vitendo). Leo ningependa kuzungumzia mitazamo mbalimbali ambayo kiuhalisia si kweli au haina mantiki katika sekta nzima...
Ni siku nyingi zimepita lakini hili jambo sijawahi kulieleza popote pale.
Leo nalieleza na kutaka kujua kama kuna waliowahi kukutana na hii hali waje nao hapa watoe yaliyowasibu.
Mwaka 2013...
My Kaka (mama tofauti aka mtoto wa nje) tumekulia na kukaa pamoja alimpa mimba housegirl.By the time kaka alikuwa form five
Kwa kumwogopa sana baba akanieleza tumwombe yule housegirl aseme amepewa...
"A good woman is not one size, women say"
"Unahitaji kukaa vizuri kama mwanamke!" "Nani atakuoa ikiwa hujui kupika?" Haya ni baadhi tu ya maagizo ambayo wasichana hupigwa navyo wanapokua...
Nyie wanaume mliooa tunaomba mtulie na wake zenu. Kama mlioa kwa bahati mbaya ni juu yenu. Msiwe mnatusumbua wengine kabisa kwanza mnatupa gundu tu ambao hatujaolewa, kaeni ma wake zenu. Nani...
Hii imekaa vipi wakuu!?
Kuna dada mmoja hivi, nilionana nae kazini kwangu miaka hiyo, 2018 wakati nipo Dar Es Salaam kipindi hicho.
Tukazoeana Sana. Chating kwa wingi mno. Nikaanza kumpenda Ila...
Habari zenu wakuu.
Naomba niende mojakwamoja kwenye mada husika, ni story ndefu lakini nitajaribu kuifupisha.
Ni Mfanyakazi mwenzangu, nilishiriki kwenye zoezi zima la kumposa mkewe, mahari na...
nimemaliza chuo mwaka 2005 . nikafanya kazi maeneo kadhaa wakinizingua naacha.
huwa sipendi kuzinguliwa kazini. kwahiyo usitegemee uniajiri alafu ulete za kuleta eti nikuache
kama sijakuwamba...
Wakuu habari zenu,
Huku tukiutafuta tafuta usingizi hebu tuambiane mahusiano ambayo umewahi kuwa nayo na yakawa mafupi kuliko yote.....
Ukitoa sababu ya kwanini mlidumu muda mfupi hivyo itakuwa...
Uchawi wa mwanaume kwa mwanamke upo wa aina 2 tu;
1. Pesa - Hii itamvuta aje kwako.
2. Kumfikisha Mlima Kilimanjaro - Hii itamfanya uingie moyoni kwake sana sana. Sasa ili umfikishe Kilimanjaro...
Kumekua na wimbi la akina dada kuzalia nyumbani hasa hawa wa miaka 19-26. Unakuta kijana anajua hana uwezo wa kuhudumia mimba na kuchukua majukumu kama baba lakini anazalisha tu.
Kuna hawa jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.