Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nimefuatilia maone ya wanawake wengi wanaonesha Mkandamizaji anapaswa tu kupuuzia kila kitu kilichotokea. Wengine wamefikia hatua ya kusema eti kwa vile alioga, kuna haja gani ya kuendelea ku...
2 Reactions
3 Replies
958 Views
Ndugu wanaJF Jumamosi (01/10/2022) nilileta uzi jukwaani nikiomba kwa aliyetangulia kubarikiwa pesa, aniwezeshe nauli niende kwenye usaili kule kwenye makao makuu ya nchi (kibiashara na Ikulu)...
3 Reactions
76 Replies
7K Views
Katika kukaa kaa kwangu leo nimekumbuka kumbe sijawahi miliki mpenzi niliyesoma naye ama darasa moja au shule moja. Hii ni tangu nimeanza darasa la kwanza shule ya msingi hadi namaliza PGDE chuo...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Huyu dada ni rafiki yangu kibaruani, tunawekana sana wazi, hatuwekeani siri. Sasa toka wiki alikuwa anawaza sana na leo kaona aniambie jambo. Anasema imetokea kama mara tatu sasa, anapofanya...
16 Reactions
73 Replies
6K Views
Ebu leo tuzungumze ili je mapenzi ni upendo au mapenzi ni kitendo. Iko hivi mfano tuseme mapenzi ni upendo je mbona kuna mtu anaweza kuwa na mpenzi wake akaenda kusaka mpenzi mwingine hii ina...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Unakuta wanandoa hawana hata watoto wameoana majuzi tu, kidogo mwanamke anaanza purukushani. Kosa ni kidogo analivuta maana anajua kaolewa. Basi anaanza masifa na ugomvi usio wamaana. Halafu...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Chanzo ni wivu wa kimapenzi. Alivutiwa na mimi, si mara ya kwanza kuvamia ofisini kwangu bila sababu ya msingi. Kiufupi alinipenda, japo nilimkwepa kulinda heshima ya boss ambaye aliniokota huko...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Haya mambo yasikieni tu. Mwanamke ni nyoka ambayo inafanyakazi wakati wote. Wanawake wakiwa na changamoto iwe ya uzazi atasingizia mumewe. Nyumba ikiwa haina pesa kosa la mwanaume, mwanaume...
9 Reactions
67 Replies
5K Views
Wakuu wa JF habari yenu. Kuna kitu ukikichunguza sana ni kama nauliza swali la KIJINGA LAKINI SINA JINSI. Mnisamehe tu bure. Miezi kama 8 iliyopita nilitongoza mdada 1, Kwa muda ule alikuwa na...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
1: Tasa- Makaburi ya watu kama hawa hayathamiwi kabisa, ni bora wazikwe kwao ambako kaburi lake litathaminiwa na nduguze. 2: Waliozaa na wanaume wengi - Wakazikwe kwao ili watoto wote wawe...
7 Reactions
58 Replies
3K Views
Watu wanawataja simba, chui, nyoka na kadhalika eti ndiyo viumbe hatari duniani! Aiseeh, hao viumbe wote ni chamtoto kwa mwanamke. Mwanamke mfanyie kila unachojua, huna utalia, unacho utalia...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Weledi wa wahenga wa kuondoa ukakasi kwenye kila kitu ulipelekea usanifu wa sanaa kwenye lugha, lahaja, na vitenzi... Mathalani lugha ngumu iliyovalishwa koti iliweza kupeleka ujumbe tarajiwa bila...
17 Reactions
53 Replies
7K Views
Wale ambao wapo kwenye ndoa fanya yafuatayo utakuja kunishukuru Acha kushika wala kufuatilia simu ya wife. Usimpende kupita kiasi. Chukulia poa kila issues. Mwanamke yeyote duniani anatongozwa...
1 Reactions
4 Replies
695 Views
Nipo pumziko ya week moja standard 7 wanahitimu Alhamisi hivyo maticha twala bata. Mwenye nafasi aje anichukue kesho Jumatatu tafadhali. Turudi kwenye mada, najua kupenda kupo tena kunachukua...
25 Reactions
339 Replies
10K Views
Ukweli ni kwamba anniversary ya miaka mitano kwenye ndoa zimekuwa chache sana compared na divorce tunazoziona. Kwa maoni yangu, Maisha ya sasa watu wengi hawana furaha kabisa, many People are...
3 Reactions
6 Replies
712 Views
Ni aibu kubwa mno kuona jinsi gani mijitu na ndevu zao yanavyoanzisha mada kuonyesha kufurahishwa na tukio la zinaa la mke wa Masanja Mkandamizaji. Nasema tukio la zinaa kwa sababu hakuna...
12 Reactions
32 Replies
2K Views
Baba ni nini? Baba ni mzazi wa Kiume wa mtoto. Baba mzazi ni mzazi wa Kiume wa mtoto yule aliyesababisha ujauzito. Kwa maneno Mengine ni yule ambaye Mbegu zake zilikutana na yai la mama na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Tumeshamuwekea vikao vya kutosha kumuuliza kwanini siku hizi kabadilika na kuwa na tabia ya kukimbia mbususu bila sababu? Rafiki huyu ni kipanga wa aina yake. Siku za nyuma alikuwa akitumia vyema...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Tunajenga nyumba nzuri na za viwango vya juu lakini zinaungua moto, zinabomolewa na kuharibiwa vibaya sana ila hatuachi kujenga. Magari yanapata ajali na kuteketea kwa moto ila hatuachi kununua...
0 Reactions
0 Replies
336 Views
Jamani mnisaide, Je, kuna sababu yoyote inayofanya umwache mwanamke ambaye hataki ndoa, hatimaye kurudishiwa mahali iliyolipwa? Na utaratibu wa kurudishwa upo, kama upo upi, zipitie njia zipi au...
0 Reactions
5 Replies
439 Views
Back
Top Bottom