Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wanaume wengi tumekua obsessed na aina moja ya tabia za wake zetu ambayo wengi hatuwezi kuvumilia, uzinzi au uzinifu, mara nyingi wanaumme hupima uamnifu wa wake zao kwa hilo la uzinzi, na kuja...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello everyone, nipo kijijini kwa muda. Mke wangu nimemuacha mjini na nina week 1.5 hapa. Sasa ni mgeni na naona ingenichukua muda mrefu kuanzisha mahusiano au kuomba mbususu na kupewa. Wakati...
11 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimatumaini kila mmoja anaendelea vyema, ambao hawako sawa Allah awafanyie wepesi kwenye magumu yao. Leo nimekumbuka kisa kimoja nikiwa O-Level nakwasababu niko safarini sina cha maana cha...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nchi hii ili mwanaume uonekane wa maana eti fanya kazi kwa bidii ili uwahudumie wanawake masikini! Fikiria unatoka na mwanamke ambaye hana uwezo wa kujinunulia bando!
37 Reactions
261 Replies
9K Views
Wakuu ningependa mnijuze sifa hasa za wanawake wakikwere,maana nahitaji nikate shauri lakuoa binti wa kikwere. Ningeomba nifahamishwe sifa nzuri na mbaya juu yao, mwisho wa siku niwe na maamuzi...
0 Reactions
35 Replies
10K Views
Hizi ndoa za kikristo zimefikia mahala sasa tunaweza kuziita ndoa za kisheria kwasababu watu wanaona mahakamani kuna unafuu kuliko kufata sheria za ndoa za kikristo. Usijidanganye kizazi hiki...
9 Reactions
98 Replies
5K Views
Tunaposema maandiko ya biblia hayajakataza ndoa yenye mke zaidi ya mmoja ila ni maelekezo ya viongozi wa makanisa muwe waelewa. Haya sasa, hivi chukulia kijana wa kikristo mwenye miaka 25 kaoa...
4 Reactions
67 Replies
5K Views
Mimi ni kijana wa miaka 31 na nina kipato cha kati, nimekuwa nikipata msukumo mkubwa sana kutoka kwenye familia kwamba nioe lakini kila mwanamke ninaye kuwa naye kwenye mahusiano naona...
6 Reactions
94 Replies
4K Views
Jaman mimi ni mwanaume niko na kamchumba kangu tulikuwa tunaongea na simu mpaka saa nane za usiku[emoji23][emoji23], ila gafla baada ya kuamua kuoana naanza kuona ninapunguza upendo kwake tena...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya mambo yanafanywa Na wanawake wa siku hizi inazihirisha Hakuna mwanamke mwenye mwanaume mmoja na inaweza na wao wanatamani kama tunavyo tamani sisi na kuna uwezekano na wao wanaliwa...
8 Reactions
38 Replies
3K Views
Hapa juzi nilileta kisa cha kuachana na mchepuko wangu ila nilikatisha baada ya watu kuunganisha matukio na kunijua so nikaona nikiendelea ni kujivua nguo mimi na yule binti. Sasa baada ya...
3 Reactions
50 Replies
4K Views
Hii ni njia nyepesi mno, ila inafanya kazi kwa asilimia 99 kwa wanawake wanaohiitaji kuingia kwenye mahusiano makini. Achana na hawa wanawake wenye njaa ambao baba zao na mama zao wameshindwa...
19 Reactions
108 Replies
7K Views
Polisi kupitia Muliro imethibitisha kuwa mke wa Masanja hakuwa na mahusiano na Katibu wake, na ukifatilia tweets za Masanja utagundua alikua na hisia za mkewe alichepuka. Ndiyo maana utaona...
5 Reactions
60 Replies
7K Views
Mjomba Mwaisa hapa nilikua na mmendea manzi mmoja hivi, sasa siku ya jana akanipatia namba. Leo baada ya kumtafuta mida mida fulani vile mtu mbadi napanga miadi usiku tuonane, ghafla anatuma...
19 Reactions
71 Replies
4K Views
Ni kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi: 6. Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari. 7. Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya...
26 Reactions
161 Replies
10K Views
Japo uliniacha lakini haikumaanisha nilitakiwa kukuchukia. Miaka saba iliyopita nilizama kwenye penzi la huyu msichana X aliyekuwa anasoma pale shule moja ya vipaji (wanawake tupu) jijini Dar es...
8 Reactions
7 Replies
2K Views
Hali vipi wanajumuiya ya Afrika ya Mashariki. Nipende kuwakaribisha ndugu zetu tajwa hapo juu, kuweza kujumuika nasi katika jukwaa la MMU (Mahusiano, Mapenzi na urafiki) ili tuweze kubadilishana...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hey there i'm using JF. Niliwahi kupigisha tuition madogo miaka ya nyuma kidogo kukwepa kukaaa bila kazi na kupata hela ya vocha. Siku moja naingia darasani nikakuta kama kawaida ubao...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimegundua kwa mara ya pili mapenzi ni upumbavu na upuuzi tu, yalishanikuta mara ya kwanza nikapuuzia na hii mara ya pili nathibitisha ni upuuzi tu! Baada ya siku kadhaa kuwakejeleli watu hapa JF...
18 Reactions
44 Replies
3K Views
Kuna mwanamke nilikutana nae kwenye garii nilikaa siti ya mwisho kabisa upande wa kushoto na yeye pia alikaa siti ya mbele yangu tulikuwa kikundi cha Street tulikuwa tunaenda Beach. Sasa tamaa za...
6 Reactions
51 Replies
3K Views
Back
Top Bottom