Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Chonde chonde ndugu zangu! Wateja wengi wa Mwamposa Ni wanawake! Acheni kuwasaidia kuwalipia Mikopo yao! Acheni kuwasaidia kulipa pango! Acheni kuwasaidia mitaji ya biashara! Acheni kuwasaidia...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Swala la ngono hovyo katika jamii limefikia hali mbaya. Boss kulala na wafanyakazi wa chini yake, akiyewekeza kidogo hata kwa mradi wa chai anataka kulala na wauza chai wake. Huko serikalini...
8 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo asubuhi nimeamka zangu kujiwekea maji ya kuoga ya moto si unajua baridi inavyo piga Basi ile nimewaacha jiko langu la gesi nimeweka maji. Picha likaanza nimeingia ndani kipindi hicho haka...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Wasichana wa Tanzania wanaamza usista duu mapema sana.matokeo yake wamedumaa Wakiwa kwenye public ,wanajifanya kula kidogo,tena chipsi vipande vichache,kuku atamdonoa donoa,samaki atakula kama...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Vijana ambao wameokoka wana heshima mbele za watu wote Sijui ili mimi peke yangu ndo naonaga tu Nina marafiki zangu ambao ni walokole saana tabia zao na matendo yao ni tofauti saana na yangu Japo...
11 Reactions
18 Replies
991 Views
Kuna mahala hatukuenda sawa, kitendo kilichomfanya kukasirika akitegemea kwamba nitamnyenyekea na kumuomba msamaha. Binafsi sielewi ilikuwaje hadi yeye kufahamiana kwa namna ile na rafiki yangu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuliwahi kutolewa taarifa hivi karibuni kuwa ndoa 300 kwa mwezi (sawa na ndoa 10 kwa siku) huvunjika jijini Dar es Salaam pekee. Ili kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo hili, mimi Sexless...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Matukio haya nayashuhudia katika jamii, kuna mwanamke yeye ana mpenzi wake ambaye wote wanakunywa pombe, kila siku kupigana night hii ni hatari. Chondechonde wanaume mtaishiwa kufungwa au kupoteza...
2 Reactions
6 Replies
556 Views
Peace be with you all, Week hii niko Dodoma kwa masuala fulani. Jana jioni baada ya mizunguko wakati narudi hotel (Morena hotel) kabla sijafika round about kutokea Mipango nikamuona kimwa asee...
20 Reactions
167 Replies
9K Views
Habarini wana Jamvi, Katika wanawake wengi niliowapitia nimegundua ni wa kabila moja tu kutoka Kigoma Waha ndo wavumilivu katika maisha na hawana tamaa sana hata ukiwa huna kitu mwanamke wa...
10 Reactions
44 Replies
35K Views
Usicheze na hisia za mwanamke Eti mwanamke akipenda ua anapenda kweli Na akiamua kucheat ana cheat kweli Na mwanamke akikuacha ua arudi nyuma ata ukimpa bilioni 2 Kauli hizi zilikuwa zina...
3 Reactions
7 Replies
606 Views
Naimbeni tafadhali
0 Reactions
4 Replies
309 Views
Wakuu MDA SI mrefu nmetoka kupigiwa Simu na rafiki yangu mmoja wa karibu Sana Ni DOKTA hospital moja ya wahindi hapa mjini,Na anamiliki duka moja la dawa za binadamu kubwa Kiasi ambalo suka ilo...
25 Reactions
282 Replies
13K Views
Ni matumaimi yangu wote wazima. Naombeni kujuzwa kwa kawaida inachukua muda gani kutoka siku ulipeleka barua ya posa ukweni mpaka siku ambayo utatakiwa kurudi kutoa mahari? Kama hakuna muda rasmi...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Naa'm wakurugenzi, natumaini mu wazima wa afya. Moja kwa moja niende kwenye mada. Moja kati ya lengo la kufanya mapenzi ni kufika kileleni, lakini linapokuja suala la kuchelewa inakuwa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kwa kadiri siku zinavyoenda tusipo liangalia hili suala kwa undani tutajikuta dunia yote wanabaki wanawake hata kama kutakuwa na jinsia mbili tofauti Unajua kwa nini haiwezekani mwanaume...
13 Reactions
68 Replies
5K Views
Kuanzia wasanii wetu wa kiume wa muziki wa kizazi kipya(Bongo Flava), waigizaji wa kiume kutoka Hollywood n.k, wote kwenye videos zao kwa kiasi kikubwa wanakuwa wananyenyekea kwa wanawake...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu watanzania wenzangu natumaini ni wazima na mnaendelea vizuri na majukumu ya kifamilia na mambo mengine ya kimaisha. Lengo hasa la kuleta uzi huu ni kuweza kufahamu kipi hasa...
8 Reactions
46 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa nimemtolea mdada uvivu jana nikamchana mazima kama inavyojieleza hapo juu, nikuita Kwa huu mwaliko nakutaka uwe mpenzi wangu karibu Kwa maswali au ujumbe wowote unajieleza kwa...
2 Reactions
5 Replies
673 Views
Habari zenu watanzania wenzangu Kwanza rejea uzi hapo chini Nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito lakini hatohusika kwenye malezi ya mtoto. https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2026361/...
1 Reactions
5 Replies
806 Views
Back
Top Bottom