Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Dadadeki hivi mshakutana n shetwani wa kike kabla hujampata au siku za mwanzo baada ya kumla alikuwa anapiga simu na kutext mara kwa mara. Pyu baada kamda kidogo anakuwa Anti biper anti mfupi...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Unakuta mwanaume anafamilia yake anakorofisha na mke wake anakwenda kutafuta mchepuka. Akifika huko na hasira zake anadanganya hajaoa au kaoa lakn hampendi mkewe, anaenda mbali zaidi anasema...
6 Reactions
54 Replies
2K Views
Wakuu habari za muda? Nina jambo kidogo tushirikishane maana tunatakiwa kuelezana vizur hili naamini linaweza kuamsha au kusaidia baadhi ya watu kujua ni umri upi ni sahihi kuoa na kuolewa kwa...
1 Reactions
32 Replies
18K Views
Salaam ndugu zangu humu. Naomba kufahamu kwa anaejua kama kuna madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu hasa kwa mwanaume kama yapo na kama yapo ni yapi? Naomba ushirikiano wenu.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu naamini wote tupo salama. Nitaendelea kesho.
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Hili ni jambo linalonishangaza sana. Kumekuwa na desturi ya binadamu wanaojihusisha na mapenzi ya namna nyingine kujitangaza hadharani kwamba wanaojihusisha na aina hiyo ya mapenzi. Kwani...
6 Reactions
11 Replies
885 Views
Habari zenu ndugu wana JamiiForums, nimeona kama kawaida yangu na hili niwashirikishe kuna ndugu wa karibu mwenye jinsia ya kike umri wake kwa sasa anaweza kufikia miaka 52 amekuwa na tabia ambayo...
1 Reactions
8 Replies
595 Views
Anaandika Robert Heriel. Haijalishi atakuambia nini, haijalishi atakupa nini. Mwanaume hawezi kukupenda Kama anavyompenda mkewe. Hilo wala sio siri, wanaume wote duniani tupo hivyo. Asije...
23 Reactions
62 Replies
8K Views
Wasalam wana JF za mida hii? Nimekuja na mada hii, siku hizi wadada wananuka shida. Yaani ukichukua tu namba yake ni kama umejitafutia matatizo, maana ile mnaanza tu mawasiliano utaambiwa na...
6 Reactions
76 Replies
4K Views
Wakuu mambo vipi? Mimi hali yangu si nzuri sana. Naandika uzi huu nikiwa na maumivu sana kwenye uume wangu, sijui kama alinifanyia makusudi au laa. Kuna mwanamke nimetoka kupiga (kwa leo lengo...
15 Reactions
73 Replies
5K Views
Habari za mchana wapendwa wana JF Kwanza kabisa natoa ninamshukuru Mungu kwa kunijalia pumzi na afya njema Napenda kutoa mrejesho wa uzi wangu ambao niliuleta kwenye hili jukwaa umepita muda...
37 Reactions
134 Replies
12K Views
Una mke wako ambaye umeishi naye kwa miaka kadha hadi sasa. Je ni sehemu gani za mwili wake ambazo alama za viganja vyako (fingerprint) zikitafutwa hazitaonekana? (Sitarajii kutajwa sehemu za...
2 Reactions
4 Replies
744 Views
Miriam Lukindo Mauki anaandika; Ukiona mume wako kachepuka na mfanyakazi wa kazi za ndani (na mara nyingine huwaoa kabisa), kuna mambo mawili; 1. Ni mwanamke mwenye lawama nyingi, yaani...
9 Reactions
51 Replies
4K Views
Bado tupo kwenye kitabu Cha MWANZO...Bado tupo na ukoo wa Yuda....Bado tupo na mjane Tamari. Ni kitabu Cha MWANZO 38:11-26 Baada ya mzaliwa wa pili wa Yuda kufa(Onan) ...Yuda akamwambia Tamari...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Mambo vipi? Iwe umeoa au una mpenzi, ukimfumania mubashara utafanya nini? Kama ni kweli unaishi naye kwa akili, utamshika mkono muondoke kuendelea na maisha. Kama utapiga, kuua, kuzimia, kupata...
1 Reactions
7 Replies
739 Views
Kuna baadhi ya wanaume wanatabia ya kutishia kifo kwa wapenzi au hata wake zao. Unakuta mwanaume anamwambia mpenzi wake ukichepuka ntakuua.. Halafu bahati mbaya asilimia kubwa wanaosema hivyo ni...
9 Reactions
66 Replies
3K Views
Wakuu, Usikubali mke au mpenzi wako kuwa na vitu vifuatavyo ambavyo ni hatarishi kwa mahusiano yenu. 1. Usiruhusu mkeo kuwa na bodaboda wake, bobaboda wa mkeo kuna uwezekano mkubwa akamla. 2...
14 Reactions
34 Replies
4K Views
Mimi mwenzenu sijui nimeumbwa na moyo wa namna gani, yaani kuna muda najilaumu kwanini nipo hivi! Mimi huwa sina muda wa kupenda wanawake wengi na siweza kutoka na wanawake wawili kwa kipindi...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wapendwa, Mimi ni member wa JamiiForums kwa muda mrefu ila nimesajili ID mpya kwa sababu maalum na hayo niliyooyandika ni ya kweli na ndio hali halisi ''Unaroho mbaya ndio...
6 Reactions
264 Replies
47K Views
Ni siku nyingi zimepita, nimeona ni vyema nitoe mrejesho. Kesi ilimalizika mwaka 2017, na nilipata talaka yangu, hilo ndilo jambo la msingi kwangu. Alifanikiwa kuchukua gari polisi maana polisi...
10 Reactions
59 Replies
3K Views
Back
Top Bottom