Kwenye Pete ya uchumba...sherehe
Get together..sherehe
Pete ya ndoa ....sherehe
Ndoa...sherehe
Fungate...shereheeee
Nguumi...kimyaaaa
Kwa wazazi...kimyaaaa
Kkutengana...kimyaaaaaaaaa...
Mbinu hii ni ya kijesh kujua nafas yako ndani ya penzi lako na please ifanye hii at your own risk msinitaje hapo baadae mahakamani au ukiwa unahojiwa na waandishi sitaki lawama dandia mtumbwi wa...
Wanawake iwe huku au mitaani sema wanaume wahuku wamezidi sana wanaona wanawake ni malaya sana yaani mnatuona huku siso hatuna dira yaani tunategemea tu kutumiwa nakupewa hela nanyie.
Sina...
Habarini ndugu zangu,
Acha niende kwenye mada moja kwa moja, iko hivi kumekuwa na misemo ya kujifariji kwa sisi vijana eti 'kuwa single unainyoy ' au 'ukiwa single unakuwa huru na mambo yako '...
Wakuu za saa hizi.
Binafsi na marafiki zangu wengi wamekuwa wakinipa kesi kama hizi, kwamba unakuta mwamba kamfukuzia demu, then anajibiwa na demu kuwa hataki mahusiano bali urafiki nae.
Sasa...
Nakumbuka ilikua mwaka 2014 wakati wife ana mtoto mchanga ilinibidi kutafuta msichana wa kazi wa kusaidia, kijana mmoja alinisaidia kupata mdogo wake wa tumbo moja ,kabinti kanaitwa Fau kakaja...
ANAOMBA USHAURI
Naomba unipostie kwa group Wamama wanishauri
Mume wangu kanuna wiki ya pili, sababu ya kujinunisha hata siijui jamani, hajanigusa siku zote.
Sasa Mungu sio athumani, Kwenye simu...
Kama wewe mwenyewe umeshindwa kujisimamia, utawezaje kumsimamia mke pamoja na watoto?
Narudia tena kukushauri, usioe kama kula yako ni ya shida; tatua kwanza changamoto ulizonazo, na uhakikishe...
Wakuu habarini za majukumu?
Ninatumaini jitihada za kujipatia mkate wa kila siku zinaendelea salama... Siku ya leo nimeitumia kwa asilimia kubwa hapa stend ya mabasi ya kwenda mkoa baada ya basi...
Hivi nyie binadamu mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!! Wanawake wengi sasa hivi wanalalamika hamuwagusi kabisa ndani ya nyumba, hapa nawaongelea mliooa.
Mimi nina mwezi sasa tangu tarehe 3...
Tumekubaliana kila nikihitaji nimwambie awe anakuja. Atakuwa ananitumia ratiba yake ya mzunguko kila mwezi ili nisimuite siku zisizokuwa nzuri kwake.
Uzuri ni kwamba tumeshapima na bei/tozo...
Kisa hiki kitakuwa na episode 2 tu ili nisichoshe wasomaji. Kisa cha kweli ambacho huwa nakumbuka kinaniuma sana nilishaapa sitorudia tena,nikikumbuka yaliyotokea naamini kabisa wanawake wakipenda...
Habari wakuu?
Nimekuwa na mahusiano mengi na warembo mbalimbali, kipindi cha huko nyuma; na ikapelekea wawili kuwa na watoto na mmoja ni mjamzito.
Changamoto iliyopo; kwa sasa nataka nibaki njia...
Dogo ana mchepuko wake amenizoea mpaka mtaani kwao wanajua mi ndiyo namvua chupi. Maana asiponiona anamnunia mpaka bwana wake ambae ni mdogo wangu.
Shida imekuja nilimdanganya na ameamini kwamba...
Mazungumzo kati ya Mume na Mwanasaikolojia :
P: Unafanya kazi gani Bwana Bony?
H: Ninafanya kazi kama Mhasibu katika Benki.
P: Mke wako?
H: Hafanyi kazi, ni mama wa nyumbani tu.
P: Nani...
Dah yani binafsi huwa nashindwa kuelewa inakuwaje kuwaje hadi wewe mwanamke unaamua kumuomba mwanaume hela ya Pedi.
Though sijaona mengi duniani ila toka nizaliwe sijawahi kuwa kwenye mahusiano...
S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu watanzania;
Ukimtendea mtu wema...
Ilikua ni siku tulivu tu Kama siku nyingine, basi shetani nae alikua kazini Kama kawaida yake.
Kifupi mke wangu huyu hana tabia kabisa ya kushika simu yangu hadi majuzi alipo ingiwa na tamaa za...
Hakuna mwanamke anayeweza kuhimili jitihada za mwanaume kamili. Kila siku wanakuwa na sababu za kutoshiriki.
Sasa ni wakati muafaka kuwa na wanawake wengi ili kupunguza ugomvi na mauaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.