Kwa maisha ya sasa na wanawake wengi, utagundua wengi hawatumii au hawana akili. Na ndiyo maana wanajibidiisha sana kwenye muonekano, ila kichwani hamna kitu kabisa. Hopeless.
Mwanaume : Fikiria...
Wakuu nisiwachoshe twende moja kwa moja kwenye mada.
Huko Kenya kijana mmoja kutoka familia ya kimaskini aliyekuwa ameajiriwa kama mtunza bustani kwenye familia moja ya mboga saba, amejikuta...
KURINGARINGA KUNAVYOWAPONZA MABINTI.!!
Kuringa kwa wasichana wa kibongo ni athari za malezi. Ulaya mtoto wa kike na kiume wanakua pamoja, wanahug, wanakiss, wanacheza pamoja but responsibly coz...
Habari zenu wana nzengo?
Wanaume wa leo wanatimiza miaka 50 wanakaa kwa baba na mama
Wanaume wa leo hawatunzi wazee wao, wazee wanatunzwa na mabinti
Wanaume wa leo hawatunzi nyumba zao, badala...
Wakuu kuna mdada Anadai ana mimba yangu mpaka sasa sijui nifanyeje maisha yangu yenyewe hayaeleweki sijui pakuanzia wala kumalizia.
Na binti naye hana mpango wa kuchomoa ushauri ndugu zangu sijui...
Acheni! Acheni! Acheni ulafi wanaume mliooa. Na ndiyo maana mnajifia mapema mnawaacha wake zenu wakiendelea ku enjoy mali zenu na mahawara zao.
Komeni kusingizia eti mnarogwa, anawaroga nani...
Habari za saivi ndugu zangu.
Dhumuni la kuleta hii mada hapa ni ili kupata msaada wa kimawazo kuhusu binti mmoja tuliodumu kwenye mahusiano kwa miaka minne.
Kipindi tunaanza tulikuwa...
Ee bwana ee!
Juzi kati katika hali ya kupita pita hivi niko na mchizi wangu, si tukajikuta tumetulia eneo flani tunapiga stori na mrembo flani wa kishua huku tukimwagilia moyo.
Nikawa najipigia...
Unawezaje kumtongoza au kumfanya mwanamke ambaye hakupendi akupende?
Mimi kuna mwanamke ambaye namtaka ila kwa bahati mbaya mwanamke huyo kama anavyosema yeye ni kuwa hanipendi!
Ila ananipa mda...
Hii inawahusu hasa wanaume/mabaharia wanaopenda kuchukua totoz maeneo mbali mbali.
Kuna siku tulikuwa kwenye kikao cha kiume na mabaharia wenzangu, tukawa tunabadilishana mawazo na katika...
Context izingatiwe
Nivilio kila Kona, wanaume wakiuliza yako wapi mapenzi tuliosimuliwa na Babu zetu. Waliotuhadithia kuwa mapenzi si pesa bali hisia za wawili waliopendana na kuamua kuishi bila...
Dakika chache zilizopita ilikuwa siku yangu ya kuzaliwa ila nina utaratibu wa kuacha tu siku ipite bila kufanya taratibu yoyote.
Lakini marafiki zangu leo wamenishangaza baada ya usiku kunitegea...
Mm nina miaka 35 namtaka binti wa miaka 20, najiuliza nkimtongoza huyu binti si ataniona wa ajabu sana? Maana nimemzidi miaka 15 nikikutana naye njiani ananipa Shikamoo.
Hata nkimtongoza...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania, hivi mnajua ya kwamba;
Utakachokuwa unamsimulia sweetheart wako siku za mwanzoni penzi lenu linapokuwa...
Habari zenu waungwana wa humu JamiiForums.
Jamani nyie waungwana, katika haya maisha jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika.
Hivi utasijikiaje ukiwaona watoto...
"Ndio maana ikatokea huko kwenye mahusiano na mwanaume, halafu ukampigia simu akutumie hata elfu kumi, utamsikia akisema, njoo nyumbani kwangu uchukue",alisikika mwanadada mmoja akizungumza kwa...
Juzi nilikuwa na safari kwenye mkoa fulani nikaamua nipite kumsalimia shemeji yangu(mke wa aliyekuwa rafiki yangu) ambaye amefiwa na mme wake miezi michache iliyopita, nilishangaa kumkuta shemeji...
Hivi karibuni nilileta uzi unaosema;
Nimekuta vitu vya mwanaume chumbani kwa mpenzi wangu, naomba ushauri tafadhali
Huu ni mrejesho bada ya kukuta vitu vya mwanaume mwingine imebidi niombe wiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.