Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Njoo tuutengeneze urafiki wenye nguvu kana kwamba ni ndugu, kama unahisi naweza kuwa sehemu ya watu muhimu ni pm ndugu yangu, haijalishi jinsia gan.
3 Reactions
7 Replies
566 Views
Sasa ni muda muafaka kwa wanawake nao, kuanza kuwahonga wanaume ili wawe nao kwenye mahusiano. Haiwezekani, miaka nenda rudi, sisi wanaume ndio tunakuwa tunawahonga au kuwashawishi wanawake kuwa...
4 Reactions
58 Replies
2K Views
Kuna jamaa yangu alibahatika kukutana na mwanamke miaka saba iliyopita Kutokana na kipindi hiko dem kuwa na stress za maisha kufiwa na wazazi wake akajikuta kimasihara amezama kwenye penzi la...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Mrembo mmoja wa Kiafrika amewachekesha wengi baada ya kuelezea masahibu aliyopitia wakati wa mtoko na mpenzi wake mwenye asili ya Kizungu. Mrembo huyo anaelezea kwamba ilikuwa ndiyo mara ya...
13 Reactions
56 Replies
4K Views
KIVIPI MWANAUME HUKOSEA KUFANYA NGONO ISIONEKANE NI TAMU NA MUHIMU KUJENGA PENZI KWA MWANAMKE WAKE. Ngono ni tendo muhimu sana kwa wapenzi na wenza, hutegemea maafikiano kati ya watu walio kwenye...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Usitumie nguvu kubwa sana katika kumtongoza mwanamke, unaweza ukamkosa ukapoteza mda wako. Ila unaweza ukampata ukapoteza mda na pesa zako. Usimtongoze mwanamke kwa mategemeo ya kumbadilisha ni...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu mabibi na mabwana, Katika pita pita zangu na ufuatiliaji nimenote baadhi ya vitu kutoka kwa madada poa. 1) Washirikina Kama ambavyo mwenye duka anavyoenda kwa waganga ili apate mvuto...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Nilikuwa mbali na familia yangu miezi tisa, zikiwa zimebaki siku tatu kabla ya kuanza safari nikawa nimempa taarifa mke wangu kwamba siku fulani nitakuwa nyumbani. Niligundua hiyo taarifa...
15 Reactions
182 Replies
12K Views
We uliona wapi ndizi inaliwa bila kumenywa, ndio story anazoniletea huyu binti, Ata sijammenya bado ananiletea story za kumuoa na kwenda kujitambulisha kwao, Yuko serious kweli, mi namtazama tu...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Wanasemaga usimdharau mtu usie mjue, kuna siku nilipangiwa mishe ya kikazi kwenye moja ya mkoa fulani hivi hapa nchini Tukiwa kwenye hizo site kuna mrembo mmoja akawa analeta mazoea na mimi, japo...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wakuu Nategemea kutembelewa na mpenzi wangu wa zamani, siku tatu zijazo, ambaye tutaishi naye mimi na yeye kwenye nyumba moja kwa muda wa wiki moja. Sasa wakuu, naombeni mnipatie maujuzi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukiwa serious sana kwenye mahusiano au ndoa utakeyeumia ni wewe. Nimejifunza kutokuwa serious kwenye ndoa au kwenye mahusiano yeyote yaani utapendwa tu automatically. Wanawake wanapenda Sana...
26 Reactions
23 Replies
3K Views
Naomba nitoe ushuhuda wa huyu rafiki yangu..ana miaka minne kwenye ndoa now..jana nilikuwa kwenye maongezi nae akanieleza Jambo la kustaajabisha sana. Alinieleza ni tokea atoke kanisani hajawahi...
11 Reactions
26 Replies
2K Views
Kiukweli haya ni mambo ambayo hatuwezi yaweka hadharani maana ni kufru lakini kwa hapa jamiiforums hakuna anaemjua mwenzake kuna privacy hivyo uhuru wa kutiririka siro zetu upo. Niliwahi kuwa na...
7 Reactions
54 Replies
4K Views
Katika uchunguzi wangu kuna kundi la wanawake nimeligundua ni kundi ambalo halitongozeki hata uwe handsome vipi, umjue mungu vipi au uwe gentle kiasi gani. Wanawake hawa ukikutana nao barabarani...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Moyo wa mtu msitu, dakika za mwisho kabisa ndo unajua kua nauli imeliwa inabidi utulie, wadada wamekua wachakaramu sana. Bora mtu aombe tu hela kuliko hivi.
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu, Kuna kipindi nilikuwa Tanga kikazi, sasa kwa bahati mbaya nilichelewa sehemu ya kukutana na wenzangu basi wenzangu walinitania sana eti nimelowekewa nguo.nBinafsi...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Huo ndio ushauri wangu,sababu ni moja tu. Wanawake ambao hawajui kileleni kukoje ni watulivu sana ,akichepuka ni kwasababu ya tamaa ya pesa tu au vitu vingine,lakini hawa wanaokujua kileleni hata...
13 Reactions
36 Replies
3K Views
Sijui ni wakati napitia au ndio sasa zimezoeleka baada ya kuzichakata sana, Sasa hivi imefikia hatua sioni /sipati tena radha ya mbususu, ninafanya tu kwa sababu ya tamaa, vile nikiona makalio...
3 Reactions
8 Replies
796 Views
Nina elfu 10000 nichanganye na nini? Nisije kuaribu dawa yangu bure!
2 Reactions
4 Replies
361 Views
Back
Top Bottom